Mavunde amvaa mwekezaji mgodi wa dhahabu Handeni

Mavunde amvaa mwekezaji mgodi wa dhahabu Handeni

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,022
Reaction score
6,858
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema Serikali haitazihuisha leseni za Kampuni ya PMM Tanzania Limited inayoendesha mgodi wa dhahabu wa Magambazi, Handeni mkoani Tanga, kutokana na kutoridhishwa na utendaji wake.

Akizungumza jana Jumapili, Aprili 6, 2025, katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Nyasa, Mavunde alisema: “Sipo hapa kwa ajili ya kubishana, bali kuhakikisha sheria na taratibu zinafuatwa.”

Alitoa siku 30 kwa kampuni hiyo kuwasilisha taarifa za kifedha na kiufundi.

 
Huyu mzee (PMM)Wanataka kumnyang'anya mgodi wampe Mwarabu. Mwamba kajenga dryport yeye mwenyewe leo wanataka kumdhulumu mgodi.
 
Back
Top Bottom