Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika mambo ya imani ambayo kwangu yamekuwa ni magumu mno kuyaelewa ni kuhusu mungu kuruhusu kuteseka kwa watoto. Watu wazima wakiteseka unaweza kusema labda wamestahili kwa sababu hadi mtu...
4 Reactions
15 Replies
607 Views
Kipaji ni Nini, na Kwa Nini Hatusemi Tapeli au Jambazi Ana Kipaji? Katika jamii zetu, mara nyingi tunasikia watu wakisifiwa kuwa na vipaji vya kipekee—kama kucheza mpira, kuimba, kuruka sarakasi...
0 Reactions
3 Replies
345 Views
Kwa kweli Nitoe shukrani kwa aliewapa kibali kanisa la calvary assemblies of god arise n shine kujenga eneo lile Kiukweli wakazi wa eneo hili kama walikuwa wanasubiria kwa hamu hizi ibada Yaan...
2 Reactions
13 Replies
734 Views
Habari wakuu...! Ndoto zangu ni kwenda duniani kutafuta maisha Bora nikawe muokota taka sweezeland au Norway kuliko kufanya KAZI za kizembe hapa bongo. Je Kuna mtu anajua mawakala wa kusafirisha...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Habarini wana JF Mungu awape afya njema Nahitaji kwenda nchi za wenzetu zilizoendelea kwenda kujipambania kimaisha. Ila sina ABC zahuko wala sijui ni-kwanamna gani naweza fika huko Msaada ninao...
1 Reactions
5 Replies
569 Views
Wakuu kwema Katika harakati za maisha kuna kupanda na kushuka ili ufikie malengo yako.Kuna baadhi ya watu walipitia JKT labdah kwa kujitolea au kwa mujibu WA Sheria(hasa wale wanaomaliza kidato...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Basi mali ya Kampuni ya ABC (namba hazijapatikana) imepata ajali mlima Kitonga huko mkoani Iringa. Tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi Mwanamke mmoja huko Zanzibar, aliyekua katika Shehia ya Uholanzi, mtaa wa Kurasini amekamatwa na polisi baada ya kudai...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Nimemaliza kuangalia documentary ya baba na mkewe waliofanya mauaji ya watu kumi na mbili na kuwafukia nyumbani kwao na hawakujulikana wala kukamatwa kwa zaidi ya miaka 27. Imenifanya nikawaza...
13 Reactions
134 Replies
6K Views
Kila siku ukiamka na kufungua WhatsApp status, Instagram story au Facebook timeline, lazima utakutana na mojawapo ya hizi au mfano wa hizi: “I choose peace over everything.” “Not everyone...
1 Reactions
3 Replies
372 Views
Wasalaam Wakuu! Pamoja na kuwa active sana humu kwenye mtandao wangu pendwa, nikichangia mada mbalimbali, lakini tangu jana Nilikuwa nasoma kitabu kinachoitwa The Road to Financial Freedom...
11 Reactions
45 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumteka na kumuua mchimbaji wa madini ya dhahabu, Nestory Marcel Inda (61), mkazi wa mtaa wa Stamico-Katoro, Wilaya na Mkoa...
0 Reactions
9 Replies
746 Views
emrejesho hapo nyuma ilikuwa ndio sehemu unaweza toa malalamiko ya SEREKALI na ukawa salama na swala likashughulikiwa haraka. Ila sasa asee nikama hawafanyi hii kazi Tena. Unaweza repoti tatizo...
5 Reactions
3 Replies
474 Views
Ukiona hivyo tu tambua huyo ni mzoefu wa kuvushwa. Kama huna kondomu aihirisha kupiga. Muombe samahani kila mtu ale kona.
32 Reactions
173 Replies
9K Views
Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake. Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji. Polepole...
15 Reactions
31 Replies
1K Views
Isa 11:1-2 SUV [1] Basi litatoka chipukizi katika shina la Yese, na tawi litakalotoka katika mizizi yake litazaa matunda. [2] Na roho ya BWANA atakaa juu yake, roho ya hekima na ufahamu, roho ya...
1 Reactions
2 Replies
354 Views
Mimi sometime haya mambo naona hekaya za abunuasi kabisa aisee nashindwa kuamini na sijui nani atakuja kuniaminisha halafu nikaamini hivi inawezekana vp bwana Yesu ambaye kwa wakristo wanasema ni...
1 Reactions
15 Replies
551 Views
Sasa hivi ni kawaida kukuta habari mtandaoni za makamanda wa polisi wakiongea na vyombo vya habari kuwa wamekamata mtu aliyefanya kosa la jinai kama vile mauaji, ubakaji, ulawiti n.k Habari kama...
2 Reactions
8 Replies
509 Views
WATU wa nje ya Afrika hufikiri watu wa bara hili ni mkusanyiko wa jamii moja inayoelewana kwa lugha na kiutamaduni, kumbe sivyo. Kuna makabila zaidi ya 3,000 yenye kujitegemea katika kila fani...
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna jamaa bodaboda Tu ila kwao loilondo amekuja dar 2009 hajawah kwenda kwao hata mawasiliano na watu wake Hana.Hio imekuaje ni fair kweli kutuachia wakati mgumu wa kutafuta ndugu zako ukipatwa...
8 Reactions
47 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…