Kuna wimbi kubwa sana la kutumia pesa nyingi kununua magari ya kifahari ma V.8 kwa ajili ya viongozi hadi makatibu tawala (W) pia.
Wakati Hassan El Bashir na wenzake walipo ondolewa madarakani...
Jeshi la polisi nchini limesema linamshikilia Leonard Josephat Magere,kutokana na tuhuma za jinai zinazomkabili na anaendelea kushikiliwa kwa mahojiano ili kukamilisha Ushahidi ambao...
Waafrika wanapenda na wanaona ufahari sana kula Mikate, Soseji, tambi, Sambusa, Pizza, Wali, biriani, Chips, crips, Shawarma na vyakula vingine vingi kutoka sehemu mbalimbali za dunia ila huko...
📌Mhe. Queen Sendiga azindua rasmi mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku mkoa wa Manyara .
📌Mitungi 16,275 kusambazwa mkoa mzima.
📌Kila wilaya kupata mitungi 3,255.
Mkuu wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) Julai 12, 2025 kimeandika “Tunapenda kuutaarifu umma kuwa leo tarehe 12 Julai 2025 Bw. Leonard Joseph Magere...
"Katika siku za Mfalme Herode, baada ya Yesu kuzaliwa Bethlehemu ya Uyahudi, Mamajusi kutoka Mashariki walifika Yerusalemu." (Mathayo 2:1)
Hii ilikuwa karibu mwaka wa 4 KK. Kisha Mathayo anasema...
My Take
Hakuna ndege hapo walionunua wamepigwa gharama za Bure wakati mindege yenyewe inaonekana kwenye radar.
https://www.instagram.com/reel/DLuOf7_MeME/?igsh=MW1td3VhZTcyd3RkbA==
Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa,
Natumaini wote mko salama.
Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo)...
Wanaume,
Siyo kila mtu katika sehemu yako ya kazi ni rafiki yako. Fanya kazi yako. Pokea malipo yako. Rudi nyumbani. Wenzako wa kazini si marafiki zako.
Kila mtu yupo pale kwa sababu ya kipato...
Je serikali ilipigaje hizi hesabu , wanafunzi ambao wapo darasa la nne wataingia secondary mwaka 2028 na ambao wapo darasa la tano wataingia 2028.
Je ikiwa tutautekeleza huu mtaala Mpya , maana...
Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote...
Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za...
Makamu wa Rais Muheshimiwa Philip Mpango alidai kuwa ametosha kuwa Makamu wa Rais na hakutaka kuendelea kuwa Makamu kwa muhula wa Urais ujao ambao Rais Samia bado anautetea. Mpango ametaka...
Nilikua naishi mazingira ambayo niliona kama hayana mambo mengi mazuri, Yani ikawa kama nmeyaishi Kwa Miaka mi3 nikayachoka nikatamani niishi sehemu nyingine yenye mazingira Fulani tofauti...
Uhusiano kati ya Yesu na Mariamu Magdalene umekuwa mada ya mjadala mkubwa kwa karne nyingi. Ingawa Injili za Agano Jipya hazitoi ushahidi wa moja kwa moja kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati yao...
Wakati wa utawala wa JPM, Tanzania ilifuta utaratibu wa visa on arrival kwa raia wa Nigeria. Lakini cha kushangaza ni kwamba jamaa hawa wa Afrika ya Magharibi wanaendelea kujaa kama "kumbikumbi"...