Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna slogan moja kama wamejipa CCM kuwa hakiwa raisi muislamu basi maisha yatakuwa kama ya marehemu mzee mwinyi au jakaya. Ila huyu kila anacho shika kinakwenda vibaya sijui kama 2030 tutafika vipi.
0 Reactions
0 Replies
48 Views
HATIMAYE Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba, amekiri kuhusika na video inayomwonesha Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Yaani inachanganya sana. Maana ukiwa na 50 maisha yako ni ya kupata hela ya kula tu. Bado miaka 10 ustaafu, utaweza kutoboa maisha kweli ujenge, ununue gari na uwe na maisha
8 Reactions
50 Replies
667 Views
Mgomo wa madereva au wamiliki wa vyombo vya usafiri unapotokea, huathiri kwa kiasi kikubwa sana maisha ya wananchi wa kawaida—kama wapo wanaokosa kuhudhuria harusi, misiba ya wazazi, mahojiano ya...
0 Reactions
1 Replies
54 Views
salaam nimeona siyo mara moja kwenye vyombo vyetu vya habari vikimuhoji muhusika kwa video call wakati muhusika akiendesha gari hii ni hatua nzuri sana kiteknolojia kwani unaweza kuhojiwa na kituo...
0 Reactions
1 Replies
36 Views
Kutokana na ufugaji na matunzo mabaya watu wengi hufikiri au wamekuwa na mtazamo kwamba nguruwe ni mnyama mchafu sana ila huo sio ukweli wa kisayansi. Ukweli ni kwamba nguruwe ndiye mnyama msafi...
10 Reactions
13 Replies
170 Views
  • Redirect
Lakini pia inanikumbusha hata hapa nyumbani tuna maprofesa na wasomi wajinga mno ambao hata dogo wa form 2 anawashangaa sana. So sishangai.
0 Reactions
– Replies
– Views
Ukitaka kuunganishiwa umeme, unatakiwa kununua nguzo kwa gharama ya Shilingi 300,000 kwa kila nguzo. Ikiwa utahitaji nguzo zaidi, utalazimika kulipia kila nguzo kulingana na mahitaji. Gharama ya...
2 Reactions
28 Replies
391 Views
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa...
19 Reactions
79 Replies
1K Views
Nasikiliza nyimbo ya DJ yusufu :"maisha mazuri yako mbele kwa mbele". Tumepewa kila kitu afrika lakini tumeishia kuwa maskini
0 Reactions
2 Replies
52 Views
Nimejifunza ni bora ukatatua shida zako kimyakimya kwa kuchukua mikopo kwenye makampuni au benki. Vinginevyo utawachukia binadamu bure, mtu ulikuwa unaishi naye vizuri ukiwa na shida hata kidogo...
7 Reactions
15 Replies
181 Views
Habarini wana JF.Hii phone farming nahisi imeshazungumzwa ila kutokana na umaskini na matatizo ambayo CCM inatupelekea kuwa gizani ndio wao wanatumia pesa zetu kila mwenye wazo la kusaidia CCM...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Kila siku El nino Hizi mvua za El nino ni za kwanza kunyesha Tanzania? Wakuu kuweni serious
1 Reactions
4 Replies
110 Views
Mnamo Januari 8, 2016, wakati wa operesheni ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Wanamaji la Mexico ya kumkamata "Cholo" Iván Gastélum—mmoja wa wauwaji wakuu wa Sinaloa Cartel — maafisa wawili wa Polisi...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Habari wakuu Natoa ushauri kuwepo na wakala wa SGR TICKETS kama zilivyo huduma ya Mpesa kila sehemu ya miji ambayo SGR inapita Huyo wakala anapata commission kwa kila ticket atakayokata Treni...
1 Reactions
1 Replies
62 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutofumbia macho watu wanaojichukulia sheria mkononi wakati mwingine hata dhidi ya vyombo vya...
3 Reactions
12 Replies
223 Views
Imekuaje watanzia wamekuwa watu wapuuzi na kuupa upuuzi kipaumbele. Kuna haya mashindano ya missgrand. Kuna mambo ya miaka 30 ya bongofleva. Simba na Yanga. Kumfagilia niffer . Na kusahau...
2 Reactions
8 Replies
80 Views
Habari zenu wakuu. Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni...
20 Reactions
267 Replies
2K Views
Kucheza rough kwenye Maisha ni lazima. Muulize baba yako alimlaghai mama yako ukapatikana wewe. Watu wengi wanaonekana wabaya virse versa ni watu wema sana.Ila tu ukweli unawaponza . Dunia...
2 Reactions
6 Replies
91 Views
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akisisitiza kuwa jeshi hilo ni mali ya...
1 Reactions
36 Replies
458 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…