Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Walaani wastaafu wanaokikimbiza chama mahakamani… Wamtaja Rais Samia, Kikwete na Majaliwa kama mifano ya kuigwa Na Mwandishi Wetu Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wameibuka kwa sauti...
1 Reactions
1 Replies
334 Views
Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda Depression
15 Reactions
67 Replies
2K Views
Anonymous
Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa. Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa...
0 Reactions
3 Replies
382 Views
Hebu fikiria. Umefanya kazi kwa miaka 32 ukiwa mtumishi mwaminifu, na ulipofika miaka 60 ukastaafu kwa mujibu wa sheria. Unalipwa pensheni yako kwanza mkupuo wa 25% halafu asilimia 75 inayobaki...
21 Reactions
330 Replies
80K Views
Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa wazi katika vikao pamoja na kubandika kwenye mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kila mwaka wa...
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Tunarudi Tena Mwezini. Picha unayiona ni Alama ya mguu baada ya binadamu kutua Mwezini 🥾. Imepita zaidi ya Miaka 56, baada wanaanga Toka Nasa Neil Armstrong na Buzz Aldrin walipofika Mwezini, na...
1 Reactions
18 Replies
942 Views
Ninawasilisha andiko hili kwa nia ya kuonesha kukatishwa tamaa kutokana na uzembe wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (Gaming Board of Tanzania) katika kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa...
1 Reactions
4 Replies
552 Views
Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) haifuatilii michango ya wanayokatwa Wafanyakazi kwenye kampuni, wanafanya kazi kwa mazoea au wanaziogopa baadhi ya taasisi. Hali hiyo...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Na DaVinc XV Katika dunia hii pana yenye milima na mabonde, mito na bahari, jua kali na theluji yenye baridi tele, mwanadamu ameendelea kuishi karne kwa dahri akiwa tofauti kwa sura...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Anonymous
Mimi ni dereva Bodaboda napatikana Kata ya Mbezi Msumi hapahapa Dar es Salaam, tulijichanga tukanunua eneo la ardhi katika Kijiji kinaitwa Zumba kipo Boko Mnemela, Kibaha Mkoani Pwani...
22 Reactions
73 Replies
7K Views
Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Said Idd (katikati), Meneja wa Yas Kanda ya Kati Frank Anthony (kushoto), na Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya Kati Charles Gasper (kulia) wakifurahia jambo wakati wa...
0 Reactions
2 Replies
357 Views
Soko Kuu la Kariakoo lililoungua Mwaka 2021 kisha kujengwa lote limekamilika, pamoja na kwamba kumekuwa na ahadi nyingi za viongozi wetu lakini kwa ufupi hakuna kinachoendelea cha maana mpaka...
1 Reactions
3 Replies
549 Views
Nimekuwa nikiona hawa wenzetu ni kama wako makini sana na elimu yao. Yako mafanikio mengi yanayoonekana wazi kutokana na uwekezaji kwenye elimu yao. Hivi majuzi wamegundua mashine ya kusaidia...
7 Reactions
113 Replies
13K Views
Anyangwanye ubalozi na uraia mapema asubuhi. Asizidi kuvuruga Amani yetu
0 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwako Afisa Elimu Ilala, Poleni na majukumu ya kila siku. Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Tulipo sio tulikotoka kisiasa, kielimu na hata kiuchumi. Yapo mazuri yamefanyika lakini yapo mabaya yamefanyika na kuacha majeraha katika mioyo na fikra zetu. Hatuna taifa lingine isipokuwa...
0 Reactions
3 Replies
272 Views
Wema unaoweza kukupeleka JELA 1. Kutoa lift kwa wanafunzi wa kike - haijalishi hata kama kuna mgomo wa daladala, ni hatari ! mtoto anaweza achelewe kufikia kwao na kuna mtu alikiona umempakia ni...
22 Reactions
64 Replies
3K Views
Poleni na majukumu wakuu. Jana usiku usingizi uliwahi kukata nikajikuta nimeamka saa 7 usiku nikatulia na kutafakari mawili matatu ilivyo fika saa 9 usiku nikaanza kupata usingizi. sasa ndoto...
2 Reactions
1 Replies
481 Views
Wakuu wasalam Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota...
11 Reactions
136 Replies
5K Views
Weka hapa tofauti ya maisha ya Kenya ukilinganisha na Tzania na Uganda. Tuseme kwa lugha njema mazee. Sisi wamoja....
14 Reactions
333 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…