Mhe. Kate Osamor (kushoto), Mjumbe Maalum wa Serikali ya Uingereza anayeshughulikia Biashara Afrika Mashariki akiskiliza maelezo kutoka kwa Shekar Makasare (kulia), Msimamizi wa Shughuli za...
Kwa asili, kazi kuu ya msanii ni kutoa burudani. Na walaji wakuu wa kazi hizi kwa asilimia kubwa ni wananchi wa kawaida, watu wa mtaani, vijana, akina mama, na wapiga kura wa taifa hili. Hawa si...
Watalaam wasalaam!
Hasira hasara, je umewahi kukasirishwa sana na ulifanya kituko gani?
Ngoja nianze, kwa kawaida mimi ni kijana mpole mkimya japo nikiwa na mtu ambaye tumematch chemistry...
Anayeweza kunisaidia kufafanua bot inayosafirishwa kupita mikoa zaidi ya 4 kwa siku 30 kwanini lisingesafiri kwa maji kutoka Mtwara mpaka Mombasa Kenya kisha, wasafirishe mpaka bandari ya Kisumu...
Kuna taarifa za msiba wa Alli Mafuruki. Hakuna taarifa zaidi zilizopatikana hadi sasa. Pumzika kwa Amani
====
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Infotech Investment Group, Ali...
Hivi unajihisi uko salama kiasi gani unapokuwa mikononi mwa polisi?
Je mamlaka hii iliyopewa dhamana ya ulinzi wako na mali yako inakufanya uhisi usalama katikati ya hofu ama wasiwasi?
Siku nikiwa boss, nitakumbuka kuwa watu wana maisha nje ya ofisi, nitajua kuwa mfanyakazi mwenye huzuni hawezi kutoa furaha kazini.
Siku nikiwa boss, sitaamini kuwa vitisho huongeza tija, badala...
Tayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji.
watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji...
Wanasema muacha asili ni mtumwa lakini kuna baadhi ya mambo lazima tukubaliane ni ya aibu ndio maana makabila mengi yaliacha.
Mila kama hizi zina tija gani zaidi ya kutiana aibu wakuu ?
.
Ukiona farao anaangaika ujue kwenye mto kuna kisafina kimemficha mtu mkuu.Ukiona sauli anaangaika ujue kwenye nyumba yake kuna ka kijana kadogo kanaitwa daudi kanamtisha.
✍️jambo jema...
Songea uko wanafunzi kachoma shule kisa anataka aende nyumbani likizo kupumzika huu ni mfano tu kuwa hawa watoto wanachoka wanaitaji kupumzika
Ratiba ya mihula ipo wazi kwa kueleza siku za masomo...
Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo?
Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani...
Sijawahi kuelewa.
Kwanini kila mahali Wazungu (hasa Wakristo) wanapokwenda, dunia yote huanza kuwafuata? Walienda Amerika na Kanada, leo dunia nzima inahama huko kama ndiko kwenye wokovu...
Wakuu kheri nyingi kwenu nyote.
Tuanzie hapa.
Miaka kadhaa iliyopita hapa kazini ulikuja uongozi mpya wa wazungu kuanzia ngazi ya gm,super hadi kwa foreman.
Hawa wazungu walikuwa wametoka...
Ninaumia kuona vijana wangu wakitwangana makonde kisa siasa, nikifikiria kwa upana zaidi ninaona chanzo cha yote ni umaskini,
Hivi lengo la kwenda kwenye mkutano wa chama kingine na kuleta fujo...
Rangi ya Ukuta wangu imeharibika baada ya wadudu kutengeneza njia .
Sio mara moja ,Ukipaka rangi wanatengeneza njia tena, Imekua kero sasa.
Nahitaji Msaada wenu dawa ya Kuzuia wadudu wanaoharibu...
sababu nyingi kwa nini mtu anaweza kuwa anafanya kazi ambayo inaendana na nyota yake lakini bado hafanikiwi, hata baada ya miaka mingi. Hapa chini nitakueleza sababu kuu 7 zinazoweza kuzuia...
Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu (UNFPA) limeeleza wasiwasi wake juu ya kupungua kwa viwango vya uzazi duniani, likitaja hali hiyo kama ishara ya kuporomoka kwa idadi ya watu. Ripoti...
Wakuu nataka niwekeze humu kwene piki piki.
Nahitaj kumiliki vyombo vya moto kwa kuanza na pikipiki moja.
Nataka nipate mkataba ambao utaniwea rahisi na unaombana mwendeshaji kuweka nidham ya...
👞 1. Viatu Tofauti = Watu Tofauti
Watu katika jamii yoyote huwa na maumbile, asili, historia, vipawa, na mitazamo tofauti kama vile viatu vinavyotofautiana kwa rangi, saizi, muundo na kazi.
⚠️...