Salaam Wakuu, Mbunge wa Mbezi Beach nimekuja tena mbele yenu na kero ya wananchi wangu🌚🌚
Kama mnavyoona kwenye video hapo hapo kuna gari imekwama imekwama asubuhi hii, hayo maji yametuama hapo...
🔴Ufalme Ndani Yetu: Siri Zilizofichwa za Mafundisho ya Yesu.
Kuna mafundisho ambayo hayawezi kupatikana kwa kusikia tu, bali kwa kusikia na kuelewa. Haya ni mafundisho ya ndani, ya wale wenye...
Habari za muda huu wanajamvi.
Kumekua na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira nchini na wanasiasa hawaonekani kuguswa na hii kadhia
Zaidi wanawaambia vijana wajiajiri lakini wao wanaomba ajira kwa...
1. Wadada
Tangu jamii ilipoamua kufanya sex kama “causal thing” na wengine wakwenda mbali zaidi ou commercialize sex, hali imekua tofauti. Vijana sasa hawajua struggle za kutongoza na...
My Country People ni wajinga sana, Post mitandaoni zenye engagement kubwa au kufuatiliwa zaidi ni zile za umbea, sijui Ex wa Mobeto kafanya nini kwenye harusi ya Jux, Sijui Mke wa Jux ana Mimba...
Wakuu hivi katika hospitali zote za rufaa nchini Kuna hospitali yenye mganga Mfawidhi mchapa kazi asiye na makuu kama huyu mama wa kichagga?
Binafsi natamani sana kuona serikali ikiwakutanisha...
Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
Leo nimejaribu kuingia katika tovuti ya MillardAyo.com na nimepata ujumbe huu:
Overdue Hosting Payment - Site SUSPENDED!
This website is down due to the client's failure to pay for hosting for...
Miezi kadhaa iliyopita niliweza kuhamia sehemu X kwa ajili ya utafutaji nilifanikiwa kupata site nikaanza shughuli zangu.
Wenyeji wangu wachache walijua Mimi ni msomi niliyehitimu chuo japo...
Huku ndio kuondoa amani
Hakuna mkristo anayepinga Waislamu kujenga msikiti katika maeneo yao na tena wa (ga) wanatuchangisha....
Ila linapokuja suala la ujenzi wa jengo la kuabudia kwa Wakristo...
Kumekuwa na hizi tetesi kwa kipindi kirefu sasa. Kuwa wasio na visogo au walio flat kisogoni asilimia kubwa huwa na ubongo wao unakuwa umebonyea kiasi flani hivyo wanakuwa hawana sana akili...
Je, Hii Nchi ya Tiro Bado Ipo?
Kama Haipo, Je Huu ukahaba Tiro alishaufanya?
========
Isaya 23:15-18
[15]Basi, itakuwa katika siku ile, Tiro utasahauliwa miaka sabini, kadiri ya siku za mfalme...
Wakuu Kama title inavyo sema kopesha ushangazwe. Mimi nimeshangazwa wiki hii na wadaiwa wangu(kuonekana mbaya kudai changu).
Naomba experience yenu nyinyi ambao tayari mlishawahi kukopesha na...
Smart phone na social media haviepukiki katika dunia ya leo. Moja ya faida ni kuelimisha, kuna binti wa miaka 10 aliweza kuandaa period pack yake kabla hata ya kupevuka kutokana na uwelewa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) zimeanza kutoa mafunzo maalum ya upasuaji wa vivimbe vya mishipa ya damu...
Muda huu alipo tumelazimika KUMPIGA PINGU !!
Anatetemeka na kutoa jasho na kuomba apewe kidogo anajihisi kufa
akiachiwa huru kituo cha kwanza ni kwa Pusha, kuna pusha tulishamkataza asimuuzie...
Hili jambo la kutahiri wanaume na kuketa wanawake lilikuwepo Africa au lilitewa Africa na jamii za nje hususani Waarabu ?
Ukiangalia nchi ambazo ukeketaji ulikuwa umekithiri na bado umekithiri ni...
Nimesikitishwa na uharibifu wa mazingira unaofanywa mkoani Kilimanjaro kutokana na operesheni ya kukata miti "haram" ya mirungi.
Ekari zijatajwa zaidi ya 800 zilifyekwa kwa ajili ya kudhibiti...