Ugonile,
Mitandao ya kijamii imekuwa ni chanzo kikubwa kwa watu wengi kutokuwa na utulivu wa akili. Nadhani hii hali inawakuta watu wengi katika maisha yao ya kila siku katika ulimwengu wa sasa...
Kwa mujibu wa wanasayansi dunia toka kuumbwa kwake hadi sasa ni takribani miaka billion 4.5 iliyopita,(huo ndo umri halisi wa dunia).
Mwaka 1935 ndani ya mamlaka ya hifadhi ya...
1.Sadaka ya fungu la 10
2. Kusaidia wahitaji mfano yatima na wajane
3.Wazazi au walezi wako
4.Ujenzi au kuchangia kazi za Mungu mfano ujenzi wa nyumba za ibada.
Hii ndo njia halali ya kutoboa...
Mfanyabiashara aliyetajwa kwa jina moja la Bahati anadaiwa kukimbia kitaani kwake Kimara Temboni, Dar kufuatia tuhuma nzito za kuwarubuni kimazingara vijana na kuwalawiti.
Kwa mujibu wa chanzo...
Mfumo Nest ni mzuri sana sababu tenda zinakuwa wazi na nyaraka za tenda zinakuwa nazo wazi.
Ila gharama za ku apply tenda ndio zinaumiza sababu wazabuni wanakuwa wengi na hukikosa pesa imekwenda...
Miaka hiyo kulikua hakuna TCRA ila kulikuwa na mamlaka ambayo ilataka watu wasiwe uhuru wa habari.
Ilikuwa si rahisi kumiliki redio tena kipindi hiko kulikuwa na masafa ya SW(short wave) na AM...
Kwa upande moja Mbeya imekuwa mkoa wa kujivunia kwa kutoa wasomi na viongozi mahiri lakini kuna upande mwengine unaitia doa
1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha...
"Kuna mstari mwembamba sana kati ya imani ya dini na changamoto ya afya ya akili, wakati mwingine mtu anaweza kuonekana kuwa na imani timilifu, lakini ndani yake anapambana kimya kimya na msongo...
1. Kuwa mwangalifu na afya yako siku zote.
2. Jiwekeze kiuchumi kwani fedha itakuwa msaada wako umri ukienda.
3. Umri ukienda sana thamani inategemea hali yako ya kifedha.
4. Umri ukishaenda...
Naomba radhi mapema kwa yeyote atakayeona maudhui haya yanakwaza au kuumiza. Makala hii haikulengi kuchokoza, bali kuchangia fikra za kitaifa. Imani yangu ni kwamba hata Chama Cha Mapinduzi...
Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ??
Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa?
Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia?
Nilisikia mahali kwamba Zanzibar ina wakilshwa na wabunge 80 kwenye bunge la Muungano, na raia wote wa Zanzibar hawafiki milioni moja.
Halafu eti mtanzania bara hawezi kugombea nafasi yoyote ya...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali imerekebisha changamoto ambazo wawekezaji wengi walikuwa wakizilalamikia, ili kufungua milango wawekezaji wengi kuja kuwekeza kwani Tanzania ni mahali...
Mheshimiwa Mpina amemlenga huyu huyu Waziri au yule Waziri mwingine?
Janga la utekaji nchini ni likesababishwa na uzembe wa Wizara ya Mambo ya Ndani au Uamuzi wa "wakubwa"?
Utekaji ungekuwepo...
Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (BRT) jijini Dar es Salaam, hasa barabara ya Posta/Gerezani kwenda Kimara, uliwahi kuonekana kama suluhisho la uhakika kwa adha ya usafiri. Hata hivyo, hali halisi...
Je, Wajua?
Finland ndiyo nchi yenye kiwango kikubwa zaidi cha furaha duniani kwa mujibu wa ripoti ya furaha ya Dunia ya Umoja wa Mataifa kwa miaka 7 mfululizo (2024, 2023, 2022, 2021, 2020, 2019...