Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nawauliza, wizara ya michezo pa.oja na wadau wa michezo nchini, hivi kweli hii timu tuliyonayo ndio kweli itaenda kutuwakilisha kwenye michuano ya Afcon 2027? sina mengi ya kusema.
0 Reactions
4 Replies
48 Views
TANGA , Kamati ya Pamoja ya Ufundi kati ya Tanzania na Uganda (Joint Technical Committee) imekabidhi eneo la Chongoleani, Tanga, kwa Mshauri Mwelekezi kutoka Worley Consulting Group Limited kwa...
2 Reactions
29 Replies
499 Views
Utangulizi Katika jamii nyingi za Kiafrika, familia huanza kujenga utajiri lakini baada ya kizazi kimoja au viwili, mali hizo hupotea. Hali hii inasababishwa na ukosefu wa mipango ya urithi...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Anonymous (72ec)
Wauguzi wa Zahanati ya Kazuramimba, iliyopo Wilaya ya Uvinza, wanawatoza wazazi wanaofika kwa ajili ya kuanza kliniki ya uzazi kwa mara ya kwanza kiasi cha Sh 7,000. Kinachotia wasiwasi zaidi ni...
0 Reactions
2 Replies
129 Views
Asilimia kubwa ya watu wanaamini kwamba (Israel) ni nchi ,hii inatokana na uvivu wa kusoma au kulishwa maneno ya uwongo . Wanaamini Holocaust ya Hitler ndio iliwarejesha wale wahuni pale...
2 Reactions
10 Replies
134 Views
Tunaumaliza mwaka 2022 salama na kuuanza huu wa 2023, ni mengi yametokea ya kufurahisha, kusikitisha, Kuhuzunisha, kukera, kushangaza nk, tumewapoteza wapendwa wetu hapa nje na ndani ya forum...
32 Reactions
53 Replies
2K Views
Anonymous
Wakazi wa eneo la Kipunguni Hali ya Hewa (Banana), Wilaya ya Ilala, Jimbo la Segerea, Dar es Salaam, tulioathiriwa na zoezi la kupisha makazi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara. Eneo letu...
0 Reactions
1 Replies
66 Views
Ni kwa lengo la kielimu tu na kujenga awareness, si kuchochea mgawanyiko wa kidini. Tunaweka mambo sawa tu kwasababu kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana mitaani Katika mikoa 26 ya bara ongezea na...
3 Reactions
34 Replies
505 Views
nashindwa kuomba kazi kutokana na kikwazo Cha cheti kimojawapo kwenye account yangu ya ajira Portal.Maana Kila ninapotaka kuomba kazi nakosa sifa kutokana na cheti kimojawapo kilichopo kwenye...
2 Reactions
33 Replies
345 Views
Wanafunzi wa Yesu waliambiwa "Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi..." Wafuasi wa kweli wa Yesu hawajahitimu hadi Yesu atakaporudi ndipo tunaambiwa atawapa taji. Kuna hatari ya...
6 Reactions
31 Replies
457 Views
3 Reactions
8 Replies
148 Views
Mataifa mengine ya Ulaya au America ni kawaida, ila Hawa ndugu zetu Wachina (na Asia tuseme) ni nadra kinoma. Hawana shobo au?
6 Reactions
22 Replies
330 Views
Jamaa wana Sheria Kali sana za dini, je hili la kupeleka miss hawalioni? Mavazi yanayo valiwa kule mmmh, je ni UNAFIKI wa SISI binadamu au ni PAKISTAN nyingine tofauti nayo ijua?
7 Reactions
39 Replies
562 Views
Declaration of Interest: Nimeona wanawake wawili kutoka Kaskazini. Twende kwenye Mada sasa, aisee hii ni balaa, zamani nilikuwa nilikutana na single Maza kutoka Kaskazini najua ni kwa sababu...
2 Reactions
13 Replies
320 Views
Anonymous
YAH: MALALAMIKO KUHUSU KITENDO CHA WATUMISHI WA MANISPAA YA ILALA CHA KUNINYANYASA, KUTUMIA NGUVU NA KUMCHUKUA MFANYAKAZI WANGU Mimi mmiliki/mwajibikaji wa ofisi iliyopo Ilala, nawasilisha...
1 Reactions
1 Replies
77 Views
Habari ndugu zangu tuna changamoto ya kalavati ni dogo maji yanapita mengi tusaidieni serikali tupone Eneo wilaya ya ilala kata majoe mark majoe chuo rada
0 Reactions
0 Replies
23 Views
Yeremia 17:9, "Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?"
2 Reactions
8 Replies
122 Views
To the next generation, I hope you never forget that life will not always be easy. There will be days when you feel tired, lost, disappointed, and even wonder if your dreams are worth chasing. I...
1 Reactions
0 Replies
102 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…