DIAMOND NI MSANII MASHUHURI NA SIO MAARUFU.

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
271
Kwanza nianze kwa kuwashukuru kwa kupata muda wa kupitia UZI huu.

Chamsingi zaidi ni kutaka kuweka bayana kuwa kwasasa hamna namna inabidi tukubali tu msanii Diamond mtoto wa tandare ndio msanii mashuhuri na nguli kwa sasa ukizungumzia Tanzania na nje ya Tanzania.

Vita ndogondogo za kutaka kumuangusha zilionekana wazi kwa baadhi ya media nchini lakini kijana huyu akazipangua na kupambana nazo kwa hali na mali nakuonekana amefanikiwa kukabiliana nazo kwa 100%.

Ukiangalia idadi ya wasanii anaowamiliki katika Lebel yake utapata picha kwamba lile sio kundi tena la muziki bali ni Tasisi ya Muziki kwani imesheheni kila idala kwa kuwa na wasanii wakubwa na wenye ushawishi hata kama nyimbo zao hazipigwi katika media nyingine.

Vilevile kwa hili alilolianzisha hivi karibuni kuwa kuna tamasha la Wasafi Festival ndio ameua kabisaaaa kwani nina uhakika hata kama asingekaribisha wasanii wa nje ya lebel yake bado wangejitosheleza kwa upande wa burudani.

Kubwa zaidi ni baada ya kuanzisha media zilizo chini ya taasisi yake ikiwa ni Redio na Television, hii inamaana soko la mziki kwa sasa anauwezo mkubwa kulimiliki na kujua ni kwa namna gani msanii ananufaika na kuweza kutengeneza mianya ya pesa kupitia uzoefu atakaoupata katika ushindani uliopo kwa sasa katika Tasnia ya mziki kwa sasa.

Kikubwa na cha maana inabidi tukubali kuwa kwa sasa Diamond ndio Simba halisi wa muziki katika kizazi tulichonacho, na vilevile tuwekane wazi hakuna msanii ambaye amewahi kuweke rekodi ambazo zinawekwa na Diamond kwa sasa.
 
Young Money
Cash Money Brothers

Hizi ziliwika dunia nzima ila leo ziko wapi?
 
Mondi ni level nyingine kabisa...ni Alien
 
Yote uliongea ni kweli.......huwaga nawaga tu......hivi tanzania na muziki wa hiphop kilitokea nn

Wengine watasema mziki wa hiphop unauza marekani tu,,,,,,,mim nasema no,,,,,,mziki unasua sua hapa bongo tu.........
Lkn hata africa hapa nchi nyingi sana wasanii wa hiphop ndo wanamafanikio makubwa sana sambamba na hawa wa kuimba au hata zaidi yao.

Sasa bongo nin kinatokea hiphop haitoboi?
 
NGOJA TEAM KIBA WAJE
 
Usiseme hivyo BASATA watamfungia tu, maana wameliunda hilo LIBASATA Lao kazi ni moja tu KUFUNGIA NYIMBO za vijana. Wanashindwa kuwasaidia vijana kazi ni KUFUNGIA NYIMBO za vijana ambao wanahitaji support ili wazidi kupasua anga!
Nina uhakika kuwa hakuna chombo Duniani ambacho kinamawazo ya KIWIVU kama BASATA. Na sidhani kama hao wente ofisi hiyo wana MTOTO hata mmoja mpiga muziki. Ndio maana wana WIVU.
Eti nyimbo imekosa maadili! Maadili yapi wanayotaka? Na hayo MASINEMA tunayoyaona kwenye TV, mabusu tunayoyaona mbona hawafungii vituo vya TV. BASATA KUWENI NA WIVU WA KULETA MAENDELEO SIYO KUWAVUNJA NA KUWAPOTEZEA VIJANA HELA ZAO. IMENIUMA SANA HII TABIA YA BASATA.
 
Nashukuru kwa kuungana...hip-hop Bongo inalipa sana ila katika ile miaka ambapo clouds media waliamua kuwatenga wasanii ndipo walipoua mziki wa hip-hop..ukiangalia wengi waliotengwa na clouds na kuunda kundi linaitwa VINEGA wote walikua wa hip-hop na ndio waliozimwa wote..sasa kama wale wote wangeendelea kuwepo hip-hop ingesimama
Yote uliongea ni kweli.......huwaga nawaga tu......hivi tanzania na muziki wa hiphop kilitokea nn

Wengine watasema mziki wa hiphop unauza marekani tu,,,,,,,mim nasema no,,,,,,mziki unasua sua hapa bongo tu.........
Lkn hata africa hapa nchi nyingi sana wasanii wa hiphop ndo wanamafanikio makubwa sana sambamba na hawa wa kuimba au hata zaidi yao.

Sasa bongo nin kinatokea hiphop haitoboi?
 
Young Money
Cash Money Brothers

Hizi ziliwika dunia nzima ila leo ziko wapi?
Wewe hunaga cha kuandika zaidi ya hiki?
Nitajie media zinazomilikiwa na cash money au G unit kisha ndio uandike hicho ulichokiandika
Wasafi ni media yani hata wakishindwa muziki wote wasafi itaendelea ku-exists.

Wasafi is a business team wanafikiria mbali, mfano ikitokea alikiba akaacha muziki leo nyimbo zake zitapigwa miaka kadhaa na atasahaulika kiburudani ila mond hawezi kusahaulika kwa sababu ya media power
 
Back
Top Bottom