Leo tunaona msajili wa vyama kukumbatia CCm.
Leo tunaona polisi kama sio mwana CCm basi maisha yako ni kenge.
Leo tunaona magari ya polisi kubeba wananchi washiriki mkutano wa CCM.
Leo tunaona...
Mbeya, 18–21 Aprili 2025 – Kampuni inayoongoza nchini Tanzania katika huduma za mawasiliano na maisha ya kidijitali, YAS, kwa kushirikiana na KSI Charitable Eye Centre, imezindua rasmi kampeni ya...
Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospester Muhongo ametajwa kutekeleza vema aliyoyaahidi jimboni kwake.
Mbunge huyo ambaye pia ni mwanataaluma bobezi ameng'ara kwa namna alivyowatumikia wapiga...
Kuna kosa limekuwa likifanyika mara nying katika mabaraza ya ardhi ya wilaya. Nalo ni hili:
Wenyeviti, wengi huwa wanasahau kuweka maoni ya wazee baraza na kusoma maoni haya mbele ya wadaawa...
Jana na juzi mitandao imepiga kelele ikiongozwa na Serikali ya China baada ya DONALD TRUMP kuagiza balozi zote kusitisha visa appointment zote na kutopanga new appoitnments mpaka maelezo mengine...
Jamani, hebu niwaambie kitu – Mbowe hatohama CHADEMA kama mnavyodhani! Wengi wamekuwa wakisema eti anajiandaa kutoka, eti amechoka, eti kuna mgawanyiko... lakini ukweli ni kwamba Mbowe bado yupo...
Wapenzi Wanaume,
Hakuna aibu kusema,
"Babe, siwezi kumudu hicho kitu."
Usiende kukopa au kuwa na madeni ili kumfanya mwanamke afurahi, hawatakujali.
ishi maisha yako kwa uwezo wako...
Miongoni mwa mambo yanayonikera mno ni wakenya kujitapa, ya kwamba Tanzania imejaza Omba Omba Kenya, inaniumiza sana sana, serekali ilichunguze hili ione jinsi gani itawasaidia tofauti na...
😂 au vinatolewa vile ambavyo mtaalamu anaweza kula tu?
Anyway like serious 😳, katika ulimwengu wa kiroho wanyama hawa wana connection hadi wao kutumika kwa ajili ya kafara na matambiko?
Watu wengi husafisha nyota ilhali nyota zao zinang’ara. Wengine hudhani nyota zao zimeporwa kumbe wanazo ila zimefifia tu. Kabla hujasafisha au kurejesha nyota, kwanza fanya kipimo.
Faida za...
Naongea kutokana na uzoefu kidogo, nineona kwenye interview vijana wakipanga mistari mirefu kupambania ugali wao, wengine wamekaa mtaani zaidi ya miaka 10, na bado wapo wanapambana kwenye usahili...
Wakili Peter Madeleka leo amezungumza na vyombo vya habari katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam – Divisheni ya Ardhi, kuhusu kesi ya wafanyabiashara waliopata hasara...
Mmomonyoko wa maadili kwa kizazi cha leo umekuwa ukienda kwa kasi sana, nahisi itakuwa 10G😄😄.
Jambo hili limekuwa likileta mkanganyiko na kutupiana lawama kwa kila rika. Hebu angalia mitazamo...
Katika jitihada za medical tourism hizi ni baadhi ya complex medical procedure zitakuwa nafuu Tanzania kuliko sehemu yeyote duniani
Bone marrow transplant
Liver resection
Pancreas resection
lung...
Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia.
Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na...
Mit 19:27 SUV
[27] Mwanangu, acha kusikia mafundisho, Ukitaka tu kuyaasi maneno ya maarifa.
Mtu akitaka kuwa bora kwenye maisha yake, kazi yake, utumishi wake, biashara yake, na kwenye familia...
Mit 23:23 SUV
[23] Inunue kweli, wala usiiuze; Naam, hekima, na mafundisho, na ufahamu.
Kama kuna kitu cha kutafuta kwa bidii ni kweli ya Mungu, hekima yake, mafundisho sahihi, na ufahamu wa...
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.
1: Wanaongea kama watu...