Serikali ya Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2024/25 na 2025/26 imetoa jumla ya Dola Milioni 114 sawa na Shilingi Bilioni 298 za kitanzania kuongeza manunuzi ya dawa na vifaa tiba ili kufidia fedha...
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso , Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Awesowote wanaoshiriki katika utekelezaji wa Mradi wa Maji kwa Miji 28, akisisitiza kuwa hakutakuwa na nafasi ya kuongezewa muda...
Na Oscar Assenga, TANGA.
MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi,Dkt Batilda Burian amewataka wakandarasi watakaohusika katika utekelezaji wa mradi wa hatifungani ya kijani kwa ajili kuboresha huduma ya...
Hatimaye wakazi wa mikoa ya Tanga, Pangani, Muheza na Mkinga wananufaika moja kwa moja na matunda ya hati fungani ya kijani iliyotolewa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga...
Miradi yenye thamani ya zaidi ya Sh.Bilioni 62.6 iliyojengwa katika halmashauri saba za zilizopo katika Mkoa wa Singida inatarajia kuzinduliwa na kukaguliwa na Mwenge wa Uhuru 2025 ambao...
Tarehe 16 Julai 2025, Mahakama Kuu ya Malawi ilitoa uamuzi wa kutangaza kuwa Kifungu cha 200 cha Kanuni ya Adhabu, kinachohalalisha kashfa kuwa kosa la jinai, ni kinyume na Katiba. Mleta maombi...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amewasili jijini Minsk, Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku nne kuanzia tarehe 21 hadi 24 Julai 2024...
Ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya mwanamke, kwa kawaida huhusisha uterasi, mirija ya uzazi, au ovari. Mara nyingi husababishwa na bakteria ya zinaa, bakteria wengine, UTI iliokomaa na...
Watu wako serious —baada tu ya kujifunza na kujua faida zake wameanza kuyapanda majumba. Huu mmea unasurvive popote hata kama unaishi nyumba ya kupanga, panda kwenye ndoo na uweke chumbani kwako...
Teknolojia tamu bhana!! Ikiwa una simu yako zamani Umeichoka tafadhari usitupe✋, hivi unajua unaweza kubadilisha simu uliyokuwa nayo kuwa Kamera ya ulinzi nyumbani kwako.
Inawezekana umeshindwa...
Chama ni jina lililosajiliwa tu ila wahusika wakuu ni watu ambao ndio watendaji wakuu wa hilo jina au taasisi iliyosajiliwa ili iwe na utajo au utambulisho maalum
Kimsingi CCM na CHADEMA sio...
Mdogo mtu huwa anapitia misukosuko mingi ila kaka mtu kamwe hajawahi kaa pembeni. Tundu Lissu ana bahati kuwa na kaka kama Alute. Hakika Alute ni mfano wa kuigwa. Apewe tuzo ya kaka bora. Ila pia...
STORM: Stanford's AI Revolution in Research and Content Creation
In today's world, where information is abundant but often fragmented and overwhelming, the need for efficient and reliable...
Japanese scientists have begun human trials of a new drug designed to regrow human teeth, offering a potential alternative to traditional implants and dentures. The drug, TRG-035, works by...
Huku Mwanza ni zaidi ya wiki,
Matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM yanakatika katika na tunawaambia hawachukui hatua yoyote.
Hebu rekebisheni matangazo yenu,hivi hamuoni aibu.
Wakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu...
Polepole hajamshambulia mtu, yeye ametoa hoja kuwa mchakato wa upatikanaji wa mgombea wa CCM ulikosewa
Haukufuata katiba na taratibu za chama, lkn badala yake watu wanaomjibu wamejikita...
Jana nilienda ofisi ya kata kukutana na afisa maendeleo. Lengo langu ni kuingizwa kwenye mfumo wa wajasiriamali wadogo wadogo ili niweze kupata kitambulisho ambacho baada ya kusajiliwa unalipia...