Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa onyo kwa baadhi ya viongozi wa umma wanaotumia madaraka yao vibaya kwa kulazimisha mahusiano ya kingono kazini, hasa kwa waandishi waendesha ofisi...
2 Reactions
9 Replies
683 Views
Wakuu, Katika kada karibu zote tuko nyuma sana kitekknolojia, hata ambao ungetegemea wawe updated nao mambo ni yale yale. Mfano waandishi wa habari, mambo yanabadilika kila leo, sasa tuna...
4 Reactions
13 Replies
665 Views
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa hakuna mtu mgumu kumshauri kama anayekaribia kutapeliwa. "Waswahili wenzagu wanasema Hakuna mtu mgumu kumshauri kama...
3 Reactions
10 Replies
945 Views
Hii hapa simulizi ya kusikitisha inayonihusu mimi, Inspector, ikigusa hisia kutokana na safari yangu ya kiafya: --- Safari ya Maumivu na Tumaini la Mwisho. Inspector nilikuwa kijana mwenye...
13 Reactions
34 Replies
3K Views
Wanafunzi wa Kitongoji cha Iyozu, Kata ya Muungano Wilayani Chato Mkoani Geita wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka kwenye makazi yao kwenda shuleni kutokana na mvua kubwa zilizonyesha miaka 13...
2 Reactions
9 Replies
916 Views
Habari za Wadau wa JamiiForums! Salamu kwa wapambanaji wote wa maisha, wale wanaokimbiza ndoto zao bila kusubiri kesho ifike. Huu ni mwaka wa ushindi, mwaka wa kufungua milango ya fursa, mwaka wa...
5 Reactions
4 Replies
676 Views
Unachokifuatilia muda mrefu ndicho kinajenga ufahamu na mipaka yako kiakilini. Acha kufuatilia mambo madogomadogo, mambo ya manenomaneno yasiyo na vitendo. Unanyong'onyesha Ubongo wako. Mfano...
9 Reactions
16 Replies
723 Views
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Sekta ya Madini nchini imeendelea kupiga hatua kubwa, ambapo maduhuli ya zaidi ya shilingi bilioni 902 sawa na asilimia 90.2 ya lengo la...
1 Reactions
0 Replies
258 Views
Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) imesema kuwa inatarajia kutoa taarifa na tarehe rasmi ya kurejea katika safari zake za kawaida kwa Meli ya New Victoria 'HKT' ambayo imekuwa katika matengenezo...
0 Reactions
1 Replies
567 Views
Wakazi wa Mbagala wamefurahishwa na huduma za kibingwa na kibobezi zilizotolewa na wataalam wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika kambi maalum ya matibabu iliyoandaliwa na...
1 Reactions
1 Replies
307 Views
https://youtu.be/7aPJ1GP9HI4?si=3qPt-dgtRClDyksg Wabunge wanaotoka ukanda wa ziwa Tanganyika ikiwemo Katavi,Kigoma na Rukwa wakiongozwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile wamefanya...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Je, nisahihi kutumia Taser kama njia ya kujilinda? Je, kuna madhara yoyote yanayoweza kusababishwa na matumizi ya Taser?
4 Reactions
68 Replies
4K Views
Wakuu habari Kuna viwanja vitatu Mzee kanipa, Kimoja kipo Mlandizi ndani ndani huko porini, kama unaenda bagamoyo Kingine kipo ubungo external Cha mwisho kipo kimara mwisho Na Sina mpango...
2 Reactions
2 Replies
603 Views
Masikini unakuta hata bwana yake huko alikuwa ndio anajichanga aende kujitambulisha ghafla akaona hii clip😂 Ukiwa una pesa alafu ukikutana na demu mwenye bwana, ukimuulizia kuhusu bwana yake...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Hivi Hawa jamaa inakuaje mpaka wanaweza kuiba pesa na namba ya Siri hawana maana Leo ni kilio jamaa yetu hapa mtaani aliibiwa simu jana na alishapigia Yas wakaifunga laini ila Leo amerenew laini...
11 Reactions
99 Replies
5K Views
Shikamooni wakubwa zangu wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (last born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Hii issue niliwahi kuambiwaga na mama yangu...
83 Reactions
246 Replies
43K Views
TRA recently wame-update system yao, sasa kuna kitu kinaitwa Taxpayer Portal. Ni jambo jema ila limekuja na machungu yake. Ni jambo jema sababu sasa unaweza submit tax audits, fanya VAT returns...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni! Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki! Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao! Kila siku watu...
1 Reactions
8 Replies
666 Views
Wadau hamjamboni nyote?.... Starting to the right and left or the left to the right?
1 Reactions
0 Replies
195 Views
Kuna majengo ya serikali nasimamia kama mtumishi wa umma sasa katika kuwalipa mafundi na suppliers Kuna Kodi inatakiwa kulipwa TRA, kwakuwa sina uzoefu na haya mambo nikasema niende ofisini kwao...
0 Reactions
2 Replies
650 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…