Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu shobo mbaya aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa...
2 Reactions
7 Replies
559 Views
Wakati Wizkid alipoanza kupata pesa, aliwaita kaka na dada zake wote kwenye kikao. Akawauliza kila mmoja anataka kufanya nini. Kila mmoja alitoa mpango wa biashara, naye akawapa mtaji mara mbili...
5 Reactions
7 Replies
713 Views
Natafuta fursa za uwekezaji 1. Kuna Umeme kila mahali? 2. Barabara zikoje? zinapitika? 3. Ustaarabu wa watu? understanding ya watu.......
2 Reactions
22 Replies
750 Views
Wakuu ipo hivi Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti) KAZI ya vishoka Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu. Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Wacha tuseme ukweli, siku hizi watu wakiambiwa "nimeajiriwa", wengi hawachangamkii kama zamani. Lakini ukisema "nimejiajiri", jicho la heshima linapanda — watu wanakuona kama Elon Musk au...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Hivi wadada izi akili mnazitoa wapi?? Unauza kiwanja ili ukafanye happy birthday ya mtoto ukweni kweli? NI hivi huyu dada baada ya kuolewa huku dar, mwanaume aliemuoa alitoa mahari hio mahari...
7 Reactions
63 Replies
2K Views
Habari ndugu Wana Jamii Foram. Kwa wale Wenye uelewa wa safari za Kutoka Dar Kuelekea Tunduru. Ni Bus Gani ziko Vizuri kwa Safari Kuelekea huko naomba Mnifahamishe.
0 Reactions
5 Replies
452 Views
Angalia video hii, kama unawatambua toa taarifa upate zawadi yako ya Tsh. laki 5.
35 Reactions
226 Replies
22K Views
Kanisa la arise and shine ni la muda mrefu sana tangu nianze kulifahamu chini ya Muhubiri Mwamposa, lkn usajili wake mpaka sasa sijaelewa kabisa, je lipo chini ya usajili gani? Na nani mmiiki wa...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikia tu jinsi watu mbalimbali wanavyowalalamikia staff wa TRA Tanzania lakini sasa nimepata kushuhudia mwenyewe maana nina miamala inayonilazimu niwepo mwenyewe huko TRA...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Bila shaka hamjambo watu wa Mungu! Kwa wale wenye changamoto za kiafya na wanaendelea kuteseka na maumivu juu ya magonjwa waliyonayo, Mungu atawaponya. Katika dunia ya sasa kumekuwa na wimbi...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Mwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi. Kwani...
3 Reactions
83 Replies
3K Views
Wanajeshi wa sasa wasomi ona Askari wa JKT Tanzania aki kalimani lugha ya kireno kwenda kiswahili wakati wa ziara ya mkuu wa JKT wa Msumbiji . https://youtu.be/VjNTuptMCAw?si=Gi8GdQ7EpDoXQRcf
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Wadau Leo tupate mawili matatu kutoka kwenye huu uzi: Pale Kinondoni kwa Mama Ntilie, jua kali linawasha kama pasi ya mchina. Kwenye meza ya mbao iliyozungukwa na viti vya plastiki vimepoteza...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?feature=shared&v=5DrxCZ8iVZs Mwanaume anayefahamika kwa jina Ally Mkii, Mkazi wa Msongola Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, ameishtaki Hospitali ya Aga Khan...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Shalom shalom Wakati Marekani inajivunia kutengeneza ndege za kivita kama F-35 Lightning II kwa gharama ya mabilioni ya dola, huku mataifa kama China na Russia yakihangaika kuiga teknolojia hiyo...
2 Reactions
10 Replies
521 Views
Naomba kuuliza hili WAKUU Mimi ni mwalimu wa sayansi masomo biology na geography, kwasasa nataka kuomba kufanya postgraduate diploma ya procurements and logistics management pale TIA, sasa kitu...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Eti kwa sasa kila cheti say cha kuzaliwa lazima kiwe kwenye mfumo wa kitu kama ATM cards? please advise/assist if this is the policy now
1 Reactions
2 Replies
219 Views
Hakika ya kale ni dhahabu ,ni mengi tuliyafanya enzi zetu lakini kutokana na sayansi na teknolojia mambo yamebadilika kabisa. Haya ni machache kati ya mengi tuliyofanya enzi zetu. 1: kijiji...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mikopo ya Shilingi Bilioni 1 na Milioni 156 kwa vikundi 111 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Mikopo hiyo imetolewa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji...
0 Reactions
1 Replies
284 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…