Wakati zaidi ya vijana 1,000 wakiwa wamepitia kwenye mafunzo yake, mwanasarakasi Mkenya Mathias Kavita alipokumbuka uhusiano wake wa miaka 41 na China uliostawi kwa muda mrefu na kuvuka mipaka ya...
Wahaya(haya) ni kabila lenye mshikamano mkubwa sana katika nyaja mbalimbali hasa kitaaluma
Niliwahi kushuhudia hili wanachangishana pesa kusaidia ndugu waende kusoma chuo nje ya nchi .
Just why...
Straight to the point.
When we were growing up, tulizoea kuona Yale ma mende makubwa makubwa flani ambayo in those times we thought they were originated from the lavatories.
Ila kwa sasa kuna...
Mwalimu Enock Peter (32) wa Shule ya Msingi Potwe wilayani Muheza mkoani Tanga, amedaiwa kujinyonga kwa kutumia shuka nyumbani kwake, wakati Kesi yake dhidi ya anayedaiwa kuwa Mpenzi wake ikiwa...
Hii tv kiukweli nawapa big up ubora wa picha wa tv yenu ni nzuri sana
Tbc wameshindwa kwa ubora wa picha channel ten pia wameshindwa
Hongereni sana tv 1 quality ya picha ni nzuri sana
Pia...
Siku ya sabato mwanzilishi ni mungu mwenyewe kulingana na maandiko, na inatambulika na ushahidi wa maandiko upo.
Dhehebu la usabato mwanzilishi ni Ellen G White halitambuliki na biblia na hakuna...
Dodoma marathon iliyounganika pamoja na festival ya kuchoma nyama, inaleta mabadiliko chanya sana kibiashara na kiuchumi kwa mkoa wa Dodoma,
Je hii hawezi kuzunguka na mikoa mingine?
Nimeona...
Mkurugenzi Mtendaji wa ChatGPT na OpenAI, Sam Altman, amefichua kuwa mazungumzo ya watumiaji na zana hii maarufu ya AI hayalindwi kisheria kwa asilimia mia moja na yanaweza kutumika kama ushahidi...
Shughuli za magendo na zisizotozwa kodi sasa zinachangia asilimia 11.8 ya Pato la Taifa Duniani (GDP), ikiwa ni punguzo kutoka asilimia 17.7 mwaka 2000, lakini bado zinawakilisha thamani ya...
Kwa umri huo hata matangazo MENGI ya ajira serikalini yanataka umri wa chini ya hapo.
Una umri mfupi tu wa kufanya kazi baada ya hapo utastaafu ukiwa na Mafao kiduchu.
Kama huna uzoefu wa...
Mwili wa aliyekuwa Mwanachuo wa chuo cha Sokoine University of Agriculture (SUA) Magreth aliye hitimu mwaka huu mwezi wa 11 tarehe 26 waokotwa katika mashamba ya chuo hicho.
Magreth alipotea...
Jambo Tanzania.
Kwanza kabisa niseme hivi natamani kuishi miaka mingi nione watoto wa watoto wa mtoto wangu pia natamani kuona teknolojia itatufikisha wapi miaka 50 ijayo ila kikubwa ni kuwa...
Kumbe watu wameongezewa mshahara na hamsemi.
CWT friji lao haligandishi, tayari washawekewa pesa kama walivyohaidiwa.
Watumishi wengine vipi na nyie hamjatoa shukrani?
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya Alptekin Zeynelabidin Aksoy, mwenye umri wa miaka 52, ambaye ni raia wa Tanzania mwenye asili ya Uturuki, aliyeuawa...
Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro, Magreth Mashuwe aliyeuawa na watu wasiojulikana...