Muhubiri wa Kanisa la Arise and Shine International, Boniface Mwamposa, amesema Watanzania wanapaswa kubadilisha mtindo wa maisha na kuachana na uvivu unaowafanya kupoteza muda mwingi kwenye...
OUR MAN IN ITALY: Romano Prodi, waziri mkuu wa zamani wa Italy aliwahi kuhusishwa na tuhuma za kuwa kwenye payroll ya Idara za usalama za Russia/USSR.
PICHA HAPO JUU: Putin akiwa na Prodi.
KWA...
Unaambiwa mkurya akitaka kuoa hajali wewe una watoto atakuchukua tu na pia atahakikisha hao watoto wako wanakuwa wa kwake kama yeye ndio aliotwaa na hadi kuwapatia majina ya ukoo wake na na hadi...
Habari waungwana? Kuna jirani yangu hapa ni bibi mzee wa miaka 130 ,wengi tulikataa lakini baada ya kuona viambatanisho kadhaa, ikiwemo cheti chake Cha ubatizo wa miaka hiyo ndo tumeamini...
Baada ya kumaliza process zote za mashine toka nje na kila kitu.Nimepata wazo ambalo linaweza kunijengea mapema ili kujua TIC taratibu kama muwekezaji wa ndani.
Swala la kupewa eneo kwa ajili ya...
Fuatilieni hizi halmashauri zilizopo chini ya TAMISEMI, kuna wajibu hawatekelezi katika kutimiza haki za watumishi.
Mfano kuna baadhi waajiriwa wapya wamekosa mishahara yao ya mwezi March, na...
Kampuni ya Netflix kupitia Tovuti yao ya Netflix Blog, itaweza kuonyesha video Zao mbalimbali kwa mfumo wa HDR10+ zenye kutoa Ubora wa hali ya Juu kwenye vifaa ambavyo vina support mfumo wa AV1...
Kama unataka Mali basi utaipata shambani, Mimi nimeamua kuunga juhudi nikashinde na kuteketea shambani huko labda tutatokea huko, nilichogundua biashara sio kwa ajili ya Kila mtu huko...
Wakuu Tumeambiwa Mkurugenzi wa Shirika La Umeme Tanesco atazungumza Na Waandishi wa habari Kuelezea Kuhusu Mambo yaliyofanyika na yatakayofanyika Kwenye Shirika La Umeme
Wamesema Muda ni saa 4:00...
Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kijiji cha Bangalala kata ya Bangala wilayani Same wameondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi hali ambayo imewatesa kwa muda zaidi ya miaka 20...
Tarehe 20 Machi, Adnan Mpyagila, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nachingwea, amefanya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi wa shule za sekondari. Ameangalia ujenzi wa Shule ya Sekondari Kata Mtua...
Hello habari wadau, nimekuja humu kushare na nyie kifu kimoja juu ya aina ya watu wanaoboa kama huyu mtu ambaye hawezi kukaa kimya na mambo yake;- yaan akiwa na jambo lake lazima akuambie muda...
Kama kawaida nikatia chimbo Uswahilini nyuma ya JNIA almaarufu airport.
Aisee watu wamechakaa hatari. Vijana kama wazee, wamama na wadada wamekaa vibarazani asubuhi tu ukipita macho yao yote...
Tarehe ya Harambee:
Jumanne, 25.3.2025
Mahali:
Kitongoji cha Kamatondo, Kijijini Nyambono, Kata ya Nyambono
Washiriki wa Harambee:
*Wanakijiji
*Wazaliwa wa Kijiji cha Nyambono
*Viongozi...
Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao ili kuandaa Watumishi bora wa baadaye watakaoisaidia jamii na taifa...
Kuna taarifa za walimu huko mkoani Kilimanjaro kutakiwa na wazazi waondoke shuleni hapo wakidai sio wazawa ,wazazi wanawatamkia kabisa kuwa wanataka Wachaga wenzao na sasa walimu hao wameomba...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camilius Wambura, ametoa msaada wa Bajaji kwa kijana Masima Nyau kwa ajili ya kujiendeleza kiuchumi baada kujeruhiwa mguuni wakati akitekeleza majukumu yake ya...
Wakuu, nipo kwenye gari la kutokea Kawe kuelekea Mbezi via Goba road.
Tumefika stendi ya Mbezi Beach kibao cha shule kwa mbali naona kijiwe cha boda boda wametundika tangazo kwa juu kinosemaka...