Bibi wa miaka 72 mkazi wa mtaa wa Mwanyanje, kata ya Igawilo jijini Mbeya ambaye aliingiliwa na watu wasiofahamika nyumbani kwake anategemewa kujengewa nyumba na Dkt. Tulia Ackson
Ikumbukwe bibi...
BOB MARLEY:-
"How can you be sitting there
Telling me that you care
That you care?
When every time I look around,
The people suffer in the suffering
In every way, in everywhere
Say...
Nimejiandikisha nida toka 2022 kama sikosei, nilipata Namba ndani ya mwezi ila sasa hivi ni miaka mitatu sina kitambulisho
Ukiangalia online unakuta kipo kimeshachapwa tayari, walipeleka...
Kwa sasa, kuna changamoto kubwa katika sekta ya afya, hasa kwenye suala la uchunguzi wa awali kwa njia ya maelezo ya mgonjwa (oral diagnosis).
Madaktari wengi waliopo kwenye hospitali na vituo...
Habarini wadau wa JF.
Miaka ya Hivi karibuni kumekuwa na Motivation speakers wengi wakiwa na Bidii ya kuwaaminisha watu Fanya hiki au kile ili uwe UTAJIRI.
Swali langu ni hili ni kweli kwamba...
Dini zipo nyingi
sio uislamu na ukristo tuu
kabla ya watu weupe kuja africa tulikua tunaabudu mungu kupitia dini gani??
Mungu si yupo tuu kabla hata ya hizi dini za watu weupe kuja?
Hizi dini...
There's a man on TV at a desk in a suit he lies through his teeth and they still call it the news
There's a man in white coat who's medicine kills he loves when you're sick because you pay for...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao.
Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku 15...
Kununua bidhaa online au Kutoa pesa Kwa Kadi ya ATM Equity utajuta kuwajua nilitoa pesa kwa visa Sydney, Australia naona makato yamekuja 110,000 TSH.
NB: Eeh ndugu usijaribu kutumia Kadi pendwa...
Nawatahadhalisha watumishi mliopo maofisini hasa mliopata hizo ajira kitambo, sio kila mgeni anaekuja hapo niwa kumchukulia poa....wengine hapo kituoni wanakuja wakiwa na kazi maalumu.
Atakuja...
Sisi ambao Tunatafuta Ridhiki kupitia Biashara, Vidogo Vidogo.
Mara Nyingi kupandishiwa Kodi mara kwa Mara, Ukilipia Kodi ya mwaka, au miezi 6 Tegemea mda wowote kukutana Bonge la waraka wa...
Kuna Tukio la Ajabu litatokea Mwezi huu April watu wataweza kuelea Angani Kwa dakika 5
Taarifa kutoka Ulimwenguni: Kuna Tukio la Ajabu linaweza kutokea mwaka huu 2025 ambapo Wanasayansi...
Jamaa yangu anakaa Tandika ila home kwao ni Mbagala Kuu, alikuwa na brother yake anakaa Ulaya anapiga mishe huko baada ya kumaliza Masomo.
Sasa brother yake alikufa kwa ajali two weeks ago na...
Kama mada ilivyo. Natamani kuanza kununua bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia hii mitandao ya uuzaji kama Alibaba, AliExpress etc japo kwa sasa nataka nianze na AliExpress.
Sasa kuna kipengele cha...
Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) na nchi ya Burundi leo Januari 29, 2025 zimesaini mkataba wa ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR yenye urefu wa kilomita 282 kutoka Uvinza...
Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) wameingia mkataba wa kujenga bandari za nchi kavu katika nchi zote mbili.
Taarifa kutoka Tanzania zinasema DRC ndiye mtumiaji mkubwa wa Bandari...