Hii ni observation yangu.
Baada ya Utandawazi kubomoa mfumo huu muhimu wa jamii yetu kwa kisingizio cha uasherati na ukeketaji sasa ndio tunaanza kuona matokeo yake halisi.
Vijana balehe...
Kundi la mwisho la mahujaji 273 wa Hajj kutoka Jammu na Kashmir waliondoka kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Srinagar siku ya Jumatatu, wakienda kwenye hitimisho la safari za Hajj kwa mwaka...
Ni mambo mengi sana muhimu watu huwa wanasubiri wakati sahihi kuyaweka wazi lakini kifo huwa hakina hodi
Mifano ya vitu Muhimu ambavyo havitajulikana ukifa leo:
Akaunti zako za benki au fedha...
Mabibi na Mabwana habari zenu.
Sio kitu muhimu sana but kimenifanya nijione maisha kuna muda mwingine yanaweza kupoteza vitu flan maishani mwako ambavyo japo unavichukulia kama minor issues but...
Nilisimamia kauli yangu kwamba "usimtukane mamba kabla ya kuvuka mto"
Na baadaye kuna wananchi waliandika kila aina ya mada sehemu tofauti za kushangilia kuamukiwa kwa ugomvi sijui ulikuwa wa...
Yaani maumivu niliyonayo hapa hayaelezeki,toka wiki iliyopita najiuliza nipo Tanzania au nimetekwa na mimi nipo nchi zingine zisizokuwa na umoja wa kitaifa kwa dini na makabila yote,kinacho...
Nimemsikiliza Msigwa akiwa Udom akiwaambia wanachuo kuwa rais ameagiza kuwapelekea wanafunzi wa vyuo vikuu burudani kwa kuwa wanasoma sana.
Nimejiuliza, hivi hili nalo rais kaagiza? Burudani...
kwema ndugu zangu wa kitanzania
Hivi serikali imeshindwa kabisa kuendesha mwendokasi
Hivi Tanzania nzima hakuna kichwa/mtu wa kuweza kusimamia mwendokasi
Hivi UDSM inazalisha wasomi kweli au ni...
Kuna dalili za kwamba nguvu iliyopo kuwa danganya toto zao za uchaguzi ni za haki watafanya kuzima kabisa.
Sababu za kuzima ili kuzimisha mijadala na yote zaidi mtapewa kisingizio mkongo wa taifa...
Nabii na Mtume Mwamposa amewataka waumini wake wajiandae kupikea ugeni mkubwa sana wakati wa ufunguzi wa Jengo jipya la Ibada
Wageni hao watatoka duniani kote wakiwo viongozi wakubwa
Source...
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia...
Sahihi bukhari 691 inasema wakati wa kuswali ikitokea mtu yeyote ataanza kunyanyua kichwa chake kabla ya imam wake msikitini Allah atamgeuza huyo mtu kuwa Punda.
Je ni kweli watu huwa wanageuka...
Kulikoni? Naambiwa Huko Iwambi Mbeya kuna ajali kubwa. Pigia simu ndugu na jamaa..
Sijajua zaidi hadi sasa sababu ni taharuki tupu..
Tusubiri Polisi waseme
=====
UPDATES: 1200HRS
=====
Watu...
"Pasipo upepo, mashua haisogei,’ asema huku akiingia kwenye akaunti ya mtu mwingine kama jambazi wa mawazo, kisha anajitangaza kama mjumbe wa taifa. Huyu ni kama kunguru aliyevaa joho la bundi...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema mwaka huu wanawake wameitika kwa kushiriki katika makongamano ya wanawake yaliyofanyika sehemu...
WIZARA YA TAMISEMI YAOMBA TRILIONI 11.78 YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA MPYA 2025/2026
OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imewasilisha bungeni makadirio ya mapato kwa...
Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya kujadiliwa kwa bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wananchi mkoani Dodoma wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu bajeti hiyo kwa...