Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mbeya city council viongozi wamekosa uwajibikaji kabisa baada ya kuwasilisha kero ya ubovu wa miundombinu ya barabara ndani ya stand ya nane nane , kumekuwa na vifusi vilivyo mwagwa ndani ya stand...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers. Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana...
56 Reactions
278 Replies
36K Views
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania eti; Nini maana ya "Kuishi Vizuri na Watu"? Je, ni sahihi kuenenda ndivyo sivyo ili ujijengee taswira njema katika...
14 Reactions
85 Replies
13K Views
Tunaomba maafisa magereza wamuwezeshe kukimalizia hiki kitabu kabla jamaa hajanyongwa. Pia soma > Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa
4 Reactions
5 Replies
774 Views
Mwanza. Daniel Sayi (48) mfanyabiashara wa ng’ombe wilayani Geita mkoani hapa, anadaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Kitongoji cha Kiomboi, Kijiji cha Ihilika, Kata ya...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
KANUNI ZA KUOMBA MIUNGU NA KUJIBIWA Anaandika, Robert Heriel, Kuhani Katika Hekalu Jeusi, Mtibeli. Watu wengi wanauliza swali hili. Wengine wananipigia simu wakitaka kujua wafanyaje ili maombi...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Members naomba kufahamishwa ni kampuni gani za bus za kuamika kuelekea mikoa ya Lindi na Mtwara kutokea Dar , ofisi zao zilipo pia. Nawasilisha
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wadau wa JamiiForums, Katika dunia ya sasa, tunakutana na aina nyingi za watu kwenye mitandao ya kijamii na jamii kwa ujumla. Wengine ni wasomi, wengine wamepitia changamoto mbalimbali za...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari ndugu zanguni. Hope jumapili iko poa kabisa. What is Science? Hili ni swali ambalo wanafunzi wa kidato cha kwanza hupambana nalo pindi tu wakianza masomo ya secondari . Jiografia ni...
1 Reactions
2 Replies
275 Views
Katikati ya Ureno, kuna muundo wa miamba ambao unakinzana na matarajio yote ya kisayansi.. Upinde wake wa kustaajabisha na usio na dosari unazua swali—ni nini hasa kinaendelea hapa? Je, hii...
2 Reactions
3 Replies
333 Views
Japo ndio kiumbe mwenye akili kuliko wenzake hapa Duniani. Ila kwa maisha yake yote anagharamia. Lazima, alipie maji, nyumba, umeme, mavazi, chakula, usafiri, matibabu , mapenzi n.k. Yaani...
7 Reactions
24 Replies
605 Views
Anonymous
Hivi karibuni tatizo la kukatika kwa umeme mkoa wa Mtwara limekuwa kubwa na kero kwa wananchi. Mkoa wenye gas asilia na makaa ya mawe lakini tatizo la umeme limekithiri. Najiuliza wakazi wa...
0 Reactions
1 Replies
398 Views
Serikali imetangaza kuwa uwekezaji katika Reli ya Standard Gauge (SGR) umeanza kulioa, huku takriban Sh15.7 bilioni zikizalishwa katika kipindi cha miezi minne tangu kuanzishwa kwa reli hiyo ya...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi hatuezi kuacha kurushiana Risasi? Tukae chini tushikamane tuimbe nyimbo za amani. Wenye njaa wasaidiwe, wasio na mavazi wavishwe, ambao hawana makazi wapate Makazi? Kwani ni lazima vita...
2 Reactions
11 Replies
340 Views
Yaani Haya Maisha Bwna. Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata. Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba...
80 Reactions
273 Replies
10K Views
Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaa😀
10 Reactions
72 Replies
2K Views
Wakuu habari, Naulizia benki gani inanunua deni kutoka HESLB? Msaada.
4 Reactions
8 Replies
627 Views
Utafiti wa Kisayansi Wathibitisha: Wakristo ni Watu Wenye Furaha Zaidi Utafiti wa kisayansi unaoendelea unathibitisha kuwa Wakristo mara kwa mara huripoti viwango vya juu vya furaha na kuridhika...
7 Reactions
17 Replies
775 Views
"Nadharia ya Farasi Aliyekufa" ni sitiari ya dhihaka inayoonyesha jinsi baadhi ya watu, taasisi, au mataifa hushughulikia matatizo ya wazi yasiyoweza kutatuliwa. Badala ya kukubali ukweli...
2 Reactions
12 Replies
801 Views
Leo nimetembela kijijini kama ilivyoada kwa sisi tunaoishi kijamaa basi hupata muda wa kukagua maendeleo ya watoto tunaowakuta hapo nyumbani. Nimeshangaa sana kuzikuta mada za mtoto wa darasa la...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom