Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huwezi kukataa kuwa jamii yetu inazidi kushikwa mateka na utamaduni wa kuabudu watu mashuhuri. Ndoa ya Aziz K na Hamisa Mobetto imethibitisha tena jinsi watu maarufu wanavyoweza kuteka fikra za...
0 Reactions
2 Replies
459 Views
Mvulana Aliyependa Kusoma Kutokea umri mdogo, Jeff Bezos alikuwa na kiu kisichoisha cha kujisomea. Mama yake Jackie alimkuta Jeff mara nyingi akiwa chumbani, akiwa amezungukwa na milima ya...
4 Reactions
0 Replies
331 Views
Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa. Mada husika iko hivi. Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo. Sasa...
1 Reactions
73 Replies
3K Views
Kwa mtazoma wako unahisi AI ni mkombozoi au kandamizi kwa akili za wasomi.
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Wasaalam rafiki yetu.... Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🥰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach, Tunawatakia Eid...
28 Reactions
91 Replies
3K Views
Hapa ndipo nasemaga Mzazi unapaswa Kuwa na jicho la tatu hasa linapokuja suala la malezi. Hizi tamthiria za Azam tv Kuna namna zinatuharibia watoto kwa baadae , ROHO YA UZINZI Mtoto WA darasa la...
7 Reactions
72 Replies
3K Views
Ndoa na kuoa ni Gereza lenye ghiriba kubwa , ulaghai wa wazi, uchoyo wa wazi, ubinafsi wa wazi. Mwanangu Debora tumekupa Ghorofa la Bahari Beach, Nyumba Madale, Kiwanja DSM na Dodoma. Ndio...
11 Reactions
60 Replies
3K Views
WATASHA walisema Maisha ni mipango hili ni sahihi kwa 100%, yawekana tumeshindwa kutoboa kwa kukosa mipango sahihi na kuwa na Nidhamu hafifu ya Fedha. Muda wa kustaafu kwa mtumishi wa umma ni...
4 Reactions
5 Replies
477 Views
Waafrika tusipochukua hatua kali dhidi ya wazungu na warabu na kuondosha mabaki yao i.e:mratoes ndani ya AFRIKA watakuja kutusimbua na kutuwala tena kwani mtu akila nyama ya mtu haachi milele...
2 Reactions
0 Replies
309 Views
Kama hamkuwa mmejipanga bora mngeacha kwanza Siku 3 server ipo chini Siku 2 mtu hawezi kupokea OTP Mmeleta kero sana
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Afrika bila mapinduzi ya kijeshi hakuna ukombozi wala maendeleo yoyote watakayoona kwani viongozi wa kisiasa wa Afrika wanashirikiana na viongozi wa kodini wa Afrika na wote ni wezi wanaihujumu...
0 Reactions
5 Replies
425 Views
Bajaji zitakusaidia kufika popote kwa haraka na gharama ndogo sana ukiwa Mwanza. Nawasilisha
1 Reactions
2 Replies
323 Views
Habari Wakuu Mi Ni Mwalimu Ajira Mpya Serikalini 2025. Nimeingia tu naona Mshara wangu Kizibo Afu Mahitaji Yangu Ni mengi sana. Naomba Ushauri, Nijishugulishe na Kitu Gani Kingine Ambacho...
1 Reactions
0 Replies
169 Views
Kuna mzee mmoja ameniambia wanyambo ni wayahudi nikashangaa na nimefuatilia nikakuta ni kweli! Cha kushangaza mbona hawafanani na wayahudi? FromHistory of the Jews in Africa - Wikipedia...
4 Reactions
76 Replies
15K Views
Kwa elimu yangu ya darasa la saba nathibitisha kwamba uwezo wa kisayansi wa kuichunguza ile nguvu ya dunia ulifika mwisho. Pengine mawazo yao yalipingana kwa kitambo; Utafti wao unaibua maswali...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Nyakati ni ngumu na mambo ni mengi lakini tunashukuru Mungu hatuwazii kuchukua maamuzi magumu au ya hovyo kama kujiua, kuiba au kudhulumu lkn kiuhalisia nyakati ni ngumu, Only god knows what we...
7 Reactions
14 Replies
542 Views
Viongozi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Kati na Mkoa wa Dodoma wamefika katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kumjulia hali Mwenezi wa BAWACHA Taifa, Bi. Sigrada...
2 Reactions
11 Replies
913 Views
Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Nashukuru hadi muda huu sijakutana na prank yoyote ile. Asili halisi ya Siku ya Wajinga (April Fools' Day) haijulikani kwa hakika, ingawa nadharia kadhaa zimependekezwa. Kuna mjadala kuhusu...
3 Reactions
4 Replies
374 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…