Kwa mujibu wa Ripoti inayowasilisha takwimu za mawasiliano za robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Mikoa ya Rukwa yenye majaribio 6,861 na Morogoro yenye...
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii imesema nchi ya Tanzania katika kipindi cha miaka 30 ya azimio la Beijing imefanikiwa kutekeleza malengo ya mkutano wa Beijing kwa mafanikio, ikiwemo...
Nimefanya tathimini ya miradi yote iliyofanywa na serikali ya awamu ya 6 nikapata gharama halisi ni 8.7 Tilioni.
Hii inajumuisha miradi yote iliyosajiliwa chini ya tume ya mipango kwa wastani wa...
Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini
Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza...
Nimeona hii ninayoonyesha ya "CAREFULLY OVERTAKE" mara nyingi traffic polisi wanatutia hatiani kuwa tumeovertake kwenye restricted zone, je hii alama ya carefully overtake kwa Tanzania ina tofauti...
Nimekuwa nikitumia mtandao huo kidogo japo si mtandao pendwa kwangu ila nimekuja kugundua asilimia kuwa ya watumiaji kutoka Tanzania hawana uwezo wa kujenga hoja kule.
Wengi vinywa vyo vimejaa...
Hallo wana JF!?
Ulishawahi patwa na dharura ya kutaka kuchimba dawa pindi uwapo Bank unataka Ku deposit muamala wako!? Je! Kuna Bank yoyote iliyowahi kukupa hii huduma hata kama wewe ni VIP...
KUSAMEHE NA KUTOLIPA KISASI NI KWA AJILI YA FAIDA YAKO BINAFSI ❤️🌹🍎
Kusamehewa walio tukosea ni jambo gumu sana, ila ni la muhimu sana pia. Ktk hii dunia lazima utakutana na watu wabaya ktk maisha...
Salaam, Shalom!!
Nilipokuwa katika ziara ya Utalii wa ndani, nimekumbana na kero hii ya magugu maji ziwa NYANZA. Ziwa NYANZA lilikua ziwa la kuvutia sana.
Wataalam wasema, haya magugu ziwa...
Jamani hawa wanao panga maeneo huwa vibari wanatoa kwa akili gani.
Kuna mgahawa mpya umefunguliwa umetanganishwa na barabara ya magari upande wake kuna mwochwari.
Ni sheria gani iliyompa kibari...
Wanaume,
Mambo haya unatakiwa kuyaepuka sana,
Pornography
Uvutaji sigara
Punyeto/kujichua
Unywaji pombe kupita kiasi
Dawa za kuongeza nguvu za kiume
Hayo mambo yanakufanya uwe dhaifu mno.
Naomba kushare hiki kitu pamoja nanyi, kwa mikoani ikitokea una pesa ya kigeni ujue huezi kupata msaada wowote maana wanazibagua kwenye kubadilisha, sasa sijajua shida nini!
Mfano nilikuwa na...
𝗝𝗲 𝗻𝗶 𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶 𝗧𝗰𝗿𝗮 𝗻𝗮 𝗠𝗶𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘆𝗮 𝗦𝗶𝗺𝘂 𝗶𝗺𝗲𝘀𝗵𝗶𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗡𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 !!
Kwanza niwape hongera kwa serikali ya Tanzania kuthubutu kuweka taasisi hii ya TCRA nchini kwani inasaidia kwenye shughuli...
Ugonile,
Ni muda sasa napitia hali ambayo binafsi sifikiri kama iko sawa.
Napata tabu sana kula milo yote mitatu, ni either niskip mlo mmoja au miwili ndo nile mwingine sababu ya kukosa appetite...
Mimi ni kijana wa miaka 28 nimeoa Nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja,
Bahati nzuri nimelewa na kusoma kwa Babu yangu na Bibi yangu upande wa kike maana ndio walezi wangu ;Kwa bahati mbaya Babu na...
Nimeenda ofisi za TRA kufuatilia leseni ya udereva lakini nilivyofika nimeshtuka kupokelewa na mtu kwenye korido ya ofisi ananiuliza unahitaji nini?
Kwa upole nikamjibu nimekuja kukata leseni ya...