Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma, huku akieleza malengo makuu ya...
0 Reactions
2 Replies
274 Views
Jumapili kidogo nichapwe elfu 45 nikidhani TV imeharibika sehemu ya kuweka flashi. Nikaibeba kuipeleka kwa fundi, Nikaambiwa sehemu hio imeungua, inahitaji kubadilishwa Muda huo remote inafanya...
3 Reactions
8 Replies
493 Views
Wakuu mi sitaki vyeo vikubwa kama ndugu Dennis Robert Shughuru , ukuu wa mkoa tu unanitosha. Pombe/wine ya asali ni pombe moja ghali sababu ya ughali wa asali. Tanzania ni ya pili Afrika baada ya...
1 Reactions
5 Replies
414 Views
Hivi kuwa kama diva loveness love natakiwq nifanyeje? Yaani wanaume wanipapalikie,wanaume wanishobokee,nipate ofa ya bure kila ninapoenda,yaani kiujumla nipendwe na wanaume bongo mzima na nikipaka...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Katika historia ya mataifa mengi, tumewaona watu waliopanda juu kwa ahadi za matumaini, wakaketi kwenye viti vya enzi, wakiapa kuwatumikia watu. Lakini baada ya muda, baadhi yao wakasahau...
1 Reactions
5 Replies
270 Views
Wakuu Mchungaji anatoa majibu kama haya. Ni sahihi kweli?
1 Reactions
8 Replies
515 Views
Kweli kufika 2050 kama tutakuwa nao hawa majoyce wowote tutarajie vituko.
0 Reactions
1 Replies
241 Views
Naomba kufahamu wanasayansi mnasemaje?
2 Reactions
18 Replies
687 Views
Wakulungwa. Swali langu ni km nilivyouliza. Km mtu ana router na hana line. Kuna uwekano wwt wa kupata line ambayo itakua na vifurushi maalum kwa ajili ya router husijka?
0 Reactions
2 Replies
404 Views
Hii nadhani ndiyo inaitwa kutafuta kitu kwa udi na uvumba.
2 Reactions
1 Replies
364 Views
Hii Nchi kwa kweli ni kama viongozi wake,,, Kazi nyeti kama Ubunge eti mtu mradi ajue kusoma na kuandika tu halafu kazi ya uandishi wa habari hata kama ni kiredio ki FM cha mtaa au uwe mwandishi...
1 Reactions
4 Replies
426 Views
Ina maana Dar to Dodoma ni karibu kuliko anapoishi Mbowe kwenda kisitu kusikiliza kesi ya Lissu. CCM washajijua kuwa hawasikilizwi na hawafatiliwi.Kumuita Mbowe ni kuchanganya masafa ya...
1 Reactions
5 Replies
380 Views
Wakuu tukio hili limenikumbusha kuepuka tamaa kwa nguvu zote hasa kwenye hizi nyumba za kupanga na maneo mengine, tusije tukafikiwa matukio ya kikatili kama haya ===== Jeshi la Polisi mkoa wa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Anonymous
Wastani wa Malori zaidi ya 1,000 hutoka kila siku Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali ya Tanzania na Nchi Jirani. Upanuzi wa barabara hiyo kutoka Ubungo hadi Kimara ni suluhisho la muda mfupi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
TURUDI DARASA LA QWANZA KIDOGO. 1. 15%- HESLB LOAN =115,650/- 2. 2%- CWT contribution. =15,420/- 3. 5%- SECURITY FUND. = 38,550/-...
24 Reactions
334 Replies
43K Views
Nahitaji kuwasha taa kumi na mbili Tv Je ni wapi naweza kupata solar kwa ajili ya kazi hizi kwa bei poa
1 Reactions
5 Replies
456 Views
Miaka ya 90 kurudi nyuma open space zilikuwepo ila ghafla miaka ya 2000 kuelekea 2010's zikaanza kuota mbawa sasa hivi kwenye miji yetu hakuna public garden, open space na sport centre to be...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Serikali mkoani Songwe imesema kuwa suluhisho la kudumu la changamoto ya foleni katika mpaka wa Tunduma ni ujenzi wa bandari kavu katika eneo la Mpemba, pamoja na ujenzi wa barabara yenye njia...
2 Reactions
4 Replies
602 Views
Ni kijana aliyejitambulisha kama Tajiri asiye na baya lakini ghafla akapotea katika mazingira ya kutatanisha. Mimi nikiwa kama Kijana Masikini nilipenda sana kuchukua nondo kutoka kwake, Tajiri...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…