Napenda kutoa taarifa kwa viongozi wanaoweza kuokoa hali ya sintofahamu kuhusu watumishi wa vituo vya mizani kitolipwa malipo yao kwa takribani miezi 6.
Kutokana na hili vitendo vya Rushwa...
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima amesema Shambulio hilo lilitaka...
Mpo poa?
Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.
Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili...
Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
Serikali imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa ni siku moja tangu kiongozi huyo wa kiroho atangaze msimamo wake...
Kwa jinsi ninavyo ona nashawishika kabisa kabisa kuwa hakuna mtu au kikundi cha watu wenye uwezo wa kuzui uchaguzi mkuu
Haihitajiki kujiuliza mara mbili mbili ni was hakuna watu wa kufanya hvyo...
Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri.
Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana...
Habari zenu wanajukwaa, leo usiku hapa nyumbani kuna njiwa ametua juu ya bati na amekaa kwa muda mrefu almost masaa mawili sasa ningependa kujua hii ina maana gani, Natanguliza shukrani🙏🏽
Kama hujawahi kufika UDOM unaweza kunibishia,ila kana umefika utakubaliana bsni kuwa Udom peke yake inazidi CBD za mikoa mingi kwa majengo na mzunguko wa hela pamoja na miundombinu.
Hivi kweli...
Kesi Maarufu ya Binti wa yombo iliyowakuta na hatia Vijana watano Nyundo na Wenzie inatarajiwa kuanzia kusikilizwa siku ya kesho katika kituo jumuishi cha kutoa haki jijini Dododma
Nyundo na...
Viongozi wa Dini ya kiislamu, je ? Ala na mtume Mohamad aliwafundisha kufumbia macho utekaji, uonevu, upotezaji na uuaji wa watu? Dini yenu inabariki haya mambo ya hovyo na kuyaona baraka kwa kuwa...
Hesabu ya Jumla ya Usajili kutoka T100AAA hadi T999EKZ
Tutahesabu jumla ya magari yaliyoandikishwa kutoka T100AAA hadi T999EKZ kwa kuchanganua mfuatano wa herufi na namba.
Hatua ya 1: Kuamua...
Alhaj Mustafa Songambele(aliyelala) akiwa na Waziri Simbachawene
Mwanasiasa mkongwe na miongoni mwa wapigania uhuru wa Tanganyika, Alhaj Mustafa Mohamed Songambele, amefariki dunia usiku wa...
Ni kawaida kwa waafrika walio wengi kipigania kwenda nchi za magharibi kwa gharama kubwa na wakikubaliwa wengine wanafanya sherehe
Mwafrika ni mtu anayependa shortcut ndo moja ya sababu ya nchi...
"Waafrika wengi tumepewa zawadi ya kufikiri, lakini tunaikabidhi kwa viongozi wa dini kama sadaka, kisha tunalalamika tunapopotezwa hata katika mambo yanayohitaji akili tu, si maombi ya kufunga."...
Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button itabonyezwa soon na kiherehere chake chote kitamuisha.
Niko hapa nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Huwa nasikia awamu hii imefanya mambo makubwa. Kuna hii barabara inayounganisha bandari ya Dar na mikoa karibu yote nchini, lkn pia nchi jirani zinazotumia bandari yetu.
Cha ajabu ni kwamba...
Tunalipa kodi, tunalipa bili za maji, umeme, nauli na mengine mengi ya maisha , lakini hatujawahi kulipia pumzi.
Tunapata aleji ya vyakula, mafuta, dawa, na hata vumbi , lakini hakuna binadamu...