Nasikia Tanzania umepata fursa ya kupeleka china Bure ( bila kukatwa ushuru etc) KWA maZao 18 ya kilimo.
Nimemsikia jamaa mmoja TikTok anadai ni muwakilishi wa watanzania wanaoishi china akisifia...
Hawa NSSF wamewatangazia watanzania kuwa km unataka kujihudumia kwa maana ya kuona michango, mafao, salio lako n.k unaweza kutupigia *152*00# na ukajihudumia. Sasa nenda kapige utaishia kwenye...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Dar es Salaam kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhakikisha ndani ya siku...
Biblia inaeleza wazi kuwa Nabii Yesu alisema hivo je kweli, utabiri huu umetimia kwani kwa sasa Ukristo umegawanyika katika zaidi ya madhehebu, dini au sekta 45,000 duniani kote.
Cha kushangaza...
Habari zenu Wana jukwaa,,,
Naomba msaada kwa yule mwenye uzoefu.Ni bank Gani hapa Dar(Tz) naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?
Au taratibu za kufuatwa ili niweze...
Ni Waarabu wenye dini ya kipekee ya Ki-brahamu ambayo hapo awali ilikuwa chipukizi la mbali la Uislamu wa Shia.
Waamini Mungu Mmoja kama walivyo wakristo na Waislam, nabii wao ni Yethro / Yitro...
Wanajukwaa Salaam,
Kila nchi na kila mtu ana shujaa wake. Hii inatokana na mafanikio/mabadiliko fulani aliyoyapata katika kipindi fulani.
Nani shujaa wako kwa Tanzania yetu hii, mpaka hapa...
Kwenye maisha ya nyakati hizi,makelele hasa ya muziki yamekuwa ni kiashiria cha usasa,na kuonesha shangwe. Watu hawapendi tena unyamavu na kufikiri ,kelele zimekuwa ndio kiburudisho ,Jamii ya...
Habari wakuu nisikuchoshe usinichoshe. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada.
Simu za infinix zimekuwa ziki dharauliwa sana lakin nimekuja kugundua simu hizi ni nzuri sana na hazina shida yoyote...
Mayai ni chanzo cha lishe mwilini, lakini ulaji wa mayai kupitiliza ni hatari.
Hivi karibuni mtu mmoja kutoka India amefariki dunia baada ya kujaribu kula mayai 50 kwenye mashindano ya kula mayai...
Kuanzia leo namba 8 haipo! ! !
Itatubidi tuhesabu ...5, 6, 7, 9, 10....
Mwenye wasifu wa namba 8 atusaidie ili tutangaze kumtafuta!
Huyu namba 8:
1) Kwao wapi?
2) Baba yake ni nani?
3)...
The Rules of MONEY
1. Pay yourself first.
2. Learn how to invest.
3. Don't be a hater of it.
4. Give every dollar a job.
5. Have plans and set goals.
6. Spend less than you earn.
7...
Hatimaye ndoto ya kupata shule ya sekondari ndani ya kijiji cha Nyashimba(M)wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu inaanza kutimia! Baada ya kilio cha muda mrefu kutoka kwa wazazi na walezi, wananchi wa...
Na mkishaipata hiyo sababu Kubwa ndiyo mtajua na kuamini kuwa kwanini ukitaka Kubarikiwa haraka na Mwenyezi Mungu basi uwe unapenda mno kutoa Sadaka kwa Watoto kwani ile Asante yao / Shukran zao...
Vikundi vinavyojifanya washirika wa CCM na kushiriki katika vitendo vya uhalifu dhidi ya jamii visipodhibitiwa na polisi, wasilaumu jamii itakapochukua hatua za kujilinda. Kila jambo lina kikomo...
Habari wakuu watumishi wengi wanalalamika kuwa mshahara hautoshi! Ukiona umeajiriwa iwe sekta binafsi au serikali na mshahara wako hautoshi namanisha take home kuanzia 150k na kuendelea ujue kuwa...
China imeanza maandalizi ya mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme kwenye ukingo wa mashariki wa jimbo la Tibet, katika mto Yarlung Tsangpo. Bwawa hili linatarajiwa kuwa kubwa zaidi...