familia, ma-savage wote wa hii game ya utalii — kama uko field kama tour guide, operator, dereva wa safari, au hata uko chuo unasomea tourism — hii ndo time yako ya kuamka kichwa baridi. Sahau...
Shalom Wana Mungu alie hai
Ningependa nikujuze tu hili kwa NDUGU Yangu MMOJA yaliyomtokea Jana
Alishuka maeneo flan akasema ale chakula Moja ya fastfood za sinza
Alipomaliza akaletewa bill...
Gofu hili ni jengo ambalo lilipangwa kuwa Zahanati ya Kijiji cha Lungongole katika Halmashauri ya Mji Ifakara Mkoani Morogoro, gofu hili tangu nilione lina miaka miwili au mitatu kama sikosei...
Kwa maoni yangu adhabu hii bado ni valid na inapaswa kutolewa kabatini na kurudishwa kwenye utekelezaji.
Inawezekana watekaji na wauaji wameshajipimia adhabu na hivyo kuamua kufanya wayafanyayo...
Habari zenu wana jamvi,
Kuna mtu wangu wa karibu amepotelewa na passport yake je utaratibu upi afuate ili kupata nyingine
Msaada jamani kwa anae fahamu na gharama zake kama zipo. Natanguliza...
Aisee nilikuwa sijui Hadi nilipifanikiwa kupita hospitali moja kubwa nikakutana na wachina, waarabu, wazungu wengi wagonjwa balaa.
Nilipofuatilia KWA karibu ni magonjwa yasiyoambukiza, migongo...
Sisi tulijua bosi huyu bosi wetu kama mama yetu ana mume ila tukumuona mume wake hata kanisani ila tunamuona bosi aliyekuwepo kipindi cha nyuma kuwa naye karibu.
Ina maana bosi hata mtoto wako...
Katika Mataifa ya Africa hakuna taifa linaloiga lifestyle ya wazungu na kujifanya wana uwezo kama South Africa, Kipindi Wazungu wanapambana kusambaza ushoga mimi nilitegemea wazulu namna walivyo...
Mi hainiingii akilini mtu ambae alikuwa CEO mda wake ukaisha akaja CEO mwingine halafu anakuwepo CEO wa zamani anafanya kazi ambazo kimsingi alitakiwa azifanye wakati wa utalawa wake. Yaani mara...
Toka mwaka huu uanze kumekuwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe (ASF) kwa mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Pwani, Tanga na sasa Arusha na Kilimanjaro ugonjwa unaendelea kushika kasi. Kwa sasa...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura ya mwisho, Bodo Schäfer anaeleza kuhusu nguvu kubwa inayojulikana kama “mzunguko wa ushindi” (Winning Cycle). Anasisitiza kwamba...
Niwape pole sana wafiwa, naamini yanayotokea sio mapenzi yao kujinyonga bali Shetani.
Nawaza tu, kwa nini Wachungaji wanagoma kusalisha Misa ya mfu aliyejinyonga?
Na baada ya kugundua...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii, Bodo Schäfer anaeleza kuwa kujiamini ndiyo nguzo muhimu zaidi ya mafanikio. Bila kujiamini, hata mtu mwenye vipaji vikubwa hawezi...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii ya nne, Bodo Schäfer anaeleza kuwa washindi huishi kwa malengo maalum. Hakuna mshindi anayefanikisha ndoto bila kuwa na malengo...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii, Bodo Schäfer anaeleza kwamba mafanikio ya kweli yanatokana na mazoea yetu ya kila siku. Unachofanya mara kwa mara kina nguvu zaidi...
Uchambuzi wa hotuba ya mheshimiwa Polepole kwa lugha inayoweza kueleweka huku uswahilini kirahisi.
Kwa ufupi, Polepole amelalamika kuwa utaratibu wa familia wa kula pilau pamoja kwenye sinia moja...