Matapeli wa telegram walivyogonga Mwamba kunitapeli
Walinicheki na kazi ya kutoa review kwenye hotel za Dar google map ,
Wakaniuliza , jina, umri na occupation (Alert)
nikawajibu . Kanitumia...
"Roho mbaya" ni neno subjective. Hata hivyo kuna viashiria vya msingi kabisa ukiona unavyo, basi jitambue una roho mbaya, anza mkakati wa kujirekebisha. Mambo hayo ni kama ifuatavyo:-
1...
Salaaam...
Nikiri wazi namsikilozaga EBM sana kuna mambo anaongea "how to survive hizi nchi" kama upo legally sio wewe mzamiaji ni lazima utamtukana
Sasa majuzi nikamsikia Watanzania ambao...
MAELEZO YA FUMBAKASA NA MWASI KWA NCHI YA ROBASASTA AU KONGO KWA LEO
FUMBAKASA alitambulika kua mtu wa kwanza hapa duniani akiwa na urefu wa km4 na upana wa kifua chake ni mita mia3, akiwa na...
Vita ya Mungu na shetani ilianzia huko mbinguni, Mungu kashindwa kumuangamiza shetani akiwa nae huko huko mbinguni ila kamtupia huku duniani sisi binadamu viumbe dhaifu ndio tupambane nae...
TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.
Rahab...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema Serikali haitazihuisha leseni za Kampuni ya PMM Tanzania Limited inayoendesha mgodi wa dhahabu wa Magambazi, Handeni mkoani Tanga, kutokana na...
Shalom Waheshimiwa! 🙏
Naomba mpokee "maua yenu" kwa kazi njema mnayofanya katika jamii, ya kuwatafuta, kuwalisha na kuwachunga kondoo.
Hivi majuzi ilipigwa kura hapa yenye swali: "Je, unaamini...
Nashangaa bado kuna watu wanaiita tarehe 1 Aprili, "Fools' day," au siku ya wajinga. Siku hii ingefaa zaidi kuitwa siku ya waongo kwa sababu watu wengi wanaongea uongo ifikapo Aprili Mosi.
Kama...
Nyakati hizi kuna watu wengi wanaoitwa manabii. Nabii ni mtu anayepokea ufunuo au maono kutoka kwa Mungu na kuyatangaza kwa watu. Kwa maneno mengine Nabii ni mtu anayeongea kwa niaba ya Mungu. Je...
Naomba kujuzwa, kampuni gani kongwe inamilikiwa na mtanzania na ina miaka mingapi?
Nini sababu za kampuni kudumu muda mrefu?
Nini unapaswa kufanya kurefusha uhai wa kampuni yako?
Nimeona Japan...
S.Aleykum , Bwana asifiwe.
Tafadhali mada hapo juu yahusika.
Niko America mwaka wa pili huu nimejifunza mengi kwa kweli-
a)Bila kazi hakuna maisha, kazi ndo itakuwezesha kumudu gharama za...
Ni wiki sasa nikifungulia radio yenu kusikiliza vipindi vya asubuhi vya magazeti na matukio nakutana na miziki na matangazo ya biashara tu. Kulikoni???
1. Katika kuhakikisha wanakamata soko la usafirishaji wa Anga. RwandAir, Uganda Airlines na Air Tanzania kuungana ili kupambana na washindani wakuu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki (Kenya...
Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali
Wadau hamjamboni nyote
Lengo ni kupeana elimu na kukumbushana wajibu wetu kwa mujibu wa Vitabu vitakatifu
Nimeweka hapa chini ushahidi kuwa...
Kumekuwa na vitendo vya kudai rushwa kunakofanywa na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya ili waweze kupitisha vikundi vya vijana kupata mkopo wa 10% Inayotolewa na halmashauri.
Hili...
iilh ina maana gani kwa kiarabu? Hilo ni neno linalowakilisha kitu au mtu yeyote anayeabudiwa.
Na upande wa Allah, ni moja ya miungu uarabuni. Huyu anafahamika zaidi kuliko wengine.
Imefika...