Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya mwanamke kujifungua mtoto wa pili, wengi Huwa na mabadiliko fulani ya kimtazamo, kitabia, na hata kihisia ambayo baadhi ya wanaume huwa wanayahisi au kuyaona kama “kiburi.” Wapo...
2 Reactions
1 Replies
482 Views
Huwa naona baadhi ya maduka ya dawa kuandikwa DLDM.hii dldm ni aina ya dawa au ni kampuni au ni huduma fulani tofauti na maduka mengine!! Hii dldm inamaanisha nini ufafanuzi tafadhali.
3 Reactions
9 Replies
2K Views
nimemaind sana, nimempa laki 1 net ili akampe mwenye nyumba, badae nampigia kama alishampa anasema ndio nimempa 90 nikauliza mara mbili nilijua amekosea, anadai haikutimia et jamaa nilimwamini...
2 Reactions
10 Replies
468 Views
Hapatakua na nyodo wala kuropoka ropoka tena, midomo mirefu na kisirani ya viongozi wa chadema itakua imekwesha kabisa. kama tujuavyo, bila ruzuku hakuna chadema. Na ndio maana mnaona mikutano...
2 Reactions
6 Replies
306 Views
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amepinga vikali uamuzi wa chama hicho kuwatoza wafugaji Sh 15 milioni kutoka kila kanda...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Aloooh Mwamba anajikubali sana, siku zote ukiwa unasimamia haki au ukweli na una vidhibitisho huwezi kuogopa ukiwa na Imani, achana na wale machawa wanaojificha kwenye dini kumbe hawana lolote.
0 Reactions
7 Replies
571 Views
Wakuu Kwa hiyo huyu Kala Jeremiah anaamini kuwa hizi No Reforms No Election zimekuwa nyingi kwa sababu Rais Samia ni mwanamke na ni mama? Angalieni jinsi ya kumtetea Rais. Kauli kama hizi sio...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Kongore kwa vodacom kutimiza miaka 25 tokea kuwepo kwenu kwa mawasiliano yenu.
1 Reactions
4 Replies
375 Views
Tujadili mada ya hapo juu, binafsi sielewi
1 Reactions
16 Replies
649 Views
Usiku wa jana, nikiwa nimechoka baada ya siku ndefu, nilijikuta nikichagua video ya YouTube isiyotarajiwa. Ilikuwa ni documentary ya mazungumzo kati ya vijana wawili—moja wao akiwa kijana mwenye...
1 Reactions
0 Replies
389 Views
Kuna mtu atasaidika na mchango wako wa mawazo. Inawezekana milioni mia mbili ni kidogo sana kwa uwekezaji nje ya nchi, lakini pengine bado zinaweza zikafanya kitu. Nilishawahi kumsikia binti...
2 Reactions
6 Replies
564 Views
Huyu ndio sheikh wa kweli Mada: Bodigadi wa kijini. Hafichi kitu anaweka wazi yale ambayo wengine wanaogopa kuyaweka wazi. Dr. Sule aliweka wazi elimu hii wakamwita mshirikina sasa sheikh wa...
11 Reactions
72 Replies
3K Views
Tuache ushabiki, tuache unafiki, tuache uchawa,tuache uchawa ni kipi cha maana au chenye tija ambacho kakifanya rais Samia tokea aingie madarakani? Mimi naona hamna kitu kafanya hakuna jipya...
19 Reactions
55 Replies
2K Views
Tunaongozwa na utawala wa kitapeli, na wa kinyang'anyi tu Ona dola inakaribia elfu 3 halafu kuna mazombi wanasema anaupiga mwingi Hii serikali ni ya kitapeli na ya kishetani tu Ni kichaa tu...
10 Reactions
36 Replies
1K Views
Wadau Hiki ki kigari mpaka kifike bongo itanicost sh ngap nataka nimnunulie wife aende nacho kazini
4 Reactions
29 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/live/5nhKldXzqtQ?si=VuEACJPdOlKVtZpt Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu kwema? #No Reform, No Election. Tunaishi katika ulimwengu wenye vitu vingi, vijulikanavyo na visivyojulikana, vyenye kueleweka na vile ambavyo ni fumbo kubwa kwetu wakazi wa dunia. Katika...
2 Reactions
6 Replies
297 Views
Dunia ya sasa sio ya zamani leo uwezi kwenda kujiamini sababu watu wamegeuka ulimwengu mwengine.Hili swala la uchinjaji kugawa sadaka sio wote wenye kutoa kwa moyo wengi wapo kuchukua riziki zenu...
5 Reactions
15 Replies
789 Views
"Kaisari aliona kuwaziba midomo hawa wanaompigania Yesu, niwaweke magerezani. Akawatengenezea kesi za mauaji, kesi za uongo. Hizi kesi za uhaini hazijaanza sasa, za kumpindua kisiasa...
6 Reactions
11 Replies
649 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…