Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama ni tarrifs nchi yake imewekwa kitimoto muda mrefu na hata wale aliowekeana makubaliano sasa hivi wana lean kwa adui zake huku wakiendelea kumuumiza kikodi. Jeshi la Marekani liligeuka uwanja...
1 Reactions
4 Replies
359 Views
Vijana wanaojitafuta katika mazingira ya kiafrika wamekua wakikumbana na changamoto nyingi zinazopelekea kubaki katika dimbwi la umaskini. Hata hivyo,kuna watu wamefanikiwa kujikwamua kiuchumi...
3 Reactions
10 Replies
642 Views
Inakuwaje mnataka kuset standard ya maisha kwa kila mmoja wetu,tumeziharibu tamaduni kwa kuifanya dunia yote iwe na tabia moja,akili na muelekeo mmoja. Tunaforce kila mmoja afikirie utajiri na...
3 Reactions
9 Replies
562 Views
Katika kuendelea na juhudi za kutatua migogoro ya ardhi, Mkuu wa Wilaya, Petro Magoti, amekuwa akifanya mikutano ya mara kwa mara na jamii, ambapo anawapa fursa wananchi kutoa maoni yao kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
421 Views
Wenyeji wa Zanzibar ni hasa watu wa kabila la Wazanzibari, lakini hili si kabila kwa maana ya kijadi kama ilivyo kwa Wachaga au Wanyakyusa, bali ni utambulisho wa watu wa visiwa vya Zanzibar...
1 Reactions
4 Replies
683 Views
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 umeanza leo Aprili 8, 2025 Jijini Dodoma, ukiwa ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026. Kwa mujibu wa...
2 Reactions
10 Replies
985 Views
Wadau hamjamboni nyote? Wakazi wengi Tanga wameathirika macho yao kutokana na ulaji mkubwa wa mihogo
1 Reactions
1 Replies
294 Views
Vitu 10 Vya Kutisha Kuhusu Ndege Ambavyo Vitakufanya Ujisikie Wasiwasi Hata Kama Wewe ni Mwingiliaji Hodari Unachojua huenda kikayumbisha meza yako ya chakula... Ndege ni salama kimasafa—lakini...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu, Ila kwenye ile video jamaa alisema wapo wengi hapo hospitali, serikali inasema watu 2!🤔🤔 Pia soma: Huu ni ugonjwa gani? Wizara ya Afya semeni kitu ===== TAARIFA KWA UMMA KUHUSU...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana bodi huu upuuzi wa kutumia watoto katika halaiki na kuwalipa 3,000/= ni aibu. Yaani watoto washiriki mazoezi kwa muda wa wiki tatu(3) na gharama za usafi ni kwa wazazi, kisha baada ya...
0 Reactions
1 Replies
357 Views
Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna, Ata bites anakula mwenyewe...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Hii nayo iwekwe kwenye maajabu ya wanawake.Hawa viumbe hawasomeki kabisa.... Wanawake bana likitokoea tukio hasa ajari wanakuwa wa kwanza kufika pale na huwakuti wanatoa msaada bali vilio tu...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Naishi mjini, lakini hapa nilipo kuna kitongoji hakina kabisa library ya kuingiza movie katika flash, dogo yupo mkoani vip nikimwita akapige kazi hiyo nitanufaika? Usafiri wa kwenda na kurudi...
1 Reactions
8 Replies
446 Views
Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali Catherine amekuwa akimkosoa Mh Kabudi alipopendekeza...
0 Reactions
11 Replies
722 Views
Hili ni bandiko la utabiri, Hii tume haina maisha marefu, serikali itaibomoa kabla ya mwaka 2030. Ujio wa NIDA umeleta changamoto kwa NEC sababu kitambulisho cha mpiga kura hakina matumizi...
1 Reactions
11 Replies
627 Views
Leo jumanne ya tarehe 08/04/2025 kipanya ametupa katuni yake. Wewe umeielewaje?
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama suala la kutengeneza mkoa basi ingefaa kuwa mkoa wa pwani ukagawanywa maana watu wa Rufiji,mkuranga,kibiti na Kisarawe wanapata Shida kufika mkoani Kwa huduma mbalimbali za kiserikali na hata...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Katika kitu ambacho sikukielewa hapa Tanzania ni kipindi Rais Magufuli alipoingia madarakani wapinzani wakawa wanampinga kwa Kila anachokifanya, kufikia hatua ya Magufuli kuwachukia na sababu...
2 Reactions
15 Replies
560 Views
Habari za Leo wakuu, Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa. Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya...
0 Reactions
2 Replies
589 Views
Hawapokei pesa mkononi lakini pia ni lazima mtalii wa ndani uwe na kadi ya CRDB BANK,kwa maana hiyo inakupasa kufungua akaunti benki hiyo ndipo uweze kwenda kutembelea hifadhi,lakini pia usafiri...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…