Sina mengi ya kusema Mungu ni Mkuu kuliko vyote, nawaombea marehemu wote Mungu wa mbinguni awape pumziko la milele, inauma sana sana nasikitika sana Taifa kupitia hali hii ya ajali mbaya zenye...
INTRODUCTON.
Jinsia zote hupata mashambulizi ya kipepo, lakini Leo tuangalie sababu zinazofanya wanawake wengi kupata mashambulizi ya kipepo.
Makanisani tunaona Kila siku ni wao wakiangushwa na...
Aslaam,
Kumekua na tafiti zinazoonyesha wanaume huishi umri mdogo zaidi ukilinganisha na wanawake.
na kumekuwa na sababu kadhaa zinazofanya mwanaume Awe na maisha madogo ya kuishi.
sababu Moja...
Hili suala linatafakarisha.
Katika Kanda zote nchini ni Kanda ya nyanda za juu kusini ndio wateule wengi wa Rais wameamua kukimbilia majimboni kugombea ubunge.
Nawapa kwa ufupi
1. Mbeya. Mkuu...
Uzalishaji wa zao la ndizi umeaanza kuathirika katika baadhi ya mashamba ya migomba katika Kata za manispaa ya Morogoro ikiwemo Kata ya Kauzeni na Mzinga kufuatia mashamba yao kuathiriwa na...
Ndugu zangu, Mungu yupo na amekuwa akiongea na watu wake tangu zamani hadi leo. Katika maisha ya kila siku, Mungu anatumia njia mbalimbali kuwasiliana na sisi. Lakini mara nyingi tunakosa kuisikia...
Nimeona watu maarufu wenye pesa zao mujini.....wenye mabiashara makubwa wakichukua form za ubunge+ uduwani huku wakipuuzia onyo la mbunge msukuma aliyewaasa kuwa ni Bora wanendelee na kazi zao...
Salaam wote
Nataka nifungue kanisa wakuu church and charity that helps many out there...
tupeane code wawakilishi wa makanisa ya kiroho, nataka niwafundishe watu wa mungu mambo mengi mazuri...
Pamoja na sababu nyingi kwanini ninawakataza msioe wanawake wafanyakazi (wenye mshahara) leo nitawapa hii sababu moja.
Kuna pepo wanamsonga mtu kulingana na mazingira au shughuli zake.
Pesa kadri...
Ni katika kukumbushana..., tusije kuwaachia urithi wa kutulipia kile tunachokitumia leo, Ikiwezekana tutafute mbadala; kama kesho tutaweza kulipa kwa kukamuana kwanini uwezo huo wa kulipa kesho...
1;Husiende kumdai mtu /kikundi Cha watu waliopokonya kilicho chako waache wakitumie siku wakikichoka watakurudishia wenyewe
2;Ungana na watesi wako ata kama moyo wako unavuja Damu
3; hakikisha...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamsaka mwanamke mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Mgore anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 na mkazi wa Ibanda, Kata ya Kirumba Wilaya ya Ilemela kwa...
Watu sita (6) wamepoteza maisha na wengine ishirini na mmoja (21) kujeruhiwa katika ajali mbaya iliyotokea leo Juni 28, 2025, katika eneo la Kona ya Ulinji, nje kidogo ya Mji wa Sumbawanga, mkoani...
Kama mnakumbuka kuna uzi nilishawahi kuwaletea hapa kuhusu mtoto wa mama yangu mdogo namna alivyomvuruga mama yake kisa misimamo mikali ya kidini ule uzi kama mnakumbuka niliwaambiaga mama mkubwa...
Kumekucha kumekuchaaaaa,ndivyo unavyoweza kusema baada ya chama cha mapunduzi(CCM)kufungua pazia kwa watia nia nafasi za ubunge na udiwani kuanza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya chama chao...
Huu ni udharirishaji mkubwa, watu ambao wanasababisha waandishi wa Habari waishi maisha magumu ni wahariri.
Leo CCM wamefungua dirisha la kuchukua fomu Kwa wagombea wao, ubunge, udiwani na Rais...