Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kiasi Ina Maana Gani Katika Ukristo Kiasi ni nini Kiasi kama tafsiri yake ilivyo ni kuwa na uwezo wa kudhibiti jambo/tendo lisipitilize mipaka yake, yaani litendeke kwa sehemu fulani tu. Katika...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Kuna mfanyabiashara mkubwa sana wa chupa tupu Tanganyika ni mwana JF mwenzetu... Na ofisi zake kubwa kubwa zipo Dar.. Wilaya ya Ubungo na Temeke.. Nadhani na mikoani pia ana matawi Ni...
7 Reactions
216 Replies
3K Views
Pamoja na mapungufu yao. Hawa vijana wa kaskazini kanda za Arusha, Moshi, kilimanjaro n.k ni waaminifu kwenye biashara. Ukipata Mwanamke kutoka huko ukamkabidhi biashara mfano Duka, Pub, Mghahawa...
3 Reactions
15 Replies
583 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kuwa Hayati Mzee Mkapa atabaki kuwa mfano wa kuigwa kwa kizazi cha sasa na kijacho kutokana na mchango...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Habari wakuu! Kama ilivyo ada kila mwaka serikali inapeleka matrillioni kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu yaani HESLB ili kuwawezesha wanafunzi wamudu gharama za kupata elimu ya juu. Sasa...
0 Reactions
8 Replies
411 Views
HORACE Kolimba ni miongoni mwa viongozi waandamizi nchini ambaye Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alitofautiana naye na baadhi ya wenzake kuhusu masuala ya msingi katika uongozi na mwelekeo...
6 Reactions
13 Replies
12K Views
Niwapi nina weza pata HISSOP_HISOPO FRANKINCENSE-UBANI MYRRH_MANEMANE na mafuta ya mzeituni
1 Reactions
9 Replies
481 Views
Hii biashara soko lake limejaa vijana walioharibikiwa akili na ufahamu. Bajaji moja sasa si chini ya millioni 10 za Kitanzania. Pikipiki moja sasa si chini ya millioni 3 za Kitanzania. Utupe...
2 Reactions
8 Replies
635 Views
Watu wengi huwa wanadhani kulea mtoto ni kumpenda na kumtimizia majukumu kama chakula, nguo, elimu na matibabu. Kulea kunahusisha pia kitu muhimu kumjenga mtoto kitabia, Kina mama wengi wa...
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Swala la vyeti tanzania bado ni tatizo wengi wanavyeti ya kuungaunga tu janjajanja tu mjini Katika hili swla la waandishi wetu wa habari tena maarufu kukosa sifa ni taswira tosha ya elimu yetu hii...
0 Reactions
5 Replies
409 Views
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :- -NHIF -ASSEMBLE -STRATEGIES -JUBILEE -Cigna -BRITAM -BUPA -UAP -HEALIX -WCF...
14 Reactions
192 Replies
19K Views
Kabla ya kufika dini zilizoingia nchini kwa meli, waafrika, wa hapa Tanzania ya sasa walikuwa tayari wana imani zao za asili. Ambazo zilitamalaki na watu wakaziamini kwa uwazi kabisa nazo...
2 Reactions
3 Replies
484 Views
Habari za majukumu wakuu? kutokana na kuibuka Kwa wimbi la wanaume kubambikwa watoto ambao sio wao na kuwalea, na kuleta taharuki au sintofahamu kwenye mahusiano, kwanini isipitishwe Sheria...
5 Reactions
19 Replies
886 Views
Wakaz wengi wa Dar hawana ustaarabu (civilization)
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Media zetu zinafanya very poor PR hasa kwa hawa wagombea au watu wenye vyeo uchwara. This is sad kwa sababu sasa huyu ni nani tena? Ana umuhimu gani hasa na tena cheo chenyewe ni huko Indonesia I...
0 Reactions
4 Replies
267 Views
Habari JF Nina omba msaada wa mawazo yenu.. hivi kwa mfano ukiwa na fixed deposit akaunti kiasi cha sh.mil 100 unaweza kuifanya kama dhamana ya kukopea bank, halaf riba ndo iwe inalipa mkopo wako...
1 Reactions
3 Replies
395 Views
Moja kwa moja kwenye mada; Wenyewe wanaita green city, hii sio kweli . Jina linatakiwa liwe Dusty City. Hivi pamoja na Hali ya hewa nzuri kitu gani kinazuia halmashauri ya mji kuwa na mipango ya...
71 Reactions
2K Replies
64K Views
Nursery miaka 2 Primary miaka 7 Secondary miaka 4 Advance miaka 2 Chuo miaka 3 Kujitolea miaka 2 Jumla miaka 20 upo shuleni leo huyu mtu ni MASKINI
1 Reactions
11 Replies
435 Views
Habarini wapendwa Niko mkoani kidogo nimekutana na mate wangu KTK story za hapa na pale akaninijuz biashara ya LSSC Binafsi huko nyuma nilishawahi wekeza sehemu nkapigwa nkaona nimuulize mwenye...
0 Reactions
7 Replies
512 Views
Hii bodi isiishie tu kwa wana habari na waandishi iangazie pia kwenye udalali. Kuna madalali wengi Sana ni Uchwara. Mbona wameweza kudhibiti watu wa auction hadi wawe wamesomea Sheria? N'yadikwa
1 Reactions
13 Replies
570 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…