Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna Jambo sijalielewa hivi inakuaje unahonga mademu , mbwembwe kibao Ila mama yako anapikia kuni , anakunywa maji yenye rangi mchele je hii sio laana ya mtindio wa ubongo.
8 Reactions
23 Replies
867 Views
Mwanzilishi wa PayPal billionaire Peter Thiel anajuta kwanini aliuza hisa zake zote kwenye Facebook. Billionaire huyo alinunua share za FB 2004 Kwa dollar 500,000 2004 wakati ndo FB Bado Ina...
3 Reactions
10 Replies
559 Views
Zuberi Nkoko (59), Mkazi wa Misuna, Manispaa ya Singida amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya TZS milioni 5 pamoja na simu yake ya mkononi kutaifishwa kwa kosa la kutoa taarifa...
0 Reactions
13 Replies
743 Views
Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha...
24 Reactions
164 Replies
13K Views
Ipo ivi nilikua nachati na mrembo wangu ivi vitoto vya 2000 usiulize umri wangu (sio mada ya leo) sasa yeye hana simu anatumia ya baba yake iyo ni siku zote tunawasiliana ivyo Bado mwanafunzi...
0 Reactions
12 Replies
767 Views
Miongoni mwa faida za kuwa single ni kujipanga kiuchumi, kujijenga kiafya na kutimiza malengo. Natamani kuwa single hata miaka miwili ili nijipange ila kila nikitoka nje nikikutana na wanawake...
9 Reactions
49 Replies
2K Views
Jana nimepata ajali ya bodaboda, nashukuru sana Mungu sijaumia sana Ila mwanaume ukipata ajali hutakiwi kupiga piga simu hivyo kuomba msaaada Wala kutoa taarifa kama unajiweza maliza kila kitu...
1 Reactions
25 Replies
941 Views
Sehemu nyingi sikuhizi zina cctv, wezi hupenda kuvaa kofia kama tahadhari, cctv zinafungwa kwa juu, kofia kuna muda zinasaidia kuziba nyuso Huyu jamaa kajifanya ni moja ya wahudumu wa ukumbi...
2 Reactions
7 Replies
568 Views
Wasabato ni moja ya dhehebu lenye waumini wengi wa kikristo nyuma ya Roma na Lutheran. Tofauti na ilivyo kwa waroma na walutheran kwa nini ni vigumu kukuta Wasabato kwenye safu za juu za...
3 Reactions
77 Replies
3K Views
Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOO Jumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto, Vaa rangi ya jumamos ambayo NYEUSI, Pia saa 12 ahsubuhi na saa saba mchana...
3 Reactions
3 Replies
633 Views
Kwema wakuu? Leo, nimepata tukio moja la masuala ya hela ambalo nilifanya na mwanamke mmoja, kazi imekamilika, zimeanza ngonjera. Hili ni tukio la Nne maishani mwangu, so nimejifunza, usifanye...
24 Reactions
75 Replies
3K Views
Miongoni mwa wahubiri NGULI na mahiri kabisa kupata kukaa miguuni mwa Mwinjilisti wa kweli wa Mungu Mch. Moses Kulola, Basi ni Dustan Maboya. Maboya mwenye sauti nzito na swaggz za kufa mtu...
0 Reactions
62 Replies
12K Views
Dkt. Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini amegawa Majiko ya Gesi 150 ya kupikia pamoja na Viambata vyake kwa Wanawake wa Kata 21 za Jimbo la...
0 Reactions
8 Replies
637 Views
Sijawahi kumwambia mtu kuhusu hii hali ambayo imekuwa inanitokea kwa miaka zaidi ya 10 sasa hasa toka nimpoteze Kaka yangu. Tulicheza pamoja, Soma pamoja alikuwa kama best friend japo alinizidi...
17 Reactions
59 Replies
2K Views
Hii naona ndo ina nguvu sana kuliko ya kushoto. Ya kulia sijatumia ila kuna mtu naye analalamika kuwa haina nguvu sana. Hii ya kati nliyozungushia ina speed nzuri kulingana na bundle yako. Wakati...
0 Reactions
9 Replies
460 Views
Kununua viwanja mtandaoni katika mradi wa Nala Zulu, Mkoa wa Dodoma, ni mwelekeo unaoongezeka, lakini unakuja na changamoto nyingi. Kutumia taarifa za mipango ya matumizi ya ardhi (TP) na video...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Je ni elimu mbovu? Je ni malezi mabovu? Hii product ya shule za kata vipi? Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!! Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club...
46 Reactions
142 Replies
5K Views
Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal...
6 Reactions
11 Replies
596 Views
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za...
1 Reactions
3 Replies
916 Views
Soko Kuu mjini Singida linawaka moto Muda huu na Chanzo cha moto huo Bado hakijajulikana wakati ambapo juhudi za uokozi zikiendelea kufanyika.
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…