Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wazee wa minyama Kitenge na Zembwela siwasikii siku hizi!! Au hiyo bodi ya waandishi ishakula vichwa!?
20 Reactions
166 Replies
10K Views
Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu...
0 Reactions
44 Replies
2K Views
Mwanangu, Kwenye maisha, si kila mlango unahitaji kugongwa, si kila siri unapaswa kuijua, na si kila ukaribu una maana ya kwamba una ruhusa ya kuvuka mipaka. Heshimu mipaka ya watu. Kuna watu...
7 Reactions
10 Replies
438 Views
Jeshi la Polisi mkoani Singida lina washikilia watu wanne kwa makosa ya mauaji, likiwemo la mwanafunzi Abigael Emmanuel wa darasa la tano wa Shule ya Msingi Mughamo Halmashauri ya Singida kukatwa...
0 Reactions
7 Replies
381 Views
Naomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja, Naam ni nchi moja. Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri...
7 Reactions
59 Replies
2K Views
Tunakumbushana tu kwamba Askofu Gwajima amekuwa akitoa Huduma za Kiroho kwa Waumini wa Dini zote akiwa na Majengo zaidi ya 2000 ya kuabudia Pale Salasala alijenga Msikiti unaotumika hata sasa na...
1 Reactions
15 Replies
622 Views
Miaka ya karibuni ni ukweli usiopingika JamiiForums ilianza kupoteza mvuto kwa watu kama sisi ambao tunapenda intellectual discussion tulikuwa tuna-miss sana hii mijadala Kuna wakati mijadala hii...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Bill Gates ameamua kuwa atagawa utajiri wake wote wa dola bilioni 200 (Trilioni 600) kwa watu masikini hasa wa afrika kabla hajafa, ningependa kuwashauri matajiri wa kwetu hapa tanzania pia kugawa...
1 Reactions
15 Replies
700 Views
Sisi binadamu tunaishi maisha yenye dhambi sana duniani, bado ni maskini lakini tunazidi kufanya maovu unafikiri siku ukifa je utaenda peponi hilo ni jambo gumu sana, ni bora uishi maisha ya raha...
3 Reactions
9 Replies
492 Views
Nimeona mitandaoni huko,mwili wa mke wa mrisho mpoto umebebwa kwenye bus la jwtz. Je huyo marehemu alikua ni Askari wa jwtz?
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Akizungumza Julai 15, 2025 katika mkutano wa pili wa umoja wa mabaraza ya habari Afrika, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango alibainisha uwepo wa Taarifa Potofu zisizodhibitiwa kama changamoto...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Nilikuwaga napenda sana kusoma vitabu lakini kiingereza chetu tulichokizoea shuleni na vyuoni bado kipo shallow sana, kila nikisoma kitabu nakutana na misamiati mipya, nilikuwa nachoka. Siku hizi...
1 Reactions
4 Replies
469 Views
MAMBO AMBAYO HUTAKIWI KUCHELEWA KWENYE MAISHA KAMA TAYARI UNAMPANGO WA KUFANYA JAMBO HUSIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Leo sitawachosha ndugu zangu. Nitashusha vitu kisha nitawaacha...
19 Reactions
189 Replies
7K Views
Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa wataalamu wa utumishi wa umma hususani Maafisa utumishi wa umma hivi Kuna haja gani ya kuficha waraka mbalimbali zinazowaongoza watumishi wa umma katika kudai...
2 Reactions
0 Replies
437 Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Niko Morogoro kwa sasa, natarajia kwenda kesho kutwa Mikumi National Park. Kwa wajuzi wa mambo,naombeni mchanganuo wa gharama za usafiri na malazi kwa siku...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Ajiandae Kisaikolojia kwani huyo Mtu kwa Madongo na Maneno ya Kuudhi kama siyo ya Kukera ya Kipwani Pwani hata Hawara yake Mkuu wa Bagamoyo anasubiri.
12 Reactions
23 Replies
1K Views
Kuwa sijui.... 1. Ukiona Paka jike na dume wanatiana jua ni Uchuro ama utakufa au utapokea Msiba 2. Bundi akitua katika Paa la Nyumba yako jiandae Kufa au Kufiwa 3. Mbwa akibweka sana Usiku...
1 Reactions
8 Replies
401 Views
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli na wizi wa kimtandao maarufu ‘halo halo’, katika operesheni maalumu iliyofanyika kati ya Julai 2 hadi 11...
1 Reactions
7 Replies
623 Views
Kama ungependa kujua moja ya siri kubwa sana iliyofichwa katika historia ya Uislamu, fuatilia vizuri mada hii. Huenda ikakushangaza, na labda utakubali kuwa mambo mengine hayajawahi kuwekwa wazi...
1 Reactions
5 Replies
452 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…