Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imemhukumu Mwandishi wa habari kituo cha runinga cha Star Tv, Alocye Nyanda kulipa faini ya Sh 2 bilioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kufanya...
Tunaomba mrejesho kuhusu ujenzi wa barabara za kata ya kitunda kama tulivyoahidiwa kutoka Banana kwenda Kitunda, Magole, Kivule, Hospitali ya wilaya kivule, Magole, Mwanagati, Msongola nk...
Points zangu ni zifutazo
1. Pombe
Inamaliza Sana Hela hasa ukinywa za kampani za kuzungusha yule mupe yule muruke ila bia za kunywa mwenyewe hazifilisi hata kidogo kwani huwezi kuchoma laki Kwa...
Katika uwasilishaji wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi 2022/2023 mMh.Waziri barawa(MB) alipata kusema kuwa ilitokea ajali mbili za Ndege moja ikiwa ni...
Maelezo ya Wosia wa Jenerali Francis Ogolla: Nani Alipata Nini?
Ni zaidi ya mwangaza wa utajiri wa Jenerali; ni taswira ya maadili aliyoyathamini: familia na utaratibu.
Ufunuo wa wosia huu...
Donald Trump was re-elected as the 47th President of the United States of America with the promise of making America Great Again. It sounds wonderful right? It is true that over years American...
Kuna wakati warembo wetu hawakutaka kusikia kitu kinaitwa soka ila soka la bongo lilipo fanyia investment na promotion ya nguvu basi dada zetu hao wakatia kambi🤣 ili wawe na show off na gears za...
Katika kumuenzi kijana jasiri aliyeokoa watu kwenye ajali ya ndege ingefaa Bukoba Airport ipewe jina lake kwa heshima na kumbukumbu ya vizazo vijavyo (MAJALIWA AIRPORT).
Serikali ilianzisha uzalishaji wa ngano toka mashamba ya Hanang' Complex Mkoani Manyara na uzalishaji ulikuwa mkubwa sana. Serikali ilipoanza ubinafsishaji mashamba haya yaliuzwa kwa bei ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Kila kitu Kiko wazi kuwa Kristo atarudi na kuivunja mifumo yote mibovu duniani hivyo tusifadhaike!
Hakuna sababu ya kutishana na kutiana hofu kujadili mifumo ya duniani...
Bonde la Ziwa Victoria chini ya Mkurugenzi, Dkt Renatus Shinhu waliandikiwa barua na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa kupitia kwa Katibu Tawala Wilaya, Athuman Kalaghe yenye Kumb Na. AB. 73 /171...
Sawa mrembo umefanikiwa kupata bwana mwenye pesa uliekuwa unataka, kwanini sasa usiishi kwa kumu-appreciate yeye na ubora wake huo uliokuwa ndoto yako
Rather unamtumia ili ushindane na kunogeshea...
Rafiki wa mtaani, shuleni, chuo, n.k. mlikuwa washikaji sanaaaa kujuliana hali kila siku, muda mwingi mpo wote, kushare siri, n.k. lakini leo mmebaki kuchunguliana view stutus,
Halafu hata...
Sasa mpaka vijijini wamefikiwa, mchina kajaza slots machines.
M Machine zake nyingi ni sh. 200 ambapo yeye huweka sh. Elfu 60 tu , sawa na sarafu 300 tu za sh. 200 ya Kitanzania.
Akiweka...
Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeeleza kuwa kuna shule kadhaa zinazofundisha masomo ya sayansi bila kuwa na maabara, hali inayotia wasiwasi hasa ikizingatiwa...
Fee ya utalii iwe moja tu nikimaanisha mgeni akilipa aweze kutembelea mbuga zote na hii itaondoa usumbufu na inconvenience kwa mgeni na itakuwa ni rahis kutangaza utalii
Wanajukwaa habari ya jumamosi.
Naombeni wenye uzoefu wa KUUZA MAYAI mnipe uzoefu nataka kuanza na mtaji wa 2M niwe na flem naombeni changamoto zake pia bei ya kununua sokoni na KUUZA
Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao
ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao...