Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ulaya matumbo joto, matumbo yanawakata chini ya mkanda kutokana na vita hii mbaya sawa kudunia kwenye upatikanaji wa nishati, hakini huenda ni mbaya sana kwa Ulaya Magharibi kutokana na utegemezi...
2 Reactions
10 Replies
669 Views
Nimemskia rais samia akisema kuwa ufaransa wapo tayari kuendelea kutupa mikopo zaidi kwa maendeleo ya nchi yetu. Mpaka sasa deni la taifa limeshavuka trillion 107 na bado tunaambiwa nchi yetu...
3 Reactions
11 Replies
579 Views
Huko brazili kuna kituko sio cha Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa Fikiria hili kama sinema ya vichekesho isiyoandikwa kuna Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 54 huko Brazil alienda hospitali baada...
0 Reactions
2 Replies
474 Views
Mimi nadhani kuendelea kuzungumza swala hili ni kulifanya liwe gumu zaidi badala yake kwakuwa tayari kanisa limesha toa msimamo wa kwenda mahakamani kupinga kinacho daiwa kufungwa Kwa kanisa Sasa...
1 Reactions
6 Replies
614 Views
Iran [emoji1130] sio nchi ya Kiarabu; wakazi wake wengi ni Wapersia. Israel [emoji1134] si taifa la Kikristo wakazi wake wengi ni Wayahudi. Wayahudi wanafuata dini ya Uyahudi, si Ukristo...
24 Reactions
66 Replies
3K Views
Habari wapendwa, Nina shida katika ya majina kitambulisho cha (NIDA) na (NSSF) majina sawa ila katika barua yangu ya ukomo wa (ajira) na (certificate) majina tofauti na ya hivyo vitambulisho cha...
4 Reactions
86 Replies
11K Views
Habari wana jamii wenzangu, Wa DSM poleni kwa mvua zinazoendelea kunyesha, nasikia mlipuko wa magonjwa ya tumbo na vifua (vichomi, nimonia, kukohoa, n.k) vinawaandama, poleni sana. Pia kuweni...
25 Reactions
77 Replies
24K Views
Ninapenda kutoa malalamiko kuhusu huduma duni niliyoshuhudia katika Hospitali ya Aga Khan Iringa. Nilimpeleka mke wangu siku ya Jumamosi majira ya saa 10:30 jioni. Tulipofika, tulikuta dada wa...
2 Reactions
2 Replies
402 Views
Tuweke hapa orodha ya mashujaa ambao wanafaa kuingia kwenye Jumba la Taifa la kumbukumbu. 1.Julius Nyirenda. 2.Mtwa Mkwawa 3.Kleruu 4.Babu Yangu My Take. Strictly no politicians...
2 Reactions
51 Replies
1K Views
Taifa ambalo redioni ahsubuhi wanajadili michezo.Mchana hadi jua linapo zama wanarudi kwenye michezo,usiku wanajadili ngono hadi pakuche.hakuna vipindi vya taaluma ujasiriamali,Kilimo,Midahalo...
11 Reactions
48 Replies
2K Views
Wadau wa JamiiForums, Habari za wakati huu. Natumaini mnaendelea vyema katika shughuli zenu za kila siku. Leo ningependa tujadili mada yenye umuhimu mkubwa katika maisha yetu: "Ndoto 20...
11 Reactions
114 Replies
15K Views
Wana Jamii, Tunaongea sana kuhusu "fizikia ni rahisi", au "hesabu za shule zinatosha kuelewa dunia"... lakini leo twendeni mbali zaidi kidogo. Kuna equation moja ya dunia...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
GT Jamani jamani mambo ya asili yabaki kuwa ya asili miaka nenda rudi bulabo ni Tamasha lilioasisiwa na kanisa pamoja na kabila la wasukuma hapo Mwanza. Leo nimeshangaa mno kuona hali ilivyokuwa...
0 Reactions
8 Replies
437 Views
Kwenye Video hapo chini Kiongozi mkuu wa Iran supreme leader Ayatollah Khomenei akitumbuizwa na chawa wake mbele ya majenerali ambao wanabubujikwa Na machozi kama Lucas. Pia ukitizama kwa makini...
4 Reactions
16 Replies
764 Views
Tunaomba msaada wa haraka kutoka kwa viongozi, Afisa Elimu, Mkuu wa Wilaya Ilemela, Mkuu wa Mkoa mje muokoe Watoto wetu. Sasa Ibungiro Secondary School wameamua kuua Watoto wetu, Watoto migongo...
7 Reactions
117 Replies
5K Views
Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano...
0 Reactions
2 Replies
760 Views
katika uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali 2025-2026 uliofanywa na ACT Wazalendo, leo wameonesha namna ambavyo bado serikali haijaweka wazi namna wanaenda kulitibu suala la kikokotoo kwa wastaafu...
1 Reactions
1 Replies
267 Views
Watumishi wengi wanadai taklibani miaka 10, wengine nane wengine Moja. Wengine wameamua kuziacha na wakurugenzi huwa wanawacheleweshea ili tu wazile kwa maslahi yao. Waziri husika achukue hatua...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
KAWE KUTOKUWA NA STENDI RASMI YA DALADALA: NANI ALAUMIWE NA NINI KIFANYIKE? Kawe ni moja ya maeneo yanayokua kwa kasi katika Jiji la Dar es Salaam. Watu wengi wanaishi, kufanyia kazi au kupita...
0 Reactions
3 Replies
433 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…