โUwezekano wa binadamu aliyekulia kwenye mazingira yenye upendo, furaha na amani kuwa mbabe, katili anayefurahia na kukejeli maumivu ya wenzake ni sawa na sifuri. Ukatili si asili yetu. Nadra sana...
Unashikilia hadithi ambayo hujawahi kuthibitisha. Watu wako tayari kufa kwa jina la Yesu, lakini hawajachukua muda kuchunguza asili ya hadithi hiyo, nani aliianzisha, na kwa nini ilisambazwa...
Habari za wakati huu wana jukwaa, poleni kwa mfungo wa Ramadhani na Kwaresma.
Naomba kushare nanyi hili swala siku kadhaa zilizopita kuna mahali nilienda kuna mzee nilimsikia anazungumza kuhusu...
Naomba kumpongeza waziri na wizara nzima ya kilimo kwa bajeti iliyo na mashiko pia inayoonesha matumaini. Leo nimeleta hoja mezani hasa ikilenga taasisi ama halmashauri ambazo kwa asilimia kubwa...
Ni mimi tu au kuna wengine mnaoweza kutuelezea yani wanabomoa hapa wakisha bomoa wanakwenda kwengine yani kama vurugu.
Ni kwamba haya ni kwa ajili ya kuzindua kampeni zenu CCM kuwa mnajenga barabara.
Ndani ya nchi yetu Mungu ametubariki uraniamu (uranium). Ni vyema kusimamia ule mradi wetu kule Namtumbo, wale wawekezaji waanze kazi sasa tufaidike na rasilimali ile.
Ni kauli nzito ambayo Rais...
Wakuu , hivi Askofu Gwajima yuko wapi? Toka usiku wa kuamkia leo alipoonekana akitoa update za wasiojulikana wanaojulikana kama polisi hajaonekana tena!
Je, wametembea nae?
Je, alichochora...
Salama wakuu wa JF!
Last wiki nilikuwa na milioni 6 Kash Ila mpaka wakati huu naandika huu uzi nimebakiwa na milioni 3.5 na hii ndio ya kwngu sasa baada ya kulipa madeni na kufanya manunuzi...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary S. Senyamule (kati) akipokea mitungi ya gesi ya kupikia kutoka kwa Jeffrey Nasser, Mkuu wa Kitengo cha Mauzo Nishati Safi kutoka Puma Energy Tanzania, kama...
Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa rasmi na Umoja wa Mataifa mwaka 2018, kwa kutambua umuhimu wa baiskeli kama chombo cha usafiri, burudani, na...
Hukumu ya Yohana mbatizaji iliboreshwa kutoka kufungwa na hatimaye kukatwa kichwa.
Turudi kwenye maandiko;(Mathayo 14:3-)
Yohana mbatizaji alifungwa kwa sababu ya kumkemea Herode(mfalme) kwa kuoa...
Nina miaka miwili kwenye hii nyumba lakini leo nimelipia tena kodi kama kawaida lakini mkata ulipokuja naona umeongezwa kipengele ambacho naona hakiko sawa mwenye nyumba ananiambia nisheria mpya...
TAARIFA KWA UMMA
UHIFADHI WA TAARIFA ZA WATEJA NA MAKATIZO YA UMEME
Jumanne, 03 Juni, 2025
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuwahakikishia wananchi na wateja wake kwa ujumla kuwa...
Kila mwaka huwa tunashudia mamia ya watoto wanaoshindana kwa kuhifadhi kitabu kitakatifu cha Quran.Hufanyika ngazi ya misikiti mpaka kimataifa kwenye viwanja vikubwa vya kitaifa,
Wako kama mimi...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Wimbo huimbwao na Wabunge
UBETI ๐ผ
๐ถMama hatukudai
Mama huna deni
Mama Mitano tena
Shule ya Mama
Vyoo vya Mama
Maji ya mama
Bodaboda wa Mama
Ndizi za...
Wanafunzi na wakufunzi toka vyuo vikuu nchini Tanzania wameibuka washindi wakuu katika mashindano ya Masuala ya Teknolojia ya Huawei ICT ya mwaka 2024 - 2025 wakiwashinda washiriki wengine zaidi...
Walikuwepo watu wengi, wengine wazungu, wengine waafrika. Nilikuwa nafanya discussion na mwanamke mmoja wa Kizungu. Tulikuwa tunaongea lakini yeye alikuwa mbali kidogo, anaongea sisikii vizuri...
Tumewaona wanyama na binadamu wengi wakizeeka na kufa lakini sio nyoka..
Ni ngumu sana sana kukutana na nyoka mzee.Siri ni moja tu. Nyoka wana hulka ya kujivua gamba (ngozi ya zamani) pale...