The Port of Dar es Salaam has surpassed the Port of Mombasa in the World Bank's Container Port Performance Index. In the global rankings, Tanzania's primary maritime gateway jumped to 255th place...
Tunaishi kwenye dunia ambayo ni rahisi sana kuwa na uelewa ‘mparazo’ wa mambo lakini huna mizizi inayoushikilia uelewa huo. Unaenda YouTube, kwa mfano, unaangalia maelezo mafupi ya mtu akifafanua...
Anaandika Nickson Simon John (Nikki Wa Pili) - Aliyekuwa DC wa Kibaha ambae wiki hii amehamishiwa Songwe
Chacha, Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 Kibaha, na atakuwa mzalishaji wa kwanza...
Habari za jioni?
Kuna barabara ya Pongwe kwenda Chote hadi Mjesani hii barabara kwa miaka mingi sana imekuwa ni mbovu sana japokuwa kuna wananchi wengi sana wanaoishi kwenye barabara hiyo ambayo...
Najaribu kumlinganisha Tajiri wa Zimbabwe aliyefariki kwenye ajali ya ndege na matajiri wa Tanzania na duniani ni kama vitu viwili tofauti.
Wengi ni kama wachumi na wabahiri, ila huyu jamaa ni...
Siku za karibuni Kuna mfumuko mkubwa wa mada za kidini ukizifuatilia utagundua hazina mana yeyote zaidi ya kuchafuana na kubezana. Sisi ni wastaarabu hebu Kila mtu abaki na imani yake.
Kataa...
Ndugu zangu wa JamiiForums, napenda kutumia nafasi hii kuomba radhi kwa yeyote ambaye amekwazika kutokana na mijadala yangu, maombi yangu au namna nilivyojieleza humu jukwaani.
Nimepitia...
KICHAA NISHAKUWA, HESHIMA IFUATE MKONDO WAKE!
Kuna wakati katika maisha unafika mahali unachoka kujitetea, kuchukizwa na maneno ya watu na kujaribu kuthibitisha thamani yako kwa kila mtu.
Siyo...
Sisi tunaoendesha usafiri wa Bajaj na Bodaboda hasa Taksi Mtandao tunaomba utaratibu wa Kariakoo wa kushusha abiria uwekwe wazi na katika mpangilio unaeleweka.
Hatujui ni wapi pakupakia wala...
Yaani sijui ni nini kwakweli unakuta mdada smart kabisa unakuwa unadhani labda atakuwa sio gold digger.
Ila Ukisema tu tuonane shida ndo inaanzia hapo, yaani anataka hela tena wazi wazi bila...
https://www.jamiiforums.com/threads/kanuni-mpya-za-kodi-zinawataka-wafanyabiashara-mtandaoni-kuweka-taarifa-za-tin-kwenye-page-zao.2461782/
Baada ya kukutana na uzi ambao nimeutanguliza hapo ...
Ukiona vyaelea ujue vimeundwa, na ukiona mtu mzima ni upinde basi tambua alianza zamani kidogo.
Mwapaswa kutambua kuwa pembe la ng'ombe halifichiki. Hawa ambao saa hii wanapumuliwa kwa kijificha...
Dr. Kanozo anasema kuwa aliita Bolt, wakiwa njiani akaona ujumbe kutoka bolt kuwa safari yao imesitishwa na alipomuuliza dereva alikana kusitisha safari, akaamua kuwapigia bolt na kuwatumia ujumbe...
Tanzania karibia kila chakula ukiagiza kinakuja na kipande cha limao. Unaweza hata ukaletewa ugali maharage na kipande cha ndimu au limao.
Matumizi ya limao au ndimu zaidi ya kwenye nyama na...
Marekani imeikabidhi Serikali ya Tanzania Mfumo wa Miundombinu ya Oksijeni Tiba ya Kimiminika wenye thamani ya dola za Marekani milioni 5.3, sawa na zaidi ya Sh13 bilioni, katika Hospitali ya...
Dongo la Mtu Necessary (Content Creator wa Kenya) kwa Watanzania: Vipaumbele vyetu viko wapi au tumerogwa? 🧵
Kuna video inayosambaa kwa kasi mtandaoni ya content creator maarufu wa Kenya, Mtu...
Wananchi wa Morogoro Mjini, Kata ya Magadu, tunaomba kupaza sauti kuhusu hali mbaya ya barabara inayoelekea kwenye Kota za SUA zilizopo Kididimo.
Barabara hiyo imekuwa mbovu kwa muda mrefu, licha...
Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia
Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa?
Je, Mtakatifu Paulo, ambaye alidai kuwa mzaliwa wa Tarso na raia wa Roma, kweli alifanya safari...