Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu.
na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA 🌍
Kusema ukweli sina siku nyingi sana tokea nimefika katika hii dunia, nina jumla ya wastani wa siku 10,800 sawa na miaka kama 30 hivi au 29.,
Kwenye...
Wakristo tunaamini mke mwema anatoka kwa Mungu je ni Mungu yupi? Huyu huyu ambae alikuwa bachelor kwa miaka 40 ambaye hakua na mke wala kuonekana na mke?
Kama yeye mwenyewe tu alishindwa kuishi...
Wengi mtaona ni ujinga mkubwa huu lakini najua nachoandika hapa. Epuka sana kufia mziki wowote ambao wasanii wake sio watu sawa katika maisha yao kiroho. Haswa mbaya ni kama muziki huo umetungwa...
Na: [LIGHT SABER)
🔍 UTANGULIZI
Katika nchi nyingi zinazojinasibu kwa kuwa za kidemokrasia, maoni ya wananchi ni msingi wa utawala wa haki. Lakini je, kila “ruksa ya wananchi” tunayoshuhudia ni ya...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) tunaomba mtusaidie katika hili maana sasa imekuwa mazoea Kwa madereva daladala.
Daladala za Nsalaga kwenda Stand kuu zimekuwa zinakatisha ruti kwa...
JE, KWELI AFRIKA IMEPITWA NA WAKATI? — TATHMINI YA KIANTROPOLOJIA KATIKA MAZINGIRA, UJENZI NA UTAMBULISHO WA KIAFRIKA
Utangulizi
Mara nyingi, maisha ya kiasili ya Waafrika yamekuwa yakitazamwa...
Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"...
Utamsikia mtanzania anaziponda shule za Kayumba akisema " Shule za Kayumba hazifai kwa sababu kuna watoto wengi sana"
Nabaki najiuliza hivi huyu mzazi ana fahamu chochote kuhusu saikolojia ya...
Baada ya PayPal kufungiwa kutumika Tanzania kumekuwa na changamoto kubwa ya kupokea pesa za kimataifa kwa sababu wengi wetu tumekuwa tukizoea kupokea pesa kwa PayPal.
Lakini kuna Online money...
Sheikh Kassim Mafuta awaasa waislamu kuilinda amani ya nchi.
Waislamu nchini wameaswa kuilinda amani ya nchi na kuwakataa wale wote wanaohamasisha fikra za uvunjifu wa amani kwa sababu na...
Meli kubwa ya mizigo, MV Santa Teresa, imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na shehena ya tani 60,500 za ngano bora kutoka Australia kwa ajili ya kampuni ya Said Salim Bakhresa...
Pamoja na matukio mengi ya kusikitisha katika ajali ya ndege ya Air India nambari 171 iliyotokea jana Juni 12 mara baada ya kupaa katika uwanja wa ndege wa Ahmedabad, picha ya kusikitisha ni ya...
Nachokoza tu mjadala ila wahuska walete Ufafanuzi kwa maslahi ya Wengie
Mwezi Julai Ndio huu na Mshahara wa Kwanza Unatarajiwa kutoka Ndani ya wiki Mbili zijazo.Swali langu ni Je Kima Cha chini...
Je ni kweli utawala wa nchi ya jordan ni ndugu wa Mtume Muhammad.
Na pia Familia ya kifalme inayotawala Morocco mpaka leo hii inadai ina undugu na Mtume.
Familia ya Kifalme ya Alaouite ya...
Wataalumu na viongozi njoo muone kwa macho. Yawezekana ni kukosena kwa Elimu, Mila a ujinga Wa wakazi husika au ukanda.
Kaskazini vijana waimeisha huhitaji utafiti Bali unahitaji macho na miguu...
Kutoka kwa kijana machachari Abi ahamed Jiji la Adis Ababa limegeuzwa kuwa jiji la kimataifa kwa kuliwekea international standard
Abiy anadai Lengo ni kuifanya Adis ababa kitovu cha usasa na...