Mfano yule shahidi wa kesi ya Lisu, yani kazi yake kuperuzi tu mtandaoni ( doria),
So mtu anatoka Youtube anahama Tiktok anahamia Facebook n.k, jioni anarudi home, mwisho wa mwezi bank inasoma πππππ
Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Pwani Kaskazini, Ndugu Abdul Ally(kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Tanga (Bombo Hospital), Dkt. Frank Shega ikiwa ni...
Naunga mkono kauli hii kwa kutumia hoja zofuatazo
1. Ukuaji wa pato la taifa (GDP Growth), ukuaji wa pato la taifa la Tanzania linatarajia kukua mpaka kufika 6% kwa mwaka 2025,ukilinganisha na...
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?
Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata...
Tanzania sio rahisi kutoboa kama mfanyakazi tofauti na nchi nyingine. Ukienda Ulaya au USA, hata ukiwa mbeba maboksi utatoboa kama mfanyakazi. Zipo sababu.
Huko nyuma, nadhani enzi za Nyerere na...
Wewe ni mwekezaji tuu, na unahisa sizizozidi 49% hivyo Simba haiwezi kuwa Mali yako completely na kufanya utakalo bila ridhaa ya wengine.
Nani kakutuma umpigie kampeni Magufuli katika shughuli...
Camfed ni watu gani hawa? Wana fanya kazi kwa utaratibu gani?
Anae wafahamu vizuri ni nani?
How comes mnamuandikisha mtoto kwenye mpango wa kumsomesha kwamba anaishi kwenye mazingira magumu...
Hii code ni nyepesi sana kuna baadhi ya watu wataing'amua.
Nilipokuwa advance form 5 jamaa yangu/ rafiki yangu alinishirikisha kitu kwamba anahitaji kugombea kuwa head prefect wa pale skul.
Mimi...
Mzee Flavian Methew Nyandikuu mweye umri wa miaka 85 mkazi wa Kunduchi Mtongani Kilongowima jijini Dar es Salaam amelia na ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar es Salaam kwa kushindwa...
Nendeni huko katika Mtandao wa TOUR AND TRAVEL WORLD mkajisomee wenyewe. Halafu inasemekana kutokana na yanayoendelea baina aliyeko ndani na mshika mpini ni kwamba Rais Trump anaweza kumzuia hata...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki wiki ya Utumishi wa Umma inayofanyika katika Kiwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma.
Huduma zimeanza kutolewa leo Juni 16, 2025...
Kwa sababu ya umaskini, kuna watu walizika imani zao toka moyoni..
Kwa sababu ya hali duni ya maisha, wapo waliokimbiia familia zinazowahitaji..
Kwa sababu ya upofu wa fikra, wapo waliotoa...
Mimi ni mwislamu na ni mkimya sana,nasali na sijioneshi kabisa na mara nyingi navaa vizuri sana napoenda kusali,mara chache sana huwa navaa kanzu,nashiriki mikutano ya waislamu wenzangu lakini sio...
Nitaendelea kila siku kuwasema Waandishi wa Habari baadhi wa Tanzania hadi pale mtakapobadilika kwani mlio wengi ndiyo mnaifanya hii ' Tasnia ' inadharaulika na kuonekana ni ya ' hovyo hovyo '...
Barabara ya Moshi-Arusha magari hayatembei kuanzia Kia mpaka Arusha Mjini.
Haijulikani changamoto ni nin hasa na wale wa kutoka moshi kwenda arusha wametanua njia nzima na wale wa kutoka arusha...
Kwa wakati ule nilikua sihifahamu hata sura yake .
Jamaa kwa uwezo wake sidhani kama alistahili kuingia katika siasa za simba na yanga nilitamani kumuona Ikulu .
Alinifanya nipende kusikiliza...
Jamii za sisi binadam ni watu wa ajabu kabisa. Unashangaa mtu anasukuma IST au Volti. Anapaki msikitini. Mwingine anaishi kwenye nyumba yake safi na ameshanunua gari anamtoto mmoja. Wewe...
Wasalaam ndugu.
Sina kona kona nyingi cha msingi naomba kuelimishwa kwanini chama tawala na serikali yake hawataki tume huru ya uchaguzi?
Juzi kati chama hicho kilitoa taarifa kuwa kina jumla ya...