Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mmomonyoko wa maadili kwa kizazi cha leo umekuwa ukienda kwa kasi sana, nahisi itakuwa 10G😄😄. Jambo hili limekuwa likileta mkanganyiko na kutupiana lawama kwa kila rika. Hebu angalia mitazamo...
0 Reactions
3 Replies
309 Views
https://www.instagram.com/reel/DKKxShrNI0b/?igsh=MTdzeDIyMnY5ZDFqNw==
0 Reactions
6 Replies
375 Views
Katika jitihada za medical tourism hizi ni baadhi ya complex medical procedure zitakuwa nafuu Tanzania kuliko sehemu yeyote duniani Bone marrow transplant Liver resection Pancreas resection lung...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia. Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na...
20 Reactions
62 Replies
4K Views
Ushahidi uko wazi, kwanini asipelkwe jela moja kwa moja? https://web.facebook.com/reel/1100919795416621
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mit 19:27 SUV [27] Mwanangu, acha kusikia mafundisho, Ukitaka tu kuyaasi maneno ya maarifa. Mtu akitaka kuwa bora kwenye maisha yake, kazi yake, utumishi wake, biashara yake, na kwenye familia...
1 Reactions
1 Replies
273 Views
Mit 23:23 SUV [23] Inunue kweli, wala usiiuze; Naam, hekima, na mafundisho, na ufahamu. Kama kuna kitu cha kutafuta kwa bidii ni kweli ya Mungu, hekima yake, mafundisho sahihi, na ufahamu wa...
1 Reactions
1 Replies
318 Views
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua. 1: Wanaongea kama watu...
9 Reactions
83 Replies
3K Views
Wadau niko na mattress natak iende tanga niko mombasa vip naweza kusafiri nayoo sio mpya ni ya kitamboo kidogo jeee nafanyajeee ifike tanga nikawape ndugu zangu ni godoro la 5 ×6
1 Reactions
30 Replies
2K Views
SERIKALI imesema mahitaji ya walimu wa masomo ya sayansi na Hisabati ni walimu 47,354, waliopo ni 30,044 na upungufu ni walimu 17,312. Hayo yameelezwa leo bungeni Mei 29,2025 na Waziri wa Nchi...
1 Reactions
5 Replies
757 Views
Leo jioni niliandika mada kuhusu walimu wa kikenya walivyokuwa wanakunywa nyuka mabel mstarini, lakini cha ajabu naona sijui ni wakenya wameingilia kati ? uzi ume editiwa yaani ili uonekane laini...
2 Reactions
6 Replies
437 Views
Kuna orodha imetoka kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima. Hii hapa ipakue. Sasa nauliza kwani ni lazima?
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Vijana wameombwa kujitafutia kipato kwa njia ya halali ili kuepusha madhara yanayo tokana na wizi kama ambavyo alivyofanya Rajabu Jumanne Mkazi wa kijiji cha Njilii Halmashauri ya Itigi Wilaya ya...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
"Elon Musk alijitolea kununua tuzo yangu ya Ballon d'Or yangu kwa $1-bilioni lakini nilikataa ofa hiyo." __ George Weah Tuzo yangu ya "Ballon d'Or yangu sio tu mafanikio yangu makubwa katika soka...
1 Reactions
4 Replies
382 Views
Ule msemo wa 'ukionja asali utachonga mzinga' umeanza kudhihirika kwa Wa-sauzi waliokatiwa pande kubwa la ardhi na chuo kikuu cha Dar-es-salaam al-maarufu kama 'MLIMANI CITY'. Hali kadhalika kuna...
8 Reactions
77 Replies
12K Views
Salaam. Nimejiuliza hili swali kwa muda mrefu na hua nakosa majibu. Huu ukiritimba tumeukuta na hatujawahi jiuliza kwanini tunauendeleza mpaka leo. unaweza ukakuta jitu lilikua la hovyo sana...
8 Reactions
50 Replies
1K Views
KUOTA NAPAA MARA KWA MARA... Mambo vipi ? Nimekuwa na tabia ya kuota NAPAA mara Kwa mara Toka zamani na kucheza michezo ya kupaa sehemu mbalimbali aswa kwenye milima,miti yaani naota nafurahia...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
https://www.instagram.com/reel/DJ0To8sRded/?igsh=MWhjaWJwb3l4Nmp6Zw==
0 Reactions
9 Replies
594 Views
Huenda ukawa ni wewe, ama ukawa hutaki kuwa wewe, let say jamaa yako (kwa ME) ama shosti wako (kwa KE), anafanya biashara gani inayomuwezesha kumudu familia? How such business is running...
4 Reactions
8 Replies
658 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…