UTABIRI WA NYOTA LEO JUMATANO 18/6/2025
Kumbuka kwamba nyota zina athari ya moja kwa moja katika maisha yetu na yeyote asiyefuata nyota yake hawezi kamwe kusonga mbele kwa maana anaishi nje ya...
18:31 Usimpe nafsi yako ruhusa katika tamaa zako, ili usiwe aibu kwa wanao.
18:32 Usifurahie katika anasa nyingi, wala usitumbukie katika gharama kubwa za chakula.
18:33 Usifukarishwe kwa kukopa...
Mambo vipi wazee?
Kuna pahala panaitwa Pugu Kazimzumbwi alhamarufu Ushoroba.
Ni pazuri sana kwa mkazi wa Dar au Pwani anaetaka kupumzika siku moja au weekend kuzipisha kelele za bodaboda, bajaji...
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, leo amezungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya mgawanyo wa...
Imeelezwa kuwa Nyumbu wapatao million 2 wataanza safari kuelekea Narok zoezi litakalochukua miazi zaidi ya 3 hadi November
Imetaarifiwa Watalii watakuja wengi kushuhudia huku Arusha ikipewa...
Naomba Serikali ifuatilie hili suala kwakuwa watu walipoteza mitaji, walifiwa ndugu zao, watoto walipoteza wazazi.
Ghafla inatokea wahuni ndani ya Serikali wanauza zile nguo kimagendo, haipendezi...
Ujumbe wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko, unasisitiza na kuwakumbusha waandishi wa habari kuhakikisha wanadhibiti Taarifa zisizo za kweli na kutoa zile zilizo sahihi ili...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewatoa hofu wakazi wa mikoa ya Dar na Pwani kuhusu upatikanaji wa huduma ya majisafi mara baada ya kutembelea na kukagua maboresho yaliyofanyika katika mtambo wa...
Maduka mengi yamekuwa na paka anae cheza cheza mule dukani, sasa najiuliza uwepo wake ni kwasababu ya kupambana Kuua panya wanaoharibu bidhaa dukani au wanakazi nyingine?
Maana kuna mmiliki wa...
Nimetoka kutizama Taarifa ya Habari muda si mrefu na kuona Watanzania wenzangu huko mliko mnavyotaabika sasa kwa Joto Kali ambalo huenda likawa limevunja Rekodi
Polemi sana Wakati wa Dar es...
YouTube imetangaza mabadiliko mapya kwenye mpango wake wa kupata mapato (YouTube Partner Program) ambayo yataanza rasmi Julai 15, 2025.
Lengo la mabadiliko haya ni kugundua kwa ufanisi zaidi...
Nina watoto wawili wanasoma shule za bweni za serikali kitaifa. Mmoja yuko kidato cha sita mwingine kidato cha kwanza. Wamesema wanaruhusiwa kulala kuanzia saa nne usiku na kuamka saa tisa na nusu...
Kwa suala la taasisi kuwa na ofisi ndani ya Tanzania limeikubwa Browser ya Brave ambayo ina vitu vingi vizuri na inafanya kazi kama Chrome. Leo nimejaribu kuidownload ili nipate vitu vizuri...
Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani .
Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika...
Miaka kadhaa iliyopita, Azam TV alikuwa anazidiwa na kampuni nyingine kama Star Times kwa idadi ya ving'amuzi lakini kwa sasa hali ni tofauti. Azam TV ndiye anaeongoza na anavizidi ving'amuzi...
Nimeona habari ya viungo na mafuvu yanayodhaniwa kuwa ya mwanamke kupatikana kwenye chemba ya maji Tabata. Mambo ya kutisha sana 🤦🏽♀️😔.
Tukio gani la ajabu umeshawahi kulishuhudia huko mtaani...
Dunia siku ya leo inakuwa mbali na jua Kwa 152.5 million kilometers kutoka kwenye jua,
Hivyo satellite kwa siku ya leo zinaiona dunia ikiwa katika hali ya ukungu mzito wa icy.
-Baridi ikizidi...
Kwema wakuu,
Nimekutana na mwalimu kwenye daladala ambaye alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliopita na bado yupo ngangari, muonekano ule ule,
Nilimtambua japo yeye hakunikumbuka kirahisi, nina...