Siamini katika mafanikio ya mkato wala miujiza ya mtandao; ninaamini katika uhalisia, jasho, na misimamo isiyotikisika. Ninaandika kile ninachokiishi na kusimamia kile ninachokiamini.
Kwenye...
Kwanza nianze kwa kuwashukuru kwa kupata muda wa kupitia UZI huu.
Chamsingi zaidi ni kutaka kuweka bayana kuwa kwasasa hamna namna inabidi tukubali tu msanii Diamond mtoto wa tandare ndio msanii...
Ili kuzima swala la CCM na Nchimbi mnaweza kushangaa kila jambo mpaka mkuu wa mkoa kafanya makamo wa raisi.
Hii code inalenga nini na mada zao na mtashangaa jambo la Zanzibar kuwa utawala wa...
Katika jamii, watu wenye aina ya damu ya AB+ mara nyingi huchukuliwa kuwa na tabia za kipekee sana. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kibaolojia damu ya AB ni nadra (inapatikana kwa takriban 3%...
Watu wenye kundi la damu la AB- ni miongoni mwa watu nadra sana duniani (chini ya 1% ya idadi ya watu wote). Katika mifumo ya saikolojia na utamaduni wa tabia za makundi ya damu (kama vile...
Ni story ya kuamkia January 31 mwaka 2011. Eneo ni makaburi ya Mwananyamala hospital, njia ya kuelekea kwa Kopa (Hadija) Msisiri 'B'
Ilikuwa ni mshtuko mkubwa baada ya asubuhi ile nje ya nyumba...
Mada ya Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala imenikutanisha na watu wengi ambao kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuwa tunafahamiana...
SUMBAWANGA:
Wakazi zaidi ya 60 wa Klyamatundu, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa, wamepatiwa hati miliki za ardhi baada ya kukamilisha taratibu za umilikishaji wa viwanja vyao...
Upweke wa kutisha zaidi si ule unaotokana na kuwa peke yako, bali ni ule unaotokana na kutoeleweka;
upweke wa kusimama katika chumba chenye watu wengi, ukizungukwa na watu wasiokuona...
Mitihani ya maisha. Anaitwa Pereira Ame Silima alikua Mbunge wa jimbo la Chumbuni, Zanzibar kuanzia mwaka 2010 hadi 2015. Pia amewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha 2010 hadi 2012, kisha Naibu Waziri...
Wakati mwingine huridhishwi na maisha yako, huku watu wengi katika dunia hii wakiwa na ndoto ya kuishi maisha yako. Mtoto akiwa shambani anaona ndege ikiruka juu anakuwa na ndoto za kuruka, lakini...
Prof Assad anasema yeye akiwa university kama mwalimu alilipwa 4million baada ya kupata UCAG ikaongezeka 700k yaani total Gross CAG ni 4.7M
Net pay ni 3.3milion
Maximum salary kwenye Government...
Mtandao wa Instagram IG kwa sasa michango imekuwa mingi sana na muhitikio wake sio mbaya ni mzuri tu.
Je hakuna Hali hasi inayojificha nyuma ya hiyo michango?
Watu kujinufaisha binafsi
Najua ni wazi hujui ni ipi, na inaweza ikatokea umeipiga tu katika mazingira fulani yasiyo na matayarisho yoyote.
Lakini niamini ni mojawapo kati ya picha zako ndio itakayotumika kuwekwa juu ya...
• Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi
Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijitali wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi...
DAR ES SALAAM
Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ushiriki wa wadau katika maendeleo ya makazi, kwa kuzingatia sera, sheria na mipango ya kitaifa.
Hayo yameelezwa leo tarehe 30 Sept...
TABORA
Kliniki ya Ardhi Kidijiti inayoendelea mkoani Tabora imefanikisha utatuzi wa mgogoro wa ardhi uliodumu kwa muda mrefu kati ya familia ya Bi. Osiana Ahadi Shauri na familia ya Saidi...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha maeneo ya wazi yanalindwa kwa kuwekewa alama za kudumu na mabango...
Gharama za kusafirisha dhahabu kilo moja (1 KG) kutoka Tanzania kwenda Dubai hazina kiwango kimoja cha usafiri (flat rate), bali zinajumuisha kodi na tozo za serikali (Tanzania) pamoja na gharama...