Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amesema sheria na kanuni ya Leseni ya Usafiri wa Umma inamruhusu abiria kupakia mzigo ambao upo chini ya kilo 20 bila kulipia kwenye basi la abiria...
Katika kujisomea kwangu mambo ya uchumi. Naona sasa ni rahisi kukopa kenya na kuja kuwekeza Tanzania. Riba yao ni nafuu kuliko ya kwetu.
Kwa hari hii sisi tutaendela kuwa chini kiuchumi. Serikali...
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Bi Kanizat Ibrahim ambaye ni Mjumbe wa Afrika katika Baraza la Uongozi la Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)...
#HABARI: Gari aina ya Nissan Ex-trail lenye namba za usajili T 566 CXL mali ya Bw. Philimon Mng'ong'o, Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mbeya mjini Mkoa wa Mbeya limechomwa moto...
Masjala ndogo ya Dar es Salaam kuhusu kesi iliyofunguliwa na Wakili Wakili Kisabo kuhusiana na madai ya kutoweka kwa mwanaharakati kijana Deusdedith Soka na wenzake wawili.
Soma Pia: Kutoweka kwa...
Mfano, sasa hivi mvua zinanyesha almost mkoa mzima wa Tanga
Lakini Tanga Jiji mvua ni za kubabia, ie ndogo sana kulinganisha na maeneo yanayozunguka Jiji. Kitaalamu inasababishwa na nini?
Tusije tukajisahau kudhani umasikini utaisha kwa kuwa na katiba imara yenye kuleta uwasawa wa kidemokrasia. Hii ni hatua nzuri lakini sio lazima ilete Maendeleo kama watu wetu watakuwa na akili...
Imekuwa ni kero mara nyingi kutokana na huduma za kusuasua na zisizo kuwa na uhakika kwa wanafunzi na wahitimu kwa ujumla kutoka chuo cha afya City College kampasi ya Dodoma.
Kero iliyopo kwa...
Utapeli ni art ya miaka dahari. Katika maisha zaidi ya 70% ya binadamu duniani wamewahi kukutana na dhahama ya kutapeliwa.
Dakika 5 mpk saa 1 baada ya kutapeliwa mtu huwa anachanganyikiwa...
Fortunatus Buyobe ndiye muandishi wa makala za Uchunguzi ninayemfahamu. Kwa muda mrefu Nimekuwa nikisoma makala zake tangu Twitter, Telegram na Sasa Clubzilla.
Hivi karibuni amekuwa mzembe kwani...
Bank ya CRDB tawi la LAPF Dodoma wahudumu wako taratibu sana, majibu yasiyo rafiki
Kwenye foleni inakaa masaa bila huduma, yapo madirisha manne ya huduma ila kwa muda mrefu ni dirisha Moja tu...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu Wasabato duniani mnaweza kutupa ushahidi au dalili kimaandiko kuthibitisha kuwa Mama Ellen G White ndiye Nabii wa mwisho duniani?
Je ni kweli kuwa baada ya...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane
Nimekuwa nikisema mara kadhaa ya kwamba,mwanadamu yeyote aliye na ngozi nyeusi ni ngumu sana kumkontroo bila maamuzi magumu na yanayoumiza!
Sisi ngozi...
Ni haki ya kila binadamu kuishi, kuheshimiwa na kuishi kwa amani. Cha ajabu watu wanaojifanya wako na dini sana ila hawana ubinadam.
Leo Papa amefariki, moja ya msingi mkubwa aliokua akisimamia...
We si ulikua unasikia TU mtandao wenye kasi ya 5G, 6G sasa China wametambulisha mtandao wa intaneti wenye Kasi balaa wa 10G.
China imezindua mtandao wa kwanza wenye Kasi Duniani wa kibiashara...
Nifanyeje?
Usiku na mchana ni kwaya tu, wakati mwengine wanatia kanda na kuwasha maspika ya nje wao wapo majumbani.
Hawana Jumamosi, jumapili au ijumaa , siku zote wao ndio hivyo.
Kuna shule...
Kunguru anapokutizama sio kwamba anakutizma ilimradi hapana ana uwezo wa kutunza kumbukumbu.
Katika utafiti wa muda mrefu ukiongozwa na Profesa John Marzluff katika chuo Kikuu Cha Washington...
Tabia ya Mwijaku Toka Kitambo inajulikana.
Mpaka lini CCM itaendelea kua FICHIO LA WATENDA WA MAOVU???.
Yan watenda Maovu ndio wanalibeba Jina la CCM na kumtangaza Mwenyekiti wa CCM????.
Kwa...
Sijawahi kutumia TikTok hapo kabla, ni jana tu nimejiunga huko mjini TikTok. Hii ni baada ya mshikaji wangu mmoja mara kibao amekuwa akiniambia kuwa kule kuna vichekesho ambavyo kama huna mbavu...