Wilaya ya Rufiji inapaswa kuwa mkoa mpya

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,259
Kama suala la kutengeneza mkoa basi ingefaa kuwa mkoa wa pwani ukagawanywa maana watu wa Rufiji,mkuranga,kibiti na Kisarawe wanapata Shida kufika mkoani Kwa huduma mbalimbali za kiserikali na hata huduma za afya ngazi ya mkoa nayo ni issue maana hospital kuu mkoa wa pwani Ipo kibaha,sababu ya pili ni za kijiografia kwani kutoka Rufiji kwenda ofisi za mkoa wa pwani bado ni mbali sana na hazifikiki kwa uraisi hata hapo baadae kwa mfano pwani ikawa jiji basi ushiriki wa madiwani wa Rufiji,Mkuranga,Kibiti,Mafia na Kisarawe utakuwa ni wakususua Ukizingatia kwenye suala la maendeleo ni ukweli usiopingika halmashauri hizi 4 hazina maendeleo kama zile zingine za mkoa huo kwa mfano huwezi linganisha bagamoyo,Kibaha na Mlandizi na Chalinze kwani hizi sehemu zote Zinapiga hatua za kimaendeleo kwa sababu zipo Karibu na Serikali ya mkoa hivyo basi kutokuwepo na ukaribu wa serikali ya mkoa ni moja ya sababu ya kudunisha maendeleo katika maeneo haya tajwa ya mkoa wa pwani na hata hupelekea kukosekana kwa udhibiti wa ulinzi na Usalama kwa maeneo hayo kama ilivyotokea kipindi kile Kwenye yale mauaji

Ya askari kule kibiti ili kuzuia haya kunahitajika serikali ya mkoa itakayopokea maagizo directly Kutoka serikali kuu
Namuomba mh rais @SuluhuSamia arifikirie hili kwa umakini na Kwa maanani dhidi ya wananchi wa maeneo husika kwani haja ipo za kiuchumi na kijamii.

IMG_45va9l.jpg
 
Lowassa alisema Elimu, Elimu, Elimu. Yaani wewe umeangalia kigezo kimoja tu cha ukubwa jiografikali!???
 
Swala la Chato ni kinyaa na aibu kwa serikali . Kwa hiyo wanajitahidi isiwe Gbadollite ya Mobutu
 
Tupe na ramani ya Chato maana haka ka Chato kanajilinganisha na miji mikubwa sijui wanamalengo gani au kanafikiri kenyewe ndio kana haki kuliko sehemu zingine
 
Pendekezo;
Napendekeza mkoa mpya uundwe kwa muunganiko wa wilaya ya KILWA,RUFIJI,KIBITI na wilaya moja ya MOROGORO.

Ukanda huu hauna maendeleo kabisa,serikali imetususa sana ijapokuwa tunachangia kodi kwa kiasi kikubwa, hivyo naungana nawe mtoa maada tupatiwe mkoa ili tupige hatua kimaendeleo.
 
Wewe naye hujitambui! Kwani mmekatazwa kuomba uwe mkoa kama una vigezo? Chato itakuwa mkoa mapema kuliko mtegemeavyo😜!
 
Pendekezo;
Napendekeza mkoa mpya uundwe kwa muunguniko wa wilaya ya KILWA,RUFIJI,KIBITI na wilaya moja ya MOROGORO.

Ukanda huu hauna maendeleo kabisa,serikali imetususa sana ijapokuwa tunachangia kodi kwa kiasi kikubwa, hivyo naungana nawe mtoa maada tupatiwe mkoa ili tupige hatua kimaendeleo.
Ukiiondoa kilwa lindi..hakika lindi itakufa completely

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbona watu mna wivu sana..kumbukeni kanda ya ziwa kuna watu wengi sana kulinganisha na maeneo mengi nchini..wasukuma wanazaliana sana..chamsingi kigezo cha population kinatosha sana kugawa mikoa zaidi hata ya chato kwa eneo la kanda ya ziwa...huwezi linaganisha kigezo cha populationa na mikoa kama lindi,morogoro ama tabora mikoa hiyo sehemu kubwa ni mapoli na population ni ndogo kulinganisha na eneo la kanda ya ziwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama suala la kutengeneza mkoa basi ingefaa kuwa mkoa wa pwani ukagawanywa maana watu wa Rufiji,mkuranga,kibiti na Kisarawe wanapata Shida kufika mkoani Kwa huduma mbalimbali za kiserikali na hata huduma za afya ngazi ya mkoa nayo ni issue maana hospital kuu mkoa wa pwani Ipo kibaha,sababu ya pili ni za kijiografia kwani kutoka Rufiji kwenda ofisi za mkoa wa pwani bado ni mbali sana na hazifikiki kwa uraisi hata hapo baadae kwa mfano pwani ikawa jiji basi ushiriki wa madiwani wa Rufiji,Mkuranga,Kibiti,Mafia na Kisarawe utakuwa ni wakususua Ukizingatia kwenye suala la maendeleo ni ukweli usiopingika halmashauri hizi 4 hazina maendeleo kama zile zingine za mkoa huo kwa mfano huwezi linganisha bagamoyo,Kibaha na Mlandizi na Chalinze kwani hizi sehemu zote Zinapiga hatua za kimaendeleo kwa sababu zipo Karibu na Serikali ya mkoa hivyo basi kutokuwepo na ukaribu wa serikali ya mkoa ni moja ya sababu ya kudunisha maendeleo katika maeneo haya tajwa ya mkoa wa pwani na hata hupelekea kukosekana kwa udhibiti wa ulinzi na Usalama kwa maeneo hayo kama ilivyotokea kipindi kile Kwenye yale mauaji

Ya askari kule kibiti ili kuzuia haya kunahitajika serikali ya mkoa itakayopokea maagizo directly Kutoka serikali kuu
Namuomba mh rais @SuluhuSamia arifikirie hili kwa umakini na Kwa maanani dhidi ya wananchi wa maeneo husika kwani haja ipo za kiuchumi na kijamii.

Naunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom