MAKALA: TEL DAN – USHAHIDI WA KIHISTORIA WA “NYUMBA YA DAUDI”
Tel Dan ni moja kati ya maeneo muhimu zaidi ya akiolojia yaliyoko kaskazini mwa Israeli, na lina historia ndefu inayothibitisha...
.
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga amewapongeza Mawakili wa Kujitegemea kwa ushirikiano wao, hatua iliyosaidia kuongeza kasi ya kumaliza...
LAANA YA MIZIMU NA HATARI KATIKA MAISHA YETU HAKIKA NYOTA ZETU ZIPO KUZIMU
Ifahamike kuwa kila kabila lina utawala wake wa mizimu ambapo utawala huo huwa unateua kuhani wa kuongoza shughuli zao...
Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA...
Tuwe na Imani Imara, Tusiogope
Imani Ni nini
Katika imani za kidini, imani imara isiyokuwa na mashaka ni kitu cha lazima. Imani hafifu ni sawa na kuwa vuguvugu. Yaani, siyo baridi wala siyo moto...
Baba mmoja mtaa wa pili , au jirani yetu kwenye huu mji mchanga leo alfajiri aliaga kwa mke wake kuwa anakwenda kazini kwake Kariakoo kama kawaida.
Mke alipopiga simu ya kujua amefika wapi iliita...
Ni neno gumu nililoweka hapo juu ili viongozi waache na wao kutumia dini kujificha kwenye tawala zao.
Tunaomba hata kuhapa wasishike misaafu na biblia sababu wao washasema dini sio siasa.
Wakija...
Niko na familia ambayo tunahitaji kucheza vikoba online tufanyeje jamani? Mana tupo mikoa tofauti tofauti !!! Vipi tukifungua account tutatofautishaje fedha ya Kila mmoja mana Kila mtu aki deposit...
Kwa mujibu wa tume ya taifa ya uchaguzi NEC Serikali ya Tanzania imetenga kiasi cha shilingi za kitanzania Bilioni 331 wakati wa uchaguzi 2020,
Vs
Kwa mujibu wa Bajeti ya Serikali ya Tanzania...
Hili ni Daraja lipo katika Kata ya Mkonze, Mtaa wa Muungano Jijini Dodoma linaunganisha Mtaa wa Muungano na Goba lakini kwa muda mrefu lipo hivyo linavyoonekana hapa kwenye picha.
Yaani vyombo...
.
Roho hizo zinaweza kurudi zenyewe au kurudishwa na mtu, kwa lengo fulani, aidha kutatua tatizo lililoshindikana katikati ya mtu au jamii ya watu, au kulilipiza kisasi kwa mambo aliyofanyiwa mtu...
Hapa kuna orodha ya dini kubwa zaidi duniani kwa mujibu wa idadi ya wafuasi wao:
1. Ukristo: Ukristo unajumuisha madhehebu mbalimbali kama vile Wakatoliki, Walutheri, Waanglikana, Wapentekoste...
Kusema ukweli, bila Biblia, Quran isingekuwapo, na ni bahati mbaya sana kuwa watu wengi hawalioni wala kulijua au kulisema hili. Ukisoma vizuri vitabu vyote kwa weledi na umakini bila kuvaa...
Copy&paste👇umakini unahitajika sana.
Nyie mwenzenu 😭😭😭😭😭😭natamani kulia mimi yamenikuta
Mwenzenu nipo kwenye mahusiano na kaka mmoja mkoa fulani. Yeye ni mfanya biashara mkubwa tu wa mbao Malawi...
Wakuu habari za nyie...
Mara nyingi nimekuwa nikiskia watu wanaambizana,. "Ukijiajiri unakuwa na mda mwingi wa kupumzika Kwasabu Kila kitu unajiamulia mwenyewe ufanye au usifanye".. kiuhalisia...
Marekani ni taifa linaloheshimika duniani kwa kuwa na katiba ya kihistoria yenye kuheshimu haki za binadamu, pamoja na mfumo wa kidemokrasia ulio imara. Chaguzi za Marekani huendeshwa kwa uwazi na...
Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika...