Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Idara ya Uhamiaji inapenda kuujulisha umma kuwa leo tarehe 6 Juni, 2025 katika kituo cha uhamiaji cha mpaka wa Namanga Mkoani Arusha, ndugu Godbless Jonathan Lema alizuiliwa kutoka nchini na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakati Wewe mwanao anafuatwa na Mdada wa Kazi au anarudi mwenyewe kutoka Shuleni, basi huko Kaizirege Bukoba Kuna Mzazi katuma Helicopter kumchukua Mwanae kutoka Shuleni baada ya kupata Likizo...
16 Reactions
149 Replies
6K Views
Huyu baba ana watoto wengi sana, lakini hajali kuwatunza. Anadai ana mapesa mengi na mali nyingi. Lakini watoto wake wakiugua hawaambii waende hospitali, badala yake anawahimiza waende kwa waganga...
1 Reactions
16 Replies
915 Views
Manung'uniko yamezidi. Lawama zimejaa. Kelele zimeongezeka. Eti kwanini Mungu anatuacha tunateseka? Eti kwanini anatuacha tunaumia, tunaugua, tunakufa..? Ulisoma kitabu gani wewe kwamba Mungu...
2 Reactions
15 Replies
920 Views
Wenzetu Ijumaa ni mapumziko labda mkuu THE BIG SHOW na Malaria 2 mtupe mwongozo Kenya serikali yao ndio imetangaza hapa tunaogopa kuchanganya dini na siasa Ahsanteni sana πŸ˜πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Your career Gaming Makeup Dating Life Your bad eating habits Friends etc.
2 Reactions
11 Replies
372 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva Yahaya Bakari Idd (43) mkazi wa Gongo la Mboto Mkoa wa Dar es salaam baada kusababisha ajali iliyotokea Juni 5, 2025 katika eneo la Mataa ya...
1 Reactions
2 Replies
592 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, ametoa wito kwa Waandishi wa habari kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuwaelimisha na kuwakumbusha Watanzania juu ya umuhimu wa tunu...
1 Reactions
9 Replies
549 Views
Na Astrosecrets Tz Mtoto ni baraka mtoto ni nuru mtoto si uwanja wa mashindano ya mitihani wala si kigezo cha kutimiza ndoto zako zilizofeli. Mtoto wako ni nafasi mpya ya mwanga kuja duniani, na...
1 Reactions
5 Replies
384 Views
Kitendo cha kuwepo kwa matabaka kati ya wenye dhiki na matajiri au kitendo cha matajiri wengi kujitenga kimakazi na kwenye mambo mengi na masikini huwa kinatafsiriwa kama dharau na kujisikia kwa...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Kesho Karibun EID Nyumban.
1 Reactions
2 Replies
260 Views
Ili jambo naomba kuuliza maana siku hizi unaweza kujaza maneno ukaishia kufutwa uzi. Mfano huu na bado mnaweka mada kudai kama uzushi
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Picha hii ni ya aliyewahi kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hayati Dkt John Pombe Magufuli na Mke wake Mama Janeth Magufuli. Vijana wenzangu, maisha ni safari tuamini mchakato...
10 Reactions
23 Replies
1K Views
" Aisee ndugu yangu ukitaka jambo Lako liende wewe nenda kafanyiwe Dua na watoto yatima. Yani majibu ni papo kwa papo. Dua zao Mungu anazipokea hapo hapo " Hayo si maneno yangu, bali ni maneno ya...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Japo wengi wenu hamuamini juu ya Unabii, lakini Unabii ni really na Manabii wa kweli wapo. Sasa kama wewe ni Mchungaji, Padre ama Mwijilisti na huamini kwenye Unabii sio tatizo letu. Mungu...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Enzi hizo Dodoma washua wote wanaishi uzunguni Watoto wa kishua wanasoma stockley Kina sie tunasoma amani, na mlimwa ambazo ndio zilikuwa shule bora mjini Club ilikuwa ni NK pamoja na shilla disco...
14 Reactions
161 Replies
9K Views
πŸ”₯ TUKIO: KUZUKA KWA KIONGOZI WA KIROHO ATAKAYEDAI KUWA NA UWEZO WA MIUJIZA YA KUPONYA MAGONJWA HATARI NA KUFUFUA WAFU πŸ—“ Tarehe inayotabiriwa: Kati ya Septemba 13 na Oktoba 4, 2025 πŸ“ Mahali...
4 Reactions
61 Replies
3K Views
Wananchi wa Kata ya Chomachankola iliyopo wilayani Igunga mkoani Tabora, wamekataa uwekwaji wa mradi wa skimu ya umwagiliaji katika eneo lililotengwa kwa ajili ya mradi, wakidai kuwa eneo hilo...
2 Reactions
9 Replies
509 Views
Sauti Ya Watu – Nay Wa Mitego UTANGULIZI: Hii sio sauti ya kiharakati wala Ukombozi wa musa na fimbo yake Bali haya ni maumivu ya mnyonge Anaye wakilisha walala hoi wenzake Kwenye kinywa...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Tunaishi katika dunia ambayo inatufundisha kupambana kila siku. Tunapambana na hali ngumu, tunapambana na mawazo, tunapambana na watu, na hata na nafsi zetu. Tunaambiwa: "Usikubali kushindwa."...
5 Reactions
3 Replies
327 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…