Leo Julai 21, 2025 wamiliki wa jukwaa la mtandaoni la #wachokonozi Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko, leo wamefikishwa kwa mara nyingine katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa ajili ya...
Ndugu wanajamvi,
Napenda kuibua hoja kuhusu jambo linaloumiza wananchi wengi – suala la kutolipwa fidia kwa nyumba zinazotakiwa kupisha upanuzi wa barabara visiwani Zanzibar.
Mfano halisi ni...
Habari.
Baraza la wauguzi Tanzania (TNMC) ni Baraza lenye watumishi wengi sana nchini kaaribia asilimia 60 Kwa watumishi wote wa AFYA katika private sector na serikalini.
Ila hili Baraza...
Guys Niko sehem napiga vitu(beer),gafla nimeskia kama mifupa inakakamaaa upande wa juu wa moyo... nipeni ushauri nini inaweza kuwa,ilikuwa inauma kidogo nimeshika imakaa sawa.
Kuna tatizo...
Waziri Kombo aagana na Balozi wa Slovakia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kuagana na Balozi wa Jamhuri ya Slovakia...
Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda,
Kwa heshima na taadhima, tunapenda kutoa maoni yetu kuhusu mwelekeo wa elimu ya juu nchini, hususan uamuzi na ufafanuniz wako kwenye hotuba ya...
Mimi nimewahi kuacha Chuo X Mkoa fulani nikiwa naingia Mwaka wa pili, na sababu za kuacha Chuo ni majibu mabovu niliyopokea kutoka kwa Admission Officer fulani ambae hakunijibu vizuri, and I was...
Aisee wakuu,...ndugu yenu saivi yapata siku ya nne silali kwa amani kabisa.
Siku ya jana nikiwa tayari nimesinzia nilishtushwa na kitu ambacho kilikuwa kinanitambaa mkononi kinaanzia kwenye...
Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo...
"Kulinganisha jeshi letu la polisi na Marekani ni makosa makubwa wakati unakuta kuna CCTV camera kuanzia ndani. Kuna footage kwenye gari, barabara, ofisini.
"Sasa uchunguzi wake utalinganisha na...
Ni metumia neno teknolojia ila nitabeba mambo mengi ambayo ndio yameleta maendeleo nchi nyingi.Ukiangalia kila siku simu yako janja apps zake au firmware zinaomba update kila siku sababu ya...
Mamlaka ya Maji Safi na usafi wa Mazingira wilaya ya Bunda (BUWASSA)imeunda kamati itakayokuwa na kazi ya kupambana na upotevu wa MAJI ambao umekuwa ukitokea.
Kamati hiyo inaundwa na wajumbe...
Kwanza kabisa nisiwe mkosefu wa fadhila nimshukuru Rais Mwinyi kwa maboresho makubwa ya barabara mbalimbali ambayo yamevunja rekodi.
Lakini jambo la kustaajabisha kuna hii barabara muhimu iliopo...
Kwanza nitoe pongezi za dhati kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuunda kikosi kazi kinachoshughulikia kero za wanufaika wa huduma ya maji,hapa namaanisha wateja waliounganishiwa...
Amani iwe nanyi GT!
Nmepata kuota ndoto ambazo tafsiri yake nmeshndwa kung’amua...ila naomba niulize wajuvi wa mambo
Watu
Watu ninaotokea kuwaona kwenye ndoto sjawah kutana nao hata siku...
Kusali au kuswali ni kuzungumza na Mungu.
Mazungumzo huwa ni ya pande mbili. Kwa bahati mbaya dini zimewafundisha watu kuongea na kupiga kelele kisha kuondoka. Hayo maombi yanakosa uhalisia wa...