Huwa na jiuliza. Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini?
Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi.
Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya...
Kwa wanaoelewa nini kimetokea maana Wastaafu mpaka leo 26.07.2025 kila wakichungulia vibubu vyao hawaoni kitu wakati kuanzia tarehe 20 vibubu vinakua tayari vimeshajaa. Nini kimetokea huko Hazina?
Mwendokasi upande wa DART, kuna changamoto ya uuzaji wa kadi, kwa sasa mfumo ambao unatumika ni wa kutumia kadi kununua tiketi lakini wao wametoa maelekezo kuwa hawatakuwa wanauza kadi siku za...
Ni kijana wetu mdogo mdogo, ameachana na mateso ya kuajiriwa anataka kufanya biashara yake mwenyewe. Ana kijilaki chake cha mchongo, anahitaji kutengeneza 10,000 tu kwa mwezi
Msaidieni kwa hilo...
Kama ushawahi kuona wachimba madini wakiwekeza pesa nzuri na mwisho wa siku madini yakitoka hakuna la kushuku kwa mafanikio yao.
Huyu mr dengu za pilipili zenye binzari kali napata mashaka ya...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Kwetu sisi ambao tunashinda kitaa hapa na pale wote tutakubaliana kabisa kuwa pole pole alichokifanya ni kama kugonga msumari kwenye geneza
Kawafanya...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeeleza kwamba zoezi la majaribio ya Mabehewa ya Mizigo limekamilika kwa ajili ya kuanza rasmi operesheni ya kusafirisha mizigo inayotarajiwa kuanza June 2025...
Kama hujaoa kwa kufikiri kwamba ukienda mbinguni ndio utapata mke mrembo, sahau kabisa hilo. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Hayo yamesemwa na Yesu mwenyewe. Kumbuka, Yesu anaheshimiwa sio tu...
Ndugu wataalam wa fedha, wachumi na wabobevu wa mambo ya pesa.
Nauliza ni benki gani inatoa mikopo walau yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali, kuna mfanyakazi mwenzangu amekopa benki moja...
Ujumbe Muhimu wa Onyo
ICYMI (Kama Hukufahamu): Giza la Siku 3 Halikughairiwa, Bali Lilizuiliwa. Mwenyezi Mungu yuko kimwili hapa duniani na Ufalme Wake huru.
Vifaa vya Hukumu vinazunguka duniani...
Ni hivi, Tanzania kuna janga la kimyakimya ambalo tumeamua kufanya ni jambo la kawaida sana. Umalaya. Wanawake wengi walioolewa na wasioolewa wanafanya umalaya pengine wao wanaona ni jambo la...
Naombeni mnijuze, mimi ni bodaboda hapa kazuramimba.
Mji leo umechangamka, NMB pamefurika, baa zimechangamka.
Leo ukipaki kijiweni dakika mbili tu mteja huyu hapa!!
Leo kuna siri gani huko?
Hivi karibuni ulaya itasambaratika na kuwa eneo jipya la mapigano ya kivita, ulaya haifahamu kuwa Israel ambayo imekuwa ni uzio kwao wa kuwazuia itikadi kali na magaidi ambao ndio wapangaji wa...
Leo baad ya habari ya saa mbili kamili kuisha na kisha kufata ki pindi cha hotuba wa baba wa taifa kisha ikafika saa tatu kamili kuanza kwa junguu kuu basi wakaweka kibagizo cha nukuu ya mwalimu...