Ati kwamba kulikuwa na dunia nyingine ambayo ilikuwa sambamba na dunia yetu hii,,,,
zamani hizo dunia yetu ilikuwa na wale mijusi wakubwa na sisi tulikuwa katika hiyo dunia nyingine
Pia namna...
Kuna sababu nyingi zinazochangia watu kulalamika kuhusu ugumu wa maisha. Baadhi ya sababu hizo ni kama zifuatazo:
* Gharama za Maisha Kupanda:
* Bei za bidhaa na huduma muhimu kama chakula...
Jumamosi tarehe 24 natakiwa nisafiri niende MOROGORO / TURIANI kumalizia msiba wa mzazi wangu. Then bado kuna vitu havijakaa sawa. Then sina kazi kwa sasa. Sasa, baada ya kufuatilia mafao yangu ya...
Ni wanasiasa gani umewai kutana nao Live na Mliongea nini Mkashauriana nini.
Mwaka 2003 nilikutana na Mzee Hassan Mwinyi kabla sijaanza kufanya kazi na serikali kwa Ukaribu, tuliongea Mengi na...
Tarehe 26 May kupitia ukurasa huu, nilitoa taarifa ya kupotea kwa Dr.Hashim Titto, daktari wa hospitali ya rufaa ya kanda Mtwara, na Mwanafunzi wa udaktari bingwa wa upasuaji (Resident MMED...
Naam machozi....ni kwa muda mrefu sana nimefuatilia pasi kuwa na shaka,hakuna kitu hatari chini ya jua hili hili tunalolijua kama machozi ya binadamu naam hasa ya mtu mzima haijalishi ni mwanamke...
Dar es Salaam, 10 Juni 2025: Katika kuadhimisha miaka 25 ya kuwaunganisha Watanzania, Vodacom Tanzania PLC imezindua kampeni kubwa ya kitaifa inayobeba ujumbe wa “Tupo Nawe, Tena na Tena.” Kampeni...
Nimewai kusoma kitabu cha ‘War Made Easy: How Presidents and Pundits Keep Spinning Us to Death’ kitabu kimeandikwa mwaka (2005) na Norman Solomon.
Moja ya mstari katika kitabu icho unasema “...
Ananisimulia Bukembe Mtobo, rafiki wa Muha.
Baada ya mambo kuniendea kombo mjini Arusha au Chuga kama waitavyo wengine. niliamua kukimbilia jijini Dar ili kuunusuru mtaji mdogo uliosalia.
Mwaka...
...
Mabinti zangu, mimi mwezi huu kwangu ni wa "birthday"!! Basi, niutumie kuwapa ujumbe kama zawadi yenu kutoka kwangu! Japo ni mrefu, ila zawadi kuna saa hatuchagui!
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Nafahamu wengi...
Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?
Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua...
Katoliki ni nguvu kubwa ya kitamaduni ambayo inaendelea kuathiri jamii duniani kote.
🇧🇷 Nchini Brazil, Ukatoliki ulifika mwaka 1500 kupitia kwa mvumbuzi wa Kireno, Pedro Álvares Cabral...
Kumbe Mungu ni neno la kisasa lenye muunganiko wa Macho Masikio pua ngozi na ulimi
Bila kusahau Pumzi, yenye muunganiko wa pua ulimi na ngozi
Mama je, wasawahili wanasema ni muunganiko wa Macho...
Mwanadamu haharibiki kwa ghafla.
Huanguka polepole — si kwa kuruka shimoni, bali kwa kuteleza kimya kimya.
Na hilo ndilo jambo la kutisha zaidi.
Tunaishi zama za uongo wa ndani...
Niko kwenye miaka ya ishirini na kitu sasa. Si kijana mdogo tena, lakini pia si mtu mzima kwa maana ya “kamilika.” Na kuna jambo moja ambalo limekuwa likijitokeza kimya kimya ndani yangu — kama...
Hawa jamaa wameshajilimbikizia mimali na kadri miaka inavyozidi kwenda wanazidi kutesa wananchi ni wajibu wetu sisi kama wananchi kuingia barabarani kivyovyote vile na hii ndio njia rasmi ya...
Mahakama ya Wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga imemuhukumu Waziri Iddi Kasimu (35), mkazi wa kijiji cha Mavovo, kata ya Bwiti, Wilaya ya Mkinga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia...