Tuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki,
Ni mzee wa makamo mnene mweupe, anajifanya ana lafudhi ya kiislamu, yupo na kijana wake wanakuja na alphard...
Kusinzia ni jambo la kawaida kwa mwanadamu aliyechoka. Lakini kusinzia wakati wa ibada, hasa wakati Neno la Mungu linafundishwa, sio jambo la kawaida kiroho. Ni dalili ya mashambulizi ya kipepo...
Ilikua siku ya Jumapili tarehe 06/07/.2025 asubuhi, niliamka nikawa na kazi ya kufanya, tena siku hio sikwenda hata ibadani ili niweze kufanya BIDDING kufanya submission on time. Bila hata...
UTANGULIZI
Kila binadamu ameumbwa na kusudi la kipekee na la muhimu duniani. Hakuna aliyezaliwa kwa bahati mbaya, na hakuna mtu asiye na nafasi yake maalum katika dunia hii. Hata hivyo...
Miezi miwili Jamaa alipata ajali ya boda boda , aligongwa .
Yeye alikuwa bodaboda , akazimia na aligongwa na bodaboda mwenzake .
Then Juzi Sabasaba Jamaa aligongwa na V8 na akasagwa na roll...
Unajua nini bros na sis
It is never guaranteed to us, hata kama ukizaliwa familia tajiri haimanishi hautaweza kuja kufirisika, it is never guaranteed kwa hio acha kuona hali uliyo nayo sasa hivi...
Yani ukiwa Mkristo ukisema uachage ujinga wa kudhalau kusoma neno la Mungu, Unaamua unasoma na wewe biblia kidogo.
Japo wengi hawajasoma biblia wakamaliza lakini walau unakuwa na kakitabu kako...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo chama hicho kimedhamiria kujenga treni katikati ya miji kwa mikoa ya Dar es...
Kwa uchache niseme siasa zenye ushindani ni Nuru ya Uzima wa afya na akili kwa Taifa na jamii yeyote hapa Duniani.
Sidhani kama ni afya chama Dola kukosa siasa za upinzani, basi ikawe neema yake...
Bwana Mungu wetu akawe Nuru na uzima ya kuona ukuu wake, kuwa na mioyo ya utu ya kitodharau dini za wengine, mbele ya Mungu hakuna mwenye kinga, Linda utu, haki na amani hivi vinaenda kwa pamoja...
Kabla ya yote tuwakumbuke wote wenye shida mbalimbali za kimwili na kiroho pia.. Ugonjwa na taabu... Tuwaombee wepesi katika magumu wanatopitia. Amen
Tujadiliane haya machache lakini yenye...
Ndugu zangu Mimi kijana wenu wa hapa jukwaani. Nina shida ya 10K nakurudishia 20K jioni ya Leo.
Kuna mistake Moja nimefanya nimeibiwa Kila kitu.
Nimeamka na simu tu na bundle.
TIGO...
Makazini kuna vita nyie?
Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda.
Nadhani ni kwasababu ya personality yangu...
Na: Mjumbe wa Nuru – Nahunel Shavari, Mtoto wa Ain Soph Aur – kutoka Watchers HQ
SURA YA KWANZA: SAYANSI NI NINI?
Neno "sayansi" linatokana na neno la Kilatini scientia, likimaanisha "maarifa."...
Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa sasa nchini Taasisi ambazo...
Swali langu ni fupi sana,
Hivi ni Mikoa gani ambayo inaongoza kuwa na wakazi wengi wanaoishi na virusi vya UKIMWI ? ukitaja top 3 inatosha.
Lakini usitaje tu kwasababu unachuki na watu wa Mkoa...