Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria...
Japo tunawadharau, wanyama ni viumbe bora kitabia kuliko wanadamu.
Hawafanyi uchafu hasa chuki na uroho, roho mbaya, tabia mbaya, fitina, majivuno, kunyonyana, kunyongana, wala kuawana kama...
Naomba Serikali kupitia Waziri wa Maji, Juma Aweso afuatilia chanzo cha Wakazi wengi wa Mkoani Morogoro kukosa huduma ya maji.
Hii hali inatutesa sisi wakazi wa Morogoro kwa muda mrefu sasa...
Kuna mawaiza nilisikilizaga zamani ila sikumbuki ni nani?. Ya sheik mmoja fulani.
Maelezo yake:Kulikuwa na maskini mmoja alikuwa jangwani kwa shida na kutafute kote na umaskini unaomzonga aliomba...
Salaam jamiiforum.
Threads zangu nyingi zinawahusu zaidi vijana tena ambao hawajaoa kwani ndilo kundi ambalo lipo onfire kutokana na umri wao lakini pia hata baadhi ya watu wazima siyo mbaya...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kuna changamoto katika ununuaji wa Luku kupitia mitandao ya simu huku likitoa njia mbadala ya kupata huduma hiyo.
Taarifa ya Tanesco imetolewa leo...
Swali kwa Mh Waziri wa maji,
Kuna shida gani mpaka leo maji hayajaunganishwa majumbani wakati tenki lipo tayari, mashine ipo tayari, mabomba makubwa yameshasambazwa mitaani, Wananchi tunalazimika...
UTANGULIZI
Alexander Hislop, akizungumza juu ya kiti cha enzi cha Petro au kiti cha enzi anachokalia Papa, anasema
“wakati askari wa Ufaransa chini ya Jemedari Bonaparte walipoimiliki Roma mwaka...
Bado nashindwa kumwelewa Mwamposa kwa kauli yake ya kutaka Serikali ichuje maudhui ya Mitandao ya kijamii
Ni kazi gani hii ambayo haijawahi kuonekana tangu dunia iumbwe? Unawezaje kuchuja maudhui...
Biblia ya Kikristo ya Ethiopia, inayojulikana kama "Orthodox Tewahedo Bible", ina vitabu zaidi kuliko Biblia za Kanisa la Magharibi. Kwa jumla, ina vitabu 81, ikilinganishwa na vitabu 66 vya...
Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea.
Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention
Dar
Arusha...
Nani anaikumbuka hii kesi ya mganga wa kienyeji aliyekamatwa na fisi? amehukumiwa leo.
Mahakama ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kuchapwa viboko 12...
Tatizo hili limekuwa sugu sana, Karibu kila chuo kuna wahadhiri hunyanyasa mabinti kwa kutumia kisingizio "Mwalimu na mwanafunzi wa chuo wote ni watu wazima"
wengine wamewahi kufumaniwa baada ya...
Ninahitaji kuongeza account kati ya benki hizo mbili Crdb na Nmb.
Nakumbuka hapo zamani Crdb na Nmb process zilikuwa ndefu sana wiki 1 hadi 2
Mambo yamebadilika ????
### Kanisa la Orthodox la Kikopti (Coptic Orthodox Church) Ni Nini?
Kanisa la Orthodox la Kikopti ni moja kati ya makanisa ya kale zaidi ya Kikristo yanayofuata mapokeo ya Kiorthodoksi ya...
Exposure ktk elimu, sayansi na Tech?
Kuathirika na utapeli wa kidini?
Exposure ktk Atheism literature?
Globalism na World wide sharing?
????????????????????????????????
Assalaam alaykum,
Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini....
Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe...
Dar es Salaam. Wafanyabiashara wengine watatu wa Kariakoo, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka ya 31 ya kuua bila kukusudia.
Wafanyabiashara hao ni...